Search results

 1. CHAI CHUNGU

  Men are cruel to single women

  The more humiliation you suffer, the more you used to it!!
 2. CHAI CHUNGU

  Orodha ya Mataifa fisadi zaidi Africa Mashariki

  Monduli haimo why???
 3. CHAI CHUNGU

  Nyumba hii imenivutia sana kwa kweli.....!

  Hilo jumba lipo bondeni wakuu (Johannesburg) kitongoji chaBryston.
 4. CHAI CHUNGU

  Nyumba hii imenivutia sana kwa kweli.....!

  Hilo jumba lipo bondeni wakuu (Johannesburg) kitongoji cha Bryston.
 5. CHAI CHUNGU

  Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

  Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa. Na huwa kwa pea (70-120/2hds) Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
 6. CHAI CHUNGU

  Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

  Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa. Na huwa kwa pea (70-120/2hds) Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
 7. CHAI CHUNGU

  JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

  Kama sikosei niliwahi kuona uzi humu wa member aliyefanana na ID hii Malaria Sugu kwamba amefariki, but mtanisahihisha if im wrong.
 8. CHAI CHUNGU

  JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

  Inafurahisha sana kuona kwamba kuna watu wanakukumbuka kwa mazuri. I believe JF ni familia moja so ni nzuri kuulizana juu ya wenzetu waliopotea hapa mjengoni. Mkuu Mr Q mimi nipo naendelea na ujenzi wa taifa. Mh mungu akupe moyo wa upendo daima.
 9. CHAI CHUNGU

  Wenye vipaji vya kuigiza na kutunga movie tukutane hapa

  KUMBE MCHUMBA WANGU ANA UKIMWI?!!! Nipo ndani ya bus la Mtei nikielekea jijini Arusha,pembeni kuna binti mrembo sana shombe shombe wa Kizungu,baada ya kupiga nae story kwa muda kidogo nikabaini ni Msauzi Africa.Ni binti mrembo zaidi ya mrembo, nywele zake ndefu kazitelekeza mgongoni...
 10. CHAI CHUNGU

  Nina gari Noah, kibiashara nifanyeje?

  Nadhani kwa mbeya Dar/Dar-mbaya kwa jioni ni biashara nzr. Binafsi huwa natumia sana usafiri huo niwapo Tz.
 11. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Wapo Wabongo wanafanya biashara ya kubadirisha fedha stend. Note, kingereza siyo sana kiviiiile. Wanaozungumza kingereza ni wale walio enda Shule tu.
 12. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Ahaa kumbe, au nimeifananisha na Zesco!!!
 13. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Ni kweli mkuu, ndio maana mie nikaongelea wa Lusaka. Nilishakamatwa mara 2 hapo jamaa hawakutaka somo, hasa baada ya kujua mm mbongo. 1.Nilikua napiga mswaki stend. 2.Nilikua natoka S.Africa kununua gari, kwa bahati mbaya taa za break zikaungua, jamaa tulienda kumalizana kituoni tena kwa...
 14. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Yes stend yao ipo ktkt kama kisutu. Na hiyo Zanaco ,(TANESCO) yao ndio jengo lefu kupita yote pale town, sijui kwa sasa. But pia Barabara yao moja Kubwa imepita ktkt ya stend. But ni jiji ambalo lilitakiwa liwe zaidi ya Dar kutokana na muingiliano wa watu.
 15. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Nadhani kwasababu ni kama njia panda. Becouse magari yote yanayotoka nje na yanatumia Lusaka ni lazima yalale hapo au japo yakae kwa masaa japo 6. Kwa mfano. Ukitoka Dar kwa bus linalokwenda Harare utafika tunduma jioni. Then asbh saa 3 bus litakuwa, kisha mtagonga pass na kuondoka saa7...
 16. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Inawezekana wewe ulikua na mwenyeji mkuu. Kiukweli jamaa kwenye usafiri wa mabasi wako vzr sana. Ila hawana stand wala magorofa.
 17. CHAI CHUNGU

  Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

  Nime edit mkuu mkono uliteleza, si unajua tena usingizi na uchovu wa mizunguko ya kubeba box.
Top Bottom