Search results

 1. mbweta

  Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

  Hivi helicopter haina Blackbox?
 2. mbweta

  Hadithi Ya Kusisimua: Mke wangu nusu jini, nusu mtu

  Jamani hivi hii ni Hadithi au kisa cha kweli mana sielewi inaonekana kama kweli
 3. mbweta

  NDEGE inayobeba Treni

  Upo wewe hope ushatupia Kule kwa Munil
 4. mbweta

  How To Crash Your Friend’s WhatsApp

  Sasa kwanini ucrash whatsapp ya mwenzio jamani? Mie nataka niwe naona charting za mke wangu kwangu.
 5. mbweta

  Msuya atueleze aliko Sokoine

  Subiri nirudi MMU Mzizi Mkavu anaweza akawa ametupia episode ya Munil
 6. mbweta

  Msuya atueleze aliko Sokoine

  Jamani wengine hatuna historia vizuri juu ya tuhuma za Msuya juu ya kifo cha Sokoine? Tupeni taarifa vizuri huyo Msuya alihusikaje na hicho kifo ili tuconnect dotes wengine tumezaliwa 1989 so tulipishana na marehem.Samahani kwa kuomba data za zamani
 7. mbweta

  Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

  Sitaki hata jarib mie, na nimelock simu isije jipiga bahati mbaya.
 8. mbweta

  Hadithi Ya Kusisimua: Mke wangu nusu jini, nusu mtu

  Hahaha afidie usumbufu sasa Ila ukisoma zile zilizo kamilika mpaka raha hakuna cha kusubiri kama hii yani mtu unakua na ham balaa kila mda unacheki vipi kaweka unakuta ola
 9. mbweta

  Hadithi Ya Kusisimua: Mke wangu nusu jini, nusu mtu

  Daa jamaaa ajatupia kitu tuu mana nachungulia kila mda
 10. mbweta

  Nyalandu atuma kikosi kazi kumaliza nyoka wa Koboko Urambo

  Pia kwa Tabora hawa nyoka wanausishwa na uchawi ukikuta nyoka katumwa kuja kukumaliza huwa anaakili haswa.
 11. mbweta

  Kwanini vijana wa umri wa Kati 26-46 wanakufa sana

  kwa sababu umeweka range kubwa sanaaa
 12. mbweta

  Aliyelawitiwa baada ya kushikwa ugoni ajiua

  Ila mie nazilaumu Gesti zetu hizi haiwezekaniki mtu kaja bila polisi unamruhusu akaingie chumba cha mtu ambae ni mteja wako, lawaama zote zielekezwe kwa hawa wenye gesti kwanini wanashindwa kutoa ulinzi kwa wateja wao. Sio siri niliuzunika sana kwa kitendo hiki nadhani fundisho nitawafikia wote...
 13. mbweta

  Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

  Tutasikia tena sekeseke za albino zikianza mpaka uchaguzi uishe
 14. mbweta

  Chidi Benzi huyo

  Kabaki Fuvu
 15. mbweta

  Lowassa ampa Apson kiasi kikubwa cha fedha Kutekeleza maazimio ya kikao cha akina Mbatia

  Yaap Lowasa sio kama kamkabidhi mamlaka yote Apson,hapo kagawa kitengo kila mtu na chake na ushawishi wake so usikute pia kuna viingozi wengine wengi kaisha watimbia wamfanyie hiyo ishu then zikijumuishwa nguvu zote hapo ndo ushindi unapokuja
 16. mbweta

  Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

  hii ndoto nami pia inanitokeaga ila sijawahi pata jib linalo fanana juu ya maana ya hiii ndoto nadhan tangu 2008 ua 09 ..
Top Bottom