Ndoa ni zawadi toka kwa Mungu. Usimpangie lini akupe. Uki force kutokana na pressure za jamii utaichukia
Mke kukuheshimu inategemea na wewe mwenyewe unavyojiheshimu, unavyomuheshimu na unavyoyaheshimu maisha.
Nyingine ni stori za vijiweni.
Idd Amjn alikua kiongozi mzuri tu sema hakuwa msiri kama viongozi wengine wa afrika. Mambo aliyoyafanya wanafanya na wengine lakjni kwa siri
Alifukuza wahindi kwa sababu wakati waingereza wanakndoka mojawapo ya makubaliano ni kugharamia kuwarudisha wahindi kwao India au kuwachukua kwao...
Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari.
La sivyo utahoji kila kitu.
Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme...
Msafiri kutumia hata zaidi y nusu saa airport ni kawaida duniani. Kikubwa ni kuwe na utaratibu unaoeleweka .
Kitendo cha wageni kuhangaishwa kiholela na wafanyakazi wasio na uniform na vitambulisho waljvyovaa wamevigeuza usiweze kusona jina ndio tatizo.
Kama kuna utaratibu mzuri mgeni ataona...
Sijui kama na fit kwenye kundi hili au la. Ni hivi
Sipendi kuangalia TV Kabisa. Naangalia pale tu kukiwa na tukio maalum. Pia nikipata TV series nzuri za action like NCIS la huwa naangalia
Sipendi soka! Napenda michezo lakini sio soka. Rafik zangu hunishangaa nikikaa naangalia marathon live au...
Siku hizi upadre sio wito, ni kazi tu kama utabibu, udereva, ukuli, nk. Matatizo wanayokutana nayo mapadre ni matokeo ya kukosekana wito.
Wito umeondoka na heshima iliyokua imeambatana nao, kwa hiyo sasa mapadre hawana heshima tena. Wakiteleza Dunia inawaadabisha kidunia
Kwenye uwekezaji kuingia chaka ni kitu cha kutegemea has ukiwekeza bila kufanya utafiti mzuri. Sehemu sahihi au salama ni UTT au kwenye govt securities, japo huko returns ni ndogo. Kama unafuata "the higher the risk the higher the returns" ujue ni risk ipi uko tayari kuipokea.
Mimi nilikosea...
Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.
Uko sawa 100% Mama D. Mtoto wa miaka 4 unamwamsha kwa alarm? Huyu anatakiwa alale mpaka aamke mwenyewe usingizi unapomwisha.
Kuna haja ya waalimu kuanza kuspecialise kwenye private schooling kwa watoto. Watapata sana watu
Darasa la nne? Kwanza hata huo mtihani wa darasa la nne ni kupoteza pesa na kusumbua watoto. Hauna maana yeyote ile. La nne mtoto bado ni wa kubembeleza aipende shule sio kumpa ratiba kama anasomea rocket science.
Watu wanafanywa fursa bila kijijua. mmoja aliniambia hana mtu wa kumwachia watoto akienda kazini. Nikamwambia ni cheap kumwajiri mwalimu mmoja aje kucheza na watoto nyumbani kuliko kuwapeleka day care.
Ni kutesa watoto tu
Kuna matatizo sehemu nyingi hapa.
Hata wazazi tuna matatizo pia.
Inakuaje mzazi unakaa 12 km kutoka shuleni kwa mtoto tena umepanga? kwa nini usipange karibu na shule ya watoto wako unaamua kupanga karibu na kazini kwako?
Kwa nini mzazi usimtafutie mtoto shule karibu na nyumbani. Kama kwa...
Acha kiburi, badilisha tangazo nyumba yako ionekane vizuri uuze. Utaishia kukaribisha watu tu mpaka lini.
Mtu yeyote mwenye akili akiona tangazo lina muda mrefu linazimuliwa tu kama pombe ya kienyeji analipotezea.
eti "karibuni sana"
Sema whiskey za dar es salaaam zina tofauti kidogo kwenye ladha na za sehemu nyingine hasa nje ya tanzania.
Brandy nazo hivyo hivyo. Nimewahi kunywa hennessy vs nairobi kwa muda kidogo kisha nikaja kunya dar, tofauti kwenye taste. Labda mdomo wangu unaniongopea au hali ya hewa au nini sijui...
Kabisa mkuu. Mimi nafanya biashara, lakini moja tu inanitosha. Nilijaribu kufungua nyingine usimamizi ukanishinda maana hata watoto nilikua nawaona jumapili tu. Sio maisha ninayotaka.
Nawaambia watu kila siku ukiwa na 100m ukanunua kiwanja na kujenga nyumba, huwezi kupata kodi zaidi ya laki 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.