Search results

 1. arabianfalcon

  Wachapana makonde kisa mke wangu

  Pole mkuu naelewa mke anauma sana,chamsingi zidi tuvuta subra tulia kimnya hakuna lisilo kwisha,usichukue maamuzi yoyote hasa kipindi kigumu kama hiki.
 2. arabianfalcon

  Nahisi rafiki yangu anataka nimsaidie kumtia mimba mke wake

  Siri kaka Sio mchezo kuiziba wewe huna Siri hata chembe, tena hapo una hisi angekwambia je? Anae jua kuhimili Siri mwanamke peke Yake..
 3. arabianfalcon

  Biometric registration kushindikana -uchaguzi itawezekanaje kufanyika kwa biometric voting system?

  nakubaliana nawe, kama vifaa vya kujiandikisha havitoshi itawezekana vipi vifaa vya kupigia kura vipatikane? Huu ni mpango wa kuvuruga uchaguzi kwa makusudi ulioandaliwa na CCM baada ya kuona maji kuzidi unga.
 4. arabianfalcon

  Bungeni Escrow - Stanbic Mnyika ahoji usiri/utoroshaji pesa kwenda Austria, S.A na vigogo kutohojiwa

  Kila kilichoanza kina mwisho wake, kila aliyezaliwa hatima ni kufa na kila anayeanza kutembea na kukimbia huhitimisha kwa kufikia ukingoni ndicho kinachoendelea kwa CCM. Sawa na sikio lisilosikia dawa, vurugu moja kwa moja hakuna unafuu wo wote. Angalia Kikwete anazidi kuwagawia watu ulaji...
 5. arabianfalcon

  Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

  Sidhani mleta mada anamaanisha ni kampeni za uchaguzi, ila ukuzaji vipaji vya vijana na kuwawezesha kimaisha. Kufanya hayo si lazima uwe mbunge, ye yote nafasi ikukuruhusu inawezekana.
 6. arabianfalcon

  Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

  Tukio linajieleza, na meelezo kwamba kiingilio kilikuwa kiasi gani na idadi ya watu waliohudhuria inaonyesha waliondoka na kiasi cha kuwaridhisha hawa wasaanii wa ngoma ya asili. Ubunifu huu nimeupenda, si kwenye muziki wa kizungu tu, kuna ngoma za asili kama hii naona hata uvaaji wake...
 7. arabianfalcon

  Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

  Enzi hizo ngoma hii ilikuwa ya wanaume tu na akina dada waliserebuka kwa ile ngoma yao ya kukata mauno iitwacho chihoda, lakini naona siku hizi ni full mchanganyiko mabibi na mabwana.
 8. arabianfalcon

  Msaada - mtu anasumbuliwa kwa kutiliwa dawa kiintelijensia - ananuka madawa, tumsaidieje?

  Kuna mtu anasumbuliwa kwa muda sasa anatiliwa dawa kiintelijensia (kwa siri) muda wote ananuka madawa, na yanapopungua wanaongeza tena. Kisaikolijia inamgharimu na kukosa raha kama walivyo binadamu wengine. Hapa Jamii forums hapakosi wenye uchungu kwa wengine, wenye moyo mwema na upendo wa...
 9. arabianfalcon

  Anahisi kuwekewa dawa za harufu mbaya kisiri nini afanye?

  Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona. Kila nguvu ya dawa ikipungua wanaongeza tena. Hata walio naye wanasikia harufu ya madawa hayo. Inamfanya apate...
 10. arabianfalcon

  Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

  Kauli ya kuingia msituni ingetolewa na mmoja toka upinzani leo angekuwa anasota jela, lakini serikali ya CCM kwa jeuri yake wakampigia makofi na Mungu mwenye haki kaamua kumwepusha na azima ya kwenda msituni kwa kumshtukizia bila kuonja maumivu ya kipekee yenye kumpa muda wa kukumbuka...
 11. arabianfalcon

  Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

  Haijawa wazi hapa sasa mmoja amejasiri, sasa huyo mumewe Prosper Mbena aje akanushe kama mkewe hakuchukua pesa hizo, Wengine tulianza kumfikiria Mke wa Rais kumbe si kweli, pengine Kikwete atatoka msafi, kuna wanaomharibia na kumchafulia Ikulu yake. Mwaka huu kabla hatujafikia Uchaguzi Mkuu...
 12. arabianfalcon

  Filikunjombe: TANESCO shirika la umma au binafsi? Iweje pesa zisiwe za umma?

  Labda wananchi hawajataarifiwa rasmi kuwa shirika la umma la Umeme Tanzania (TANESCO) limebinafsishwa. Kama lingali shirika la umma pesa zilizotokana na shirika hilo iweje zisiwe za umma?
 13. arabianfalcon

  Mama anapomnyonyesha mtoto ni ridhaa ya kumshibisha mtoto bila kujisikia raha fulani?

  Akina mama wenyewe ndio wanaojua nini wanakionja anapomnyonyesha mtoto, watasaidia kuchangia mada na kutushirikisha uzoefu wao. Sisi wanaume vigumu kumeza.
 14. arabianfalcon

  Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

  Labda tungefikiria kama tumewahi kuona member toka chama cha upinzani kupata mapokezi aina hiyo kutokea. Mbona jambo la kawaida kiongozi wa kisiasa kukaribishwa kwenye viwanja vya michezo, hata Kikwete alishawahi kukaribishwa huko Marekani lakini hakukuwa na uzito kama huo.
 15. arabianfalcon

  Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

  Lukuvi yupo lakini kushoto kwa Lukuvi sina hakika kama ni Mbowe
 16. arabianfalcon

  Maalim Seif akishinda urais Zanzibar, Shein atakuwa makamu wake uchaguzi mkuu ujao?

  Pamoja na upande wa bara kuonyesha dalili za kwamba utakuwapo mchuano mkali wa wagombea urais CCM na Ukawa, mchakacho wa katiba mpya unaonekana kitanzi upande wa Zanzibar. Wajumbe wa Zanzibar wametekwa na wajumbe wa bara kwa masilahi ya upande wa CCM bara bila kujali masilahi ya CCM visiwani...
 17. arabianfalcon

  Elimu ya uraia inapokosekana na kupandikizwa jazba za itikadi kisiasa

  Maoni mazuri lakini unaelekea kuelekeza mashambulizi upande mmoja ingawa pengine ina leta ladha ya kwamba wanaotakiwa kuratibu elimu unayosema ya uraida ni serikali inayoongozwa na CCM lakini ndiyo inayowavurumushia mawe wanaokuwa na itikadi tofauti na zao.
Top Bottom