Search results

 1. Tanzania 1

  Ustaadh akamatwa!!!

  Hivi ni kuchanganyikiwa au ni kukosa hoja?! Tena kwa umbumbumbu wako umetaja jina lenyewe hasa. Kwa taarifa yako, kulikuwa na anti Peter, na alifariki kwa ukimwi miaka michache iliyopita. Unasoma kweli magazeti, kondoo wa mchungaji?! Tafiti kabla ya kubwabwaja!
 2. Tanzania 1

  Ustaadh akamatwa!!!

  Hivi Barbie gi*l uko ktk sayari gani? Hujui kuwa kanisa katoliki nchini Marekani limefilisika kutokana na kufidia kesi za ngono nje ya mahakama?! Vipi khs kanisa la anglican; hujui kuwa ushoga unahusiana na ngono?! Swali kwako: Hivi kuna uhusiano gani kati ya wakristo na ngono?
 3. Tanzania 1

  Ustaadh akamatwa!!!

  And who the heck told you, Abu-Jahl of this era, that Ahlul (not Ahl, rudi darasani) Kitaab (not Khitab, waombe wapemba wakufundishe) = wasomi?!
 4. Tanzania 1

  Happy Birthday to Bi Mkubwa

  may you live to blow 101 candles in a happier healthier condition many happy returns of the day, bi mkubwa!!
 5. Tanzania 1

  Nini ni tofauti ya 'Mdomoni' au 'Kinywani'?

  Kinywa ni pango (mouth cavity) ktk mwili wa mnyama, lenye meno na ulimi.
 6. Tanzania 1

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

  Kwa kufuata mstari ulionyooka, Coy E ilikuwa ya mwisho. Mm nilikuwa Coy hiyo, ambayo ilikuwa imepakana na pori na njia ya kuelekea kwa "Babu". Siku moja ilitoka order kuwa siku inayofuata, asubuhi, kutakuwa na Master Parade. Kuruta tulikuwa tunapata taabu sana wkt km huu. Km kawaida ya...
 7. Tanzania 1

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

  Hii imenifurahisha sana, Mkuu! Huu ndio uzuri mmojawapo wa JKT.
 8. Tanzania 1

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

  Hebrew, Hata nami nilisikia kuwa col. Urio alifariki. Huyu alitukuta, nasi tulimkuta col. Meena. Mnaukumbuka wimbo wa "Malela, Malela, Malelaaa, ... Malela, Malela, Male nakutafuta!!"? Tuliambiwa kuwa Huyu Malela alikuwa ni kuruta (msichana, nadhani). Siku moja alitoka yeye na kuruta mwenzake...
 9. Tanzania 1

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

  Kunahitajika marekebisho mengi, hasa kudhibiti uonevu kwa wasichana/wanawake, kwani ufuska JKT ndiko kwao; na huu UKIMWI!! Sijuiii!!
 10. Tanzania 1

  Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

  Oh, ulikuwa Coy Eagle! Ruvu, au Buhemba? Ruvu: Uliwakuta maafande Lyimo, Medadi, Zuberi, ...? CO alikuwa nani? Maafande wengi wamefariki, akiwemo Dr Omari, adjutant Jalala (km sijakosea jina).
 11. Tanzania 1

  Mu-Iraqi Amrushia Bush Viatu Hadharani!!!!

  Ni bora yamkute yeye mwenyewe; alikuwa akiwatumia akina Collin Powell hadi wakamstukia. Do you remember the boos and heckles directed to Colly in south Afr?
 12. Tanzania 1

  Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

  Mahakama ya Kadhi itahusu sheria za ndoa, mirathi, na malezi kwa watoto, SI hukumu nyingine.
 13. Tanzania 1

  Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

  Kuhusu hoja ya Tz kuwa na uhusiano na Vatican, hiki ni kiini macho tu. HAKUNA NCHI YOYOTE DUNIANI YENYE UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA VATICAN!! NCHI ZINAZODAIWA KUWA NA UHUSIANO NA VATICAN, HASA ZINA UHUSIANO NA "HOLY SEE" - SI VATICAN! HOLY SEE NI MAMLAKA YA KI-PAPA, SI NCHI!
 14. Tanzania 1

  Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

  Mahakama ya Kadhi itahusu sheria za ndoa, mirathi, na malezi kwa watoto, SI hukumu nyingine.
 15. Tanzania 1

  KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

  Neno likijulikana na wengi, na jamii ikilikubali, huwa tayari ni neno rasmi. Tunaweza kusema, kwa mfano, ..... ni Mandela wa Tz, au .... ni Shakespeare/Shaaban Robert wa zama hizi. Hivyo, tunaweza kusema pia: "Walimu vihiyo lazima ...." Labda tuchukue mfano hai. Mabasi ya abiria ya jijini...
 16. Tanzania 1

  Andrew, Omari, Cornell and Robert

  All were riding the horse backwards! They thought they were curbing the horse, fancy that they were merely holding its tail!
 17. Tanzania 1

  Kiingereza cha kiTanzania

  Hivyo ulivyokuwa unajua awali ndivyo sahihi. Hata mtoto wa baba yako mdogo, mjombao ni nduguyo.
 18. Tanzania 1

  Hold your comments (angalia usitoe maoni)

  Maybe ni hizo ndevu!!
 19. Tanzania 1

  Kiingereza cha kiTanzania

  Jaribu kuulizia kwa wazee wa pwani (hasa Kimtang'ata) khs tofauti kati ya "kaka/dada" na "mdogo" (eg wangu).
 20. Tanzania 1

  Polisi Wanachangia Uhalifu

  Matapeli wengi wamekuwa "wakiwazukia" wananchi kwa kudai kuwa ni askari kanzu na kuwa wana mashaka na mtu/watu "waliowazukia". Lengo lao hasa ni kumtia mshikemshike "mtuhumiwa" wao ili waweze kumchomoa pesa kwa madai ya kuizima "tuhuma" kwa kutoifikisha mbele. Hili limekuwepo miaka nenda...
Top Bottom