Search results

  1. jjs2017

    Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    Mkuu mwanamke asikilizwi mkuu.... Mwanamke anakupima kujiamini kwako..ukienda tuu gym anajua hujiamini hivyo anakupiga chini.. usithubutu msikiliza mwanamke , wewe mwitikie tuu ila usitekeleze na hiyo ndio mbinu ili asijue humsikilizi
  2. jjs2017

    Tulie kula mashemeji zetu tukutane hapa

    Habari za wakati huu.. Kama kichwa kinavyo jieleza kama ulisha wahi kumla shemeji yako eleza ilikuaje kuaje mpaka ukamla. Mimi ilikua hivi 1: Mnamo mwaka 2017 nilienda kijijini sasa mtoto wa baba mdogo wangu alikua na mke wake mzuri tu, mkewe alitokea kunizoea sana japo nilijitahidi kujitenga...
  3. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Wanawake wanakataa wanaume mkuu, dada zako wachunguze vizuri sio kwamba hawapati wakuwaoa.. wanakataa na wanachagua sana.. amini nakuambia mkuu
  4. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Waoaji wapo wengi.. tatizo mnawafuga mwisho wa siku wanakua wamejazana nyumbani tena kwa dharau wanawaletea na vitoto ambao hawajui hata baba zao ni kina nani.. Acha mara moja hiyo tabia ya kuwa kingia kifua okoa kizazi na Fukuza akafunzwe na ulimwengu...
  5. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Aende akaolewe na kujitegemea na awe na uwezo wa kujikwamua kiuchumi, Acheni uoga wafukuzeni msiwalundike lundike majumbani hovyo.. wana changia sana kuharibu mabinti wanaojielewa. Mzazi ukisha mkingia binti yako kifua hawezi kuolewa ndio atakua anakataa wanaume wanao mposa na kuwajibu hovyo...
  6. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Nyie ndio mnao haribu watoto wenu wa kike....
  7. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Wewe ni mwanamke wa ajabu sana.. tena hujitambui kabisa
  8. jjs2017

    Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

    Mwanaume sio katili mwanaume ana msimamo hasa hasa pale mwanamke anapoleta ujinga ujinga.. mwanamke ni kiumbe hatari ewe mwanaume usimwonee mwanamke huruma.. ishi na mwanamke kwa akili tuu utakuja kushukuru sana
  9. jjs2017

    Kwanini mnawapangia wanawake ukomo wa umri wa kuolewa?

    Mwanamke ambae hajaolewa hanatofauti na gari lisilo na matairi ..sijui umenielewa
  10. jjs2017

    Nimewekewa chai isiyo na sukari na mia mbili kwenye poti la vitafunwa

    Mkuu, Naomba namba za mke wako ni mkanye
  11. jjs2017

    Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

    Mkuu hiyo namba mojana utafutaji wa hela havikai pamoja.. Walisha tuambia tutafute hela ..sasa wewe katenge muda wa kukaa nae mkeo / mwanamke uone kama hatokuchoka mapema
  12. jjs2017

    Mke analia bila kukoma baada ya kupata pesa bila kumwambia

    Usiangalie machozi ya mwanamke hata yawe yanatoka damu mkuu , machoz ya mwanamke yanakupima uimara wako kama mwanaume ukilegea tuu umeisha .. Kilio na Machozi ya mwanamke ni ya kuyapuuza kabisa amini nakuambia
  13. jjs2017

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha kujiona wao ni wao na wanaweza kuishi wenyewe bila kua na mwanaume atakae kua kichwa. Mtazamo huu...
  14. jjs2017

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Mkuu bora kuzaliwa mwanaume... Hakuna mwanamke anaependa kuwa mwanamke na kukojolewa ndani ,.. ni vile tuu hawana namna wanakubali tuu ili waweze kuishi...imagin unawekwa dogstyle huku unapigwa kofi la m^tak¢
  15. jjs2017

    Siku niliyosalitiwa na kuachwa ilikuwa mbaya sana ila sasa hivi nafurahia

    https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-kwa-wanaotumia-uzi-huu-kwa-maslahi-yao-binafsi.2079116/ ""Ushauri kwa wanaotumia uzi huu kwa Maslahi yao binafsi""
  16. jjs2017

    Siku niliyosalitiwa na kuachwa ilikuwa mbaya sana ila sasa hivi nafurahia

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Nitoe ushauri kwa watu wote wanaotumia huu uzi hapa chini kujinufaisha ili kujipatia maslai yao binafsi ya kiimani. https://www.jamiiforums.com/threads/siku-niliyosalitiwa-na-kuachwa-ilikuwa-mbaya-sana-ila-sasa-hivi-nafurahia.2078762/ "Siku niliyosalitiwa na...
  17. jjs2017

    Siku niliyosalitiwa na kuachwa ilikuwa mbaya sana ila sasa hivi nafurahia

    Nimeleta mrejesho... Nawala silii
  18. jjs2017

    Siku niliyosalitiwa na kuachwa ilikuwa mbaya sana ila sasa hivi nafurahia

    Ananijulia hali na sina ubaya nae, Hali yake ni kwamba aliye mzalisha amemwacha .. kawa single maza naanateseka kweli kweli... Japo inaniuma ila ndio maisha aliyo ya chagua ..
  19. jjs2017

    Siku niliyosalitiwa na kuachwa ilikuwa mbaya sana ila sasa hivi nafurahia

    Unaweza ukasalitiwa ila usiachwe... Hayo ni maneno mawili tofauti
Top Bottom