Huwa wanakiburi sana kwa sababu ya pesa zao, mwanamke wa namna hiyo, huwezi ukafuliwa, kupikiwa inakuwa tabu, hata unyumba kunyimwa inakuwa sio shidaaana hujiona kama ni mabosi, tena usiombe ukapata mwenye kacheo kazini kwake anahamishia kacheo nyumbani. Kazi kwako
Hapana sio kweli, John amekulia mazingira tofauti ana tabia zake na misimamo take, na Khamisi amekulia mazingira tofauti na tabia zake kamwe hawawezi kuwa sawa
Vitoto hivyo vinavyolalamika, ajira ngumu hela hamna na wao wanatafuta mishangazi ya kuwalea kwaninj wasilalamike, anayejitambua huwezi kumsikia akilalamika labda achezewe faulo, au goli la offside hapo atalalamika
Mbambikie aliyekukataa, kwanini umbambikie aliyekuthamini katika wote waliokuumiza yeye akaona thamani yako, fikiri umelala na wanaume wangapi waliokuahidi kukuoa lakini walikuacha? Umetoa mimba ngapi za hao waliokudanganya na wakakuacha, lakini yeye akakupenda na kukuthamini na kuona unafaa...
Usioe usomi wakee, usomi aweke nje akiingia ndani anakuwa mke, mambo ya familia amua mwanaume hakuna discussion ukiruhusu ruhusu discussion ndio utaleta majibizano na ubishi usio na maana, husika Moja kwe Moja kwenye huo usomi wake ajione pamoja na usomi wake kwako si kitu, usiulizie ulizie...
Hapana ndio maana maandiko yanasema hakukumbuka kutubu, maana yake lilikuwa kosa, Petro alimsaliti Yesu mara tatu lakini alikumbuka kutubu maana yake alikiri makosa yake hata kama Yesu alisema kuwa atamkana mara tatu
Wewe ndio hujaelewa, Mzee ana watoto wanne, mabinti watatu na kijana mmoja, katika hao watoto wanne wawili tu ndio halali wa huyo Mzee lakini mmoja ni mtoto WA yule doctor mgonjwa ambaye alizaa na mama yake, kijana mwenyewe ni mtoto aliyeibiwa Kwa kubalishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.