Zinarudi enzi za TRA- kujaza Wachaga kana kwamba makabila mengine hakuna wanaokidhi vigezo. Mwaibula na watu wake wa Iringa pia aliwajaza sehemu fulani.
Issue ya madarasa inaboa sana, wanajinasibu wamepata matrilioni ya pesa kujenga madarasa lakini wananchi wanachangishwa pesa kujenga madarasa, hii mbona siielewi? Mliosoma Cuba mnisaidie
Barcelona jana alipotoka na ushindi wa goli moja dhidi ya Villarreal, wallet yangu ikanona kwa kitita cha 10,100,000/= halafu uniambie eti kamari mbaya?
Hawatashindwa kukamata eti ni raia halali bali wanakamata watuhumiwa, msije kujidanganya eti Samia hana noma, thubuuuuutu mambo ya usalama wa nchi ni another level.
Nyamagana Mwanza, huyo Mabula ni boya kabisa tunatamani Wenje arudi 2025 tumpe Jimbo, na kama siyo Wenje basi aje John Heche tumkabidhi Jimbo ila siyo John Pambalu maana bwana mdogo ana siasa za kishamba.
Chalamila yupo sahihi, Wahaya ni wabaguzi sana kwa watu wa makabila mengine wanaokuja Kagera eti mnawaita Wanyamahanga, pia mna ujuaji wa kishamba sana. Kwa kweli kwa majungu mko vizuri kupitiliza na ndo maana hakuna mtu wa kabila tofauti na muhaya anapenda kuishi Kagera na hata wana Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.