Nyumba ni uchumi... Kwa sisi tuliozaliwa DSM Kwa mfano Sinza miaka ya 80's ilikuwa mashamba ya mpunga na mtu angeweza kupata eneo kirahisi. Leo kiwanja ni milioni 300-500.
Wanafunzi wote wa elimu ya msingi walelewe nyumbani. Kuwe na shule chache za bweni Kwa wale wenye changamoto. Serikali isiruhusu wanafunzi wa primary wakae bweni. Ni hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.