Search results

 1. S

  Katiba undecided

  Bado niko undecided.. tena hasa baada ya kuona watu kama EL wanasapoti... ameshaona mwanya wa kubadilisha mambo ili anufaike... Kila kundi lina interests zake... you better explain in details....how we gonna reach our goals... Hivi kwa mfano leo hii ipigwe kura kuangalia tufuate mfumo wa vyama...
 2. S

  Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika

  Sema Mzee... Rhode Island nayo ina maseneta (US Senators) wawili na udogo wake... kwa kiasi kikubwa nakubaliana na CUF ila kuhusu muungano nadhani Zanzibar ingekuwa territory kama ilivyo puerto rico. Bado sijaona sababu za kuifanya Zanzibar kuwa state. Nitapinga kila kitu kinachohusisha dini...
 3. S

  Chekini itv'

  It depends om how you look at it... serikali inamiliki 100% ya Tanesco. Kama unaendesha nchi kama empire it sounds very stupid kwa idara za serikali kulipa umeme... ni sawasawa na mfugaji kununua mayai yake mwenyewe na baadaye kurudisha hizo hizo hela mfukoni mwake. Plus, serikali bado inaipa...
 4. S

  Katiba undecided

  Hivi mnasemaje kuhusu mawazo yangu naona mkausha. Kama ni pumba si mniambie tu F up yourself na mimi najui cha kufanya.
 5. S

  Katiba undecided

  Nimeambiwa humu ili topic yako iwe na viewers wengi for somehow you have to find a way to link with Zitto... hahaha. Anyway, sina haja hiyo topic yangu niliyoanzisha zaidi ya miaka mine iliyopita ndiyo inayoongoza humu wa Replies/Views. Mwanakijiji upo hapo...
 6. S

  Jiulize kama una akili timamu

  Sasa hapa sijui nani ambaye hana akili timamu, kati ya wewe na wao walioipigia kura CCM. CCM imetawala miaka 33 toka 1977 na siyo 50 kama unashindwa simple math na wewe pia unahitaji medical attention. Ofcource dawa haziko mahopitalini ziko kwenye pharmacies... kama wewe na akili zako unaenda...
 7. S

  CCM kumeguka ni muhimu kwa Taifa!

  Well, Hivi kama mnataka chama chenye wanachama (5 millions) kati ya 40 kimeguke yaani kuwe na vyama viwili kimoja 2.5mil na kingine 2.5mil mnatakia kweli taifa mema? Yale yale mambo ya kuombea mabaya yatoke ili tupate mambo yakuongea. Kwa upande wangu ningependa angalau CCM ingekuwa na wanachama...
 8. S

  Bajeti Tegemezi Na Matumizi Yetu Kwenye Misafara: Hivi kweli tunachapa kazi?

  JF kwenye ni burudani....magari yanayoingia kwenye bajeti ya matumizi ya waziri mkuu hayazidi matano inafurahisha kuona eti kuna mtu analiingiza gari ya RPC kwenye bajeti ya waziri mkuu.. hii fweza ya matumizi haya inapitishwa na bunge hapo inaonekana wakati wa bunge watu mlikua mnasoma fugures...
 9. S

  CHADEMA wanapoandamana kumtaka Mbowe atoe maelezo kuhusuiana na kifo cha Wangwe

  I didn't know if you set the time limit for my answers. From my understandings the future has no limit. Usiwe na wasiwasi ndugu yangu humu kwenye forums haondoki mtu tutakuwepo mpaka mwisho. Majibu ya maswali yote watu walioniuliza humu yatajibiwa huko mbeleni. Nakumbuka na ile issue ilikuwa kwa...
 10. S

  CHADEMA wanapoandamana kumtaka Mbowe atoe maelezo kuhusuiana na kifo cha Wangwe

  Ungekuwa na uwezo wa kutofautisha Chama cha Siasa, Serikali, na Chama tawala ungekuwa na msaada mkubwa sana katika kupambana na matatizo yaliyopo. Au kwa kuwa unajua watu wanaosoma mawazo yako wanaamini chochote unachooandika? Labda tu nikuulize ni kwa nini EPA hukuiingiza kwanye wezi wa BOT au...
 11. S

  Confirm if you are coming...

  Usiingie mitini kama kawaida yako.
 12. S

  Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

  Mwanakijiji, Niliposoma post yako mara ya kwanza nikaona sasa umeanza kuchanganyikiwa ila baadaye nimegundua unataka kuonyesha kuwa pamoja na kuwa CHADEMA ina wakurugenzi wengi kutoka Kilimanjaro lakini haimaanishi kuwa ni chama chenye ukabila. Kwanza lazima uelewe wajumbe wengi wa Kamati kuu...
 13. S

  Kuumbeee, hata magazeti ni mafisadi...!!

  Sidhani kama huyo mbunge amesema makampuni mengine ya simu yanalipa kodi. Najua kampuni kama Tigo inastahili kuwemo kwenye "tax holiday". Mbunge amezungumzia urefu wa tax holiday. Hoja yake ameijenga vizuri baada ya kuweka figures ambazo zinaonyesha ni kiasi gani Vodacom wanapata kutokana na...
 14. S

  Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

  Ahsante Mzee, siwezi kuifungua nimeshajua tatizo ni nini nyie endeleeni mtatupa updates baadaye.
 15. S

  Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

  Mzee mimi sioni hiyo "sikiliza live"
 16. S

  Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

  Hivi hilo radio mnaipataje?
 17. S

  Testing KLH Live!

  Mwanakijiji nataka kukusikiliza leo nikiingia www.klhnews.com sioni sehemu inayosema live.
 18. S

  Kuumbeee, hata magazeti ni mafisadi...!!

  Bubu ataka kusema, Hivi kweli watu wenye kipato kidogo wanalipa kodi Tanzania? Naomba uziorodheshe kodi wanazolipa na viwango ili tuanze kuzipigania hapa. Halafu kuna jambo jingine hapa inabidi tuwe wazi, unapokuwa mfanyabishara lengo lako kubwa ni kupunguza gharama na kuongeza kipato. Kama...
 19. S

  Kuumbeee, hata magazeti ni mafisadi...!!

  Kwa hiyo manataka kuniambia Tanzania Daima nalo ni gazeti la kifisadi au linamilikiwa na mafisadi?
Top Bottom