Search results

 1. K

  Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

  Lukuvi kweli hapo umeongelea jambo la maana kabisa. Japokuwa nimesikia unasema eti almashauri zipate faida kwenye kupima viwanja! Hapa mimi nasema HAPANA, kazi ya kupima viwanja kwa Manispaa na Almashauri ni moja ya jukumu muhimu kwa niaba ya serikali kuu na kisiwe chanzo cha mapato. Iweje sasa...
 2. K

  Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

  Mkuu pamoja na definition yako ya insanity bado unaendelea kuamini ni sawa kuendelea kufanya mambo yale yale kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti! Mambo ya kuonea haya na kulindana ndiyo yametufikisha hapa! Kwanza hakumdhalilisha yeyote, alisema ukweli na baada ya panga la kwenye...
 3. K

  Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

  Mkuu kwa kukumbusha tu kuhusu Iraq pia; Marekani anashirikiana na Iran kwa sasa kupambana na ISIS. Ni ajabu na kweli labda ndiyo ule usemi maarufu wa "Enemy of your Enemy is a Friend"! Nilijiuliza maswali kama yako wakati wa uchaguzi uliopelekea kuondolewa KANU madakarani kwani akina Prof...
 4. K

  Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

  Wakati wa uchaguzi usemwa watu usema mengi bila aibu wala soni. Je tunakumbuka yaliyosemwa na kuandikwa juu ya Dr. Salim A. Salim mwaka 2005? Kwa jinsi mtoa mada anavyoelezea hisia zake ni vigumu kuamini hoja yake zaidi ya kudhani kuwa ndiyo siasa chafu za Tanzania. Siasa za haki ni bora kwa...
 5. K

  Hili la January Makamba ni hatari zaidi

  Unajua mnachekesha sana kuwasoma wakati mwingine. Nirahisi sana kumuona January Makamba amekosea kusema hivyo wakati kila mkutano niliwahi kuhudhuria wa vyama au sherehe za Kitanzania lazima muanze na Asalaam Aleikum - Asifiwe bwana Yesu Kristo, sasa kama mliona kuna makosa ya matumizi ya dini...
 6. K

  Burundi asks citizens for election donations

  Siasa za Africa bana, si muda mrefu tutaambiwa hela ishachangwa na wananchi wazalendo na uchaguzi utafanyika kama kawaida! Naipenda sana Africa!
 7. K

  Tume ya 'Operation Tokomeza' yadai Waziri Khamis Kagasheki na wenzie hawana hatia

  Tanzania bana, mtu aliyewajibika kisiasa anatakiwaje kulipwa fidia???? Nakumbuka hata Jairo aliambiwa na Luhanjo kuwa amesingiziwa na alipwe fidia, baada ya kurudi ofisini na mbwembe wote tunajua kilichotokea. Bahati mbaya sana watawala ujiona wao ndiyo wenye haki tu, manake niliona huyo...
 8. K

  The Met Gala: Beyonce, Kim, Rihanna & Parker put a Chinese twist on fashion at $25k-a-ticket party

  Hivi habari hii inaweza kukwepa sheria yetu mpya ya mitandao????? Yangu macho!
 9. K

  Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba, Uchaguzi mkuu

  Mkuu umeongelea mambo mengi ya muhimu sana ambayo yote umeyaweka kwenye maswali kwa hao wanasiasa, ningetemani wajipe majibu ya kila swali ulilouliza labda watabahatika kujua wajibu wao na nafasi yao nini kwenye nchi. Kwa kuongezea tu; Amani ni rahisi kabisa kutoweka kwa kujaribu hizi njia...
 10. K

  Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

  Hii sababu yako mkuu ndiyo inanipa shida huko tuendako manake hata hawa wakristo makanisa yao hayataki kabisa mambo ya talaka. Yanadai eti ndoa ni mpaka kifo tu kitawatenganisha, lakini serikali inavunja ndoa hizo, je wao nao siwatataka kuwa na mahakama zao ili kuaddress hili tatizo la ndoa na...
 11. K

  Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

  "Kabla ya kuanza majadiliano, Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia, alitoa hoja kwa Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, Katiba, Sheria na Utawala, William Ngeleja, kwamba wakati wa majadiliano waandishi wa habari wasiwepo ukumbini kwa kile alichoeleza ni unyeti wa jambo hilo." Kama kuna kitu...
 12. K

  Afande Sele, Urafiki wetu na wewe hauko kwenye sanduku la kura

  Hapo kwenye RED mkuu tumeelewa kwanini unamsakama huyo Afande Sele! Siasa bana! Ukiwa upande huu wewe ni mteule na kiongozi mtarajiwa ila ukiamia chama kingine unaonekana mhuni wa kijiweni na mpiga msokoto!
 13. K

  Wabunge wa UKAWA kuweni makini katika kujadili mahakama ya kadhi

  Kwa mtizamo huu naanza kuelewa siasa za Tanzania. Hivi kweli kwenye jambo linalotishia umoja wa taifa letu tunaingiza ujanjaujanja! Amakweli wanasiasa ni miongoni mwa kundi la kuangaliwa kwa umakini sana.
 14. K

  Hii ndiyo Mahakama ya Kadhi inayodaiwa

  Mkuu heshima yako kwa kutambua hatari wanasiasa wanayoileta mbele yetu. Dini ni sehemu rahisi kabisa kusambaratisha umoja katika nchi yetu. Sijui upofu huu wa kudhani tuna amani na umoja ni akina nani wanauendeleza? Jamani wote tumekuwa tukishuudia jinsi gani mijadala ya dini inavyowagawa...
 15. K

  Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe

  Mkuu heshima kwako kwa kujaribu kuchora picha inayoweza kutokea kutokana na vitendo vya kukanyaga haki za raia. Nilifuatilia mambo yaliyotokea nchi za kiarabu na bado naendelea kufuatilia mpaka leo. Ninaloweza sema hapa, ni mshangao wangu kwanini hatujifunzi kwa yaliyotokea kwa wenzetu! Yetu macho!
 16. K

  Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

  Haraka haraka wengi hatuoni ni kwanini ni makosa. Lakini naendelea kuamini kuwa hili litakuwa ni kosa kubwa manake zitaibuka dini nyingine nazo zitakuja na sheria zao na "makadhi" wao na watataka tuwalipe mishahara. Hapa sijui tutakataaje kuwalipia wengine. Naendelea kuamini ushari aliotoa JK...
 17. K

  Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

  Mkuu hili la Umeme vijijini tunampa Prof sifa za ziada kwasababu si yeye aliyeanzisha hizo program ila alizikuta na akaziendeleza vizuri, tunategemea hata huyu aliyeteuliwa ataziendeleza vizuri. Muhongo alikuwa msomi hilo halina ubishi tatizo lake hakuona au alifumba macho wakati wajanja...
 18. K

  Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

  Mkuu inaonekana una uchungu sana juu ya kuondoka kwa kwa Prof lakini ukisoma kwa makini utajua huyo Meela kasema ukweli mtupu. Prof yawezekana alikuwa nafanya vizuri kwenye kazi zake pale wizarani lakini kwa hili la ESCROW hakubahatika kulisimamia vyema hivyo kuondoka kwake ni haki na hakuonewa...
 19. K

  Tibaijuka, Werema, Muhongo, Maswi, Bodi ya TANESCO

  I found it hard to believe that you can't see any problem for her receiving this amount! Forget those school stories, the said amount is too much so we did not expect her to use it for shopping. To confirm her total control on the said amount; at one point she said she will return the money if...
 20. K

  Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

  Wenye mitazamo ya kidini utawajua tu, hata wewe huenda ni mmoja wao!
Top Bottom