Search results

 1. S

  Sijui ni macho yangu tu ila ' Body Language ' ya Makamu wa Rais inanitia wasiwasi

  Iliwahi kusemwa na mwanafalsafa mmoja kuwa 'tunapobadili namna tunavyoviangalia vitu, na vitu tunavyovyiangalia vinabadilika'. Unachoona bila shaka kinatokana na mabadiliko katika macho yako kuliko kubadilika kwa taswira ya Mama Samia. Wengine tunamuona yuko vile vile tu na bashasha lile lile...
 2. S

  Rais yuko Marekani Matibabuni,Rais Mtarajiwa Matibuni Ujerumani

  Nchi yetu haiishiwi vituko. Rais yuko Marekani anatibiwa, Rais mtarajiwa Lowassa ambaye anaongoza kwenye kura za maoni naye yuko matibabuni Ujerumani. Walau tunajua Rais anaumwa tezi dume, anachoumwa Rais mtarajiwa hatukijui. Walau Rais anaumwa mwishoni mwa utawala wake lakini Rais mtarajiwa...
 3. S

  Kampuni Itakayoipa CCM Helcopter hii hapa

  Ukishaona unamuamini mtu kwa kila kitu kila siku basi ujue una tatizo.
 4. S

  Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

  Inashangaza sana kuwa watu wanaojipambanua kuwa wanademokrasia ndio wenye udiktekta mkubwa. Sioni tatizo kwa rika lolote kushabikia chama chochote. Kila chama kina wanachama na mashabiki wa kila rika. Hivyo, vijana wanayo haki ya kushabikia chama chochote. Nadhani unapaswa ujishangae zaidi...
 5. S

  Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

  Sijaona tuhuma za kujibiwa maana hazina kichwa wala miguu. Nimejiuliza maswali kadhaa ikiwa tuhuma hizo ni sehemu ya mjadala na maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA. Kama ndivyo, basi tunayo safari ndefu sana ya demokrasia na kuingia Ikulu. Yuko wapi yule Slaa niliyemjua aliyekuwa akitoa mabomu ya...
 6. S

  Upande wa Pili wa Operesheni Tokomeza- Tafakuri Jadidi

  Upande wa Pili wa Operesheni Tokomeza Utangulizi Kuna tofauti kati ya maneno KWELI na U-KWELI ingawa maneno haya yanatumika mara nyingi kumaanisha kitu kimoja. Kweli inaweza kuwa na ukweli zaidi ya mmoja. Kila mtu anaweza kuwa na ukweli wake juu ya kweli moja. Kilicho kweli ni kuwa...
 7. S

  Dkt. Slaa na mahaba yake kwa Wageni Dhidi ya Watanzania

  Asante sana nakushukuru kwa mchango wako uliojaa werevu.
 8. S

  Dkt. Slaa na mahaba yake kwa Wageni Dhidi ya Watanzania

  Huhitaji kuwa mwana CCM, CUF au mtakatifu CHADEMA katika hili. Hoja hapa ni kiongozi wa wananchi, kutaka kutoa machozi kulilia haki ya Bw. Sohoba kupata mali zake alizodhulumiwa na watu wake badala ya kulilia haki ya mwanajimbo lake aliyeuawa! Huyu Sohoba analilia mali lakini uhai wake anao...
 9. S

  Dkt. Slaa na mahaba yake kwa Wageni Dhidi ya Watanzania

  Ushahidi unaotaka wewe ni upi? Yeye na wewe ndio mje na ushahidi ni kwa kiasi gani Serikali ilimdhulumu Bw. Sohoba. Rekodi za Mahakama kama alivyothibitisha Bw. Slaa mwenyewe ni kuwa Bw Sohoba alihukumiwa kunyongwa. Hukumu ya kunyongwa na kwa makosa ya mauaji jambo ambalo Slaa amelitaja pia...
 10. S

  Dkt. Slaa na mahaba yake kwa Wageni Dhidi ya Watanzania

  Akiwa Washington DC, Dkt. Slaa amefanya mahojiano na blog ya wavuti na kuituhumu Serikali dhidi ya kesi ya Bw. Sohoba anayedai kudhulumiwa na serikali mali zake. Mahojiano hayo yanapatikana katika link hii: Majibu ya Dk Slaa kwa baadhi ya maswali yenu - wavuti.com -- Inashangaza sana...
 11. S

  VIDEO: Alichozungumza Dr Slaa na Watanzania DMT na majibu ya swali kuhusu Bwn Sohooba Keith Smith

  Inashangaza sana umakini wa Dkt. Slaa. Anashangaza sana. Slaa anadiriki kutamka maneno ya kumtetea Sohoba, lakini hazungumzii kosa alilolifanya Bw. Sohoba hadi kuhukumiwa kufa nchini. Nina hakika, Dkt. Slaa anamtetea Sohoba kwa kuwa makosa ya Bw. Sohoba yanafanana na makosa na mienendo ya Dkt...
 12. S

  Muundo wa Muungano: Tunatafuta Haki, Usawa au Ustawi?

  Muundo wa Muungano: Tunatafuta Haki, Usawa au Ustawi? July 22, 2013 Katika siku za karibuni baada ya kuzinduliwa kwa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ya Tanzania, pamekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu Muundo wa Muungano. Shauku kubwa imekuwa juu ya Muundo wa Serikali tatu. Waandishi, wachambuzi...
 13. S

  Hali yavurugika Lubumbashi (Congo), Watanzania wakwama!

  Sasa mko Watanzania wangapi?mko eneo gani? Mnapatikana kwa simu namba zipi? Maelezo uliyoyatoa hayawasaidii kufikiwa na msaada wa mtu yotote. Ni kama mtu aseme jamani niko dar es salaam manomu yanarindima tunahitaji msaada.
 14. S

  Membe: Sitogombea Ubunge 2015

  Huku juu tunasoma Membe hajasema kitu kuhusu gesi wakati kwenye hapa kwenye link nasoma Membe alikuwa akiongea na halmashauri ya Lindi aliwahimiza juu ya umuhimu wa gesi kuwa rasilimali ya taifa. Inaelekea alitakiwa kutangazia ITV ili muanzisha thread hii aridhike. Pengine niendelee kuuliza...
 15. S

  Membe: Sitogombea Ubunge 2015

  Nilidhani kuna hoja ya kujadili kumbe ni kumjadili mtu? Kila la kheri
 16. S

  Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

  Msuli na muda ulioutumia kwa mtu ambaye hajatangaza kugombea urais na hakuwa peke yake leo chuo kikuu kunadhihirisha hofu yako. Mtu ambaye hafai hapotezewi muda kuanzishiwa thread. Ungetumia muda huo kuanzisha thread na kumpamba yule unayedhani anafaa.Tumekuelewa.
 17. S

  Malawi stops talks with Tanzania on Lake Nyasa/Malawi Dispute

  Mimi sishangazwi, tabia ya wanawake kususa
 18. S

  Nyerere: Siku moja Watanzania watalirudia Azimio la Arusha

  Kumepambazuka, nauona mwanzo wa safari mpya, safari ya kurejea kwenye njia itupelekayo kule kwenye nchi yetu ya ahadi, nchi yenye kujitegemea, ambayo watu wake hawapishani sana kimapato, wote wana haki sawa, wanashiriki katika ujenzi na ulinzi wa taifa lao na wanapatiwa hifadhi na kinga dhidi ya...
 19. S

  Membe anapowaita wa Malawi ''Wenzetu'' maana yake nini?

  Kitinku Huhitaji utafiti mpya maana tafiti zipo. Jeshi ll tanzania ni moja ya majeshi imara afrka na haswa kusini mwa afrika. Jeshi letu lina sifa ya ziada ya kupigana vita na kushiriki kwenye vita vingi. Jeshi la Malawi halijawahi kupigana. Aidha hata kwa upande wa vifaa pia si haba...
Top Bottom