Dala dala ipo vizuri, namba D.
Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti.
Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia.
Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.
Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe.
Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi wenye uzoefu wa kujenga, makisio ya chini kuweza kujenga la kawaida uswahilini.
Sehemu ya kujenga...
Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.
Je, kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.
Wazoefu...
Fundi aliyenibadilishia mita alinikuta home jana.baada ya kuongea nae sana kakiri kabisa huduma ni bora mno kwa wateja kwa sasa.ila wao hali imekuwa ngumu kwa kuwa ule ujanja wa zamani haupo.vishoka haki imekuwa mbaya mno hawana kazi tena.huko nyuma ulikuwa huwezi kupata huduma yeyote bila...
Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa...
Miundo mbinu nchi nzima.vituo vya afya vinajengwa.madarasa.vifaa vya hospitali.mikopo elimu ya juu.elimu bure.ruzuku ya mbolea.skimu za uzalishaji kupunguza tatizo la ajira.St scan.mri na vifaa nyeti hospitalini nakiri kabisa tozo ni sahihi kabisa.
Hayo yote yakifanyika baada ya muda mfupi nchi...
Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.
Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.
Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way...
Nimenunua gari DSM harria ya mwaka 2003. Naomba kujua gharama ya kusafirisha kwenda Mwanza. Mafuta lita ngapi? Dereva analipwa bei gani kulipeleka Mwanza. Ipi rahisi kuliendesha au kulipakia kwenye fuso?
Dereva mwenye uzoefu anipigie nimpe hiyo tenda. Je, kuna uwezekano wa kupata abiria wa...
Kuna tapeli kajifanya ananunua gari yangu, nikampa jina kamili na namba ya akaunti halafu kapotea. Akaunt ina pesa nyingi.
Je, kuna uwezekano akatoa pesa?
Wajuzi tusaidie la kufanya
Changamoto nilizokutana nazo leo bora magari yote yapakie stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi. Nimepanda gari ya Ester Kitunda saa 10.20 nikashushwa River Side.
Nikapandishwa basi jingine kutoka Buza nikashushwa magari saba usiku. Hapo magari saba hakuna choo wala kiti.
Nikasubiri hapo mpaka...
Tunashindwa kupata mrejesho wa uhakiki wa vyeti ili kuendelea kuomba mikopo. Mbona hatupewi mrejesho wa uhakiki? Je, huwa inachukua muda gani?
Je, tuendelee kusubiri mpaka lini? Dawati la mikopo lipo wazi mpaka lini? Mimi nimehakiki tangu 28.7.2022 sijapata uhakiki. Je, niendelee kusubiri?
Gari zote nzur.zipo njiani.zina vibali.namba DSXN158 NA DQG 850 bei milioni 15 tu.maongezi yapo.gari zipo kitunda DSM.piga 0653 141 189.kamisheni ya dalali.500.000
picha hizo hapo
mimi nimejenga sana.kinachopandisha garama za nyumba ni kushindwa kupatana vizuri bei na.mafundi pamoja na kuibiwa vifaa.mafundi wengi ni wezi wa vifaa na garama za ujenzi siyo halisi.ukilijua vizuri soko la vifaa na kupatana vizuri bei hushuka kwa 50%.tulio na uzoefu wa estate nyumba ya...
umekwenda na muda.ibada imechukua saa moja tu.mahubiri yako yamekuwa mafupi lakini ujumbe na somo limeeleweka.Messege delivered.sikuona muumini aliyesinzia kwa kuwa umekwenda na muda na somo limeeleweka. ibada inapokuwa fupi saa moja au moja na nusu tu waumini hawachoki.ibada inapozidi saa mbili...
Natafuta binti wa kazi za ndani.
Mshahara 60,000 kula, mawazi, dawa, nguo juu yangu.
Kazi kupika kufua kuandalia mtoto chakula.
Kukaa kwa mwajiri.
Mahali DSM
Kama uko mikoani nauli itatumwa na utapokelewa Mbezi.
Piga simu au nibip kwa mawasiliano 0653 141 189
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.