Ebu tuelimishane.
Kwa muda mfupi niliojiunga JF nimekua nikisoma sana post za love connect na responses mbali mbali zinazotolewa na members and I must say am deeply dissapointed.
Naona hii ni section ya watu kuandika kama wanatafuta wapenzi then wasubiri kuzodolewa,discouragements,kejeli and...
Tuwasiliane PM nafanya shortlisting bado.We can speak the same language I have noted.Nadhani itabd nifanye exceptions kwa miji,Mwanza hapo flight kila siku,eeh nisije tena nikaambiwa nina majigambo maana watu wengine humu hazimo kbs.
Ndoa za siku hz sio za zamani,watu wanaachana kila kukicha kwa sababu mbali mbali,there are few good men out there wameachika they need a second chance.
Yaani we ndo umepotea kweli,aliyekuambia nakuhitaji ww nani?U seem to have what is known as inferiority complex.Hukuhitaji kutoa ushauri ktk hii post,kuna section ya ushauri,kha. Level ya kufikiri iko chiniiii.
Don't judge a book by its cover ndugu yangu,wife material kwako sio kwa mwingine,ni mitazamo tu,sasa ww mtu akwambie uende ukanywe soda pale ndo umpate mwenzi sie ni sawa amekuequate na changu?Na nilivyomjibu sie kujisifu ila ndo ukweli wenyewe.
Natoa shukrani nyingi kwa wote walionitumia PM,naomba kama umri wako uko under 35 tafadhali usinimsg.Kama tumechati ukaona kimya ujue haupo tena kwenye shortlist.Usijisikie vibaya manake mwisho wa siku ni mtu mmoja tu anahitajika.
Unajua tatizo nililoona kwa mda mfupi nilioweka hii post ni kua watu wengi
wanachukulia mambo kiutani.Kuna section imeandikwa Mahusiano,mapenzi,urafiki hapo ndipo watu wanatoa mambo ya ushauri then kuna sub-section imesema 'love connect" hapo kama unatafuta mchumba,mpenzi,rafiki etc...
Kwenye hilo ndugu yangu tutabishana mpaka kesho,definition ya kuokoka kila mtu anayo yake.Niliposema hofu ya Mungu,I meant,mtu anayemfahamu Mungu,anayefanya juhudi kutenda mema,kutokosea wenzake,nasema juhudi kwa kua sisi ni binadamu na ktk ubinadamu wetu huanguka dhambini,ila Mungu anatupenda...
Asanteni,
Niko serious jamani,nina kila kitu ninachohitaji kuishi confortably except someone to share life with.
Nina imani yupo niliyepangiwa,nimebarikiwa mengi I must say,najua kwa hili Mungu hatoniacha peke yangu.
Kuhusu umri-mid 30s; muonekano:Wa kawaida kabisa,no model figure.Cute face...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.