Search results


 1. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Wooow, kama vyuo vyeti vinazalisha political scientist wa mfano wako basi tuna tatizo kubwa zaidi kuliko nilivyodhani. i} Hakuna unachokijua kuhusu siasa zaidi ya jina lenyewe "siasa". ii} Kuna mahusiano yasiyo ya moja kwa moja baina ya pilitical thoughts za akina Niccolo Machiavelli na...
 2. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Samahani kidogo, naomba kujua una elimu gani na umesomea wapi..? Pia nataka kujua kama umewahi kushiriki shughuli yeyote ya kisiasa ama kuwahi kugombea hata ujumbe wa serikali za mitaa tu..?
 3. J

  Lema angetueleza alipo Mashinji kabla ya kutaka kujua alipo Kinana

  Nikisoma thread kama hizi zenye maneno mafupi na mazito napata faraja kuuona ukweli ukiendelea kuenezwa na kueleweka kwa watanzania...tuendelee kuhamasishana kuueleza ukweli kwa jamii yetu ili wajue nafasi ya CCM katika maisha yao na wajue matapeli wa siasa wengine ambavyo hawana mchango wowote...
 4. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Umemsikia Kinana Leo..?
 5. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Ndugu yangu, kama ni mtu mstaarabu utaelewa kwanini nimeanza thread yangu kwa kuomba msamaha na kuwataka radhi wanajamvi, ninayo majukumu mengi. Wakati mwingine majukumu hayo yananinyima fursa hii muhimu ya kuungana nanyi kwenye jukwaa hili. MUNGU akiniwezesha kumaliza shule yangu vizuri na...
 6. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Wahenga wanao msemo wao maarufu, "nyani haoni kundule" Vijana wa ufipa mnazungumzia kukosa think tank..seriously..???
 7. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  Kama nia yako ni kutaka kuelewa naomba nikujibu kama ifuatavyo, kwa taasisi hasa taasisi ya kisiasa uimara wake na ubora unategemea maono na fikra za kiongozi wake wa juu kabisa kwa maana ya Mwenyekiti. Ndio maana wakati fulani msemo maarufu wa "Zidumu fikra za Mwenyekiti" ulitamalaki...
 8. J

  Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

  AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!! Naomba niwaombe radhi kwa kukaa kimya na kutochangia lolote kwa muda mrefu katika jukwaa hili muhimu. Naomba nichukue fursa hii kuendelea kuwafikirisha katika mambo muhimu ya kisiasa yanayoendelea katika siasa za nchi yetu hasa kambi...
 9. J

  USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

  Nimekuja kusahihisha kile ulichokisikia, siwezi kuanza kutukana watu bila sababu za msingi, mimi sio kichaa. Na kuhusu heshima hilo ndilo vazi langu. Ingefaa zaidi kuwauliza waliopanga njama hizo, wangekusaidia kujua kwanini wamepanga kunidhuru lakini jambo lingine la ziada nitakalokukumbusha...
 10. J

  USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

  Wanajamvi, Kwa muda sasa nimekuwa kimya sana kuchangia na kushiriki mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye jamvi letu hii ni kutokana na majukumu yanayonikabili ikiwemo kazi pamoja na shule. Nalazimika kurudi tena jukwaani kutolea ufafanuzi wa kile kilichotokea jana katika viwanja vya bunge...
 11. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Wana macho lakini hawaoni...!!
 12. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Ebu tuletee analysis ya kwako iliyoandaliwa kwa kuzingatia vigezo vyote ili tujue ipi ya kipuuzi na ipi ya hovyo..!!
 13. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Akili kubwa imeleta maneno kuntu...hawawezi kuja kujibu hii.
 14. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Wanaposhinda CHADEMA, CUF, ACT au NCCR mazingira daima yanakuwa sawa, ila ikitokea imeshinda CCM mazingira huwa hayapo sawa, huyu nae ni Mtanzania mwenye kuamini katika mabadiliko na anasubiri Serikali imletee maendeleo. Anyway tutafika tu...
 15. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  We unaonaje..?
 16. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Shukrani...!
 17. J

  Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

  Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha...
 18. J

  Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni"

  Sina sababu ya kujiuliza wakati najua exactly nilichokifanya na ninachokifanya. Labda uniulize ili nikufafanulie.
 19. J

  Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni"

  Kwa Comparison rahisi tu..,ACT iko vizuri kuliko chama chochote cha Upinzani kwa sasa..Kasi ya ukuaji wake na kukubalika kwa watu inatosha kuelezea Chama kiko katika hali gani.
 20. J

  Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni"

  Ni kweli hauna jipya, na kama umeusoma vizuri unaweza kuona kuwa nimenukuu yale ya zamani kutoka vitabu vya dini na niliyowahi kuyaandika binafsi..Uko sahihi kabisa.