Thread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi
Una SAFARI NDEFU KIUCHUMI.
Ww ni mpuuzi huyo magufuli Yuko wapi? Nchi haiwezi kuongozwa na mtu Mmoja aliyejuu ya Sheria.
Ndo maana ripoti ya CAG imeibua madudu mengi yaliyotokea awamu ya tano.
Mwishoni mwa Uzi wako umeuliza
Je ni uvivu?
Ndo jibu linakuwa sio uvivu Bali uwezo wetu Dunia kwakuwa tunategemea mkaa kupika chakula pia tunatumia masufuria dhaifu na kufua nguo kwa mkono.
Hizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.