Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi Mbezi Ndumbwi Ndugu Omary Milanzi na Katibu wake, Ndugu Moses Maganga wameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuanza vikao.
14 August 2020 Jumuia ya wazazi tawi la ndumbwi liliitisha kikao na wenyeviti wa mashina.
Moja ya ajenda ni ujenzi wa shule ya awali na kuongeza...
CHAI CHAI 5 AUGUST 2022.
HISTORIA YA SENSA KABLA NA BAADA YA UHURU
Na Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa DSM - Wazaza ( CCM )
-Mwandishi Kitabu - MAPINDUZI YA UCHUMI KATIKA KILIMO NA UFUGAJI - ISBN 978 - 9912 - - 40 - 6582
0762212623
wa.me/+255785670227
HISTORIA YA SENSA KABLA YA...
CHAI CHAI 2 AUGUST 2022.
UMUHIMU WA SENSA 2022 KATIKA MAENDELEO
Na Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa DSM - Wazazi ( CCM )
-Mwandishi Kitabu - MAPINDUZI YA UCHUMI KATIKA KILIMO NA UFUGAJI - ISBN 978 - 9912 - 40 - 6582
0762212623
wa.me/+255785670227
SENSA 23 AUGUST 2022
Watanzania...
OFA OFA OFA
Tunauza Digital spoon scale, huu ni mzani wa kisasa kwa ajili ya kupimia dawa za mifugo kwa kiwango cha gram.pia unaweza kupimia vitu vingine kama viungo vya jikoni Majumbani.
Bei 15000/=Tsh
Call/Text 0747 608 608
wa.me/+255785670227
TUPO DAR ES SALAAM
(TEGETA)...
CHAI CHAI, 18 JULY 2022
VIJANA NA SIASA ZA KUSIFIA, NA KUSAMBAZA TAARIFA
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana ambao wameleta tafsiri mbaya ya siasa kwamba ni kusifi tu, pasipo ukomo, na kusambaza taarifa za kazi za viongozi na serikali, ni kweli hiyo ni sehemu ya siasa...
Mfugaji kipindi hiki kunabaridi sana, vifaranga wengi udhofika sana na wengine kupoteza Maisha, hii nikutokona na upungufu wa Joto bandani. Mfugaji unashauriwa kuwa na vyanzo sahihi vya Joto ili kuokoa vifaranga wako.
TUNAZO TAA MAALUMU KWA AJILI YA KULELEA VIFARANGA.(INFRARED)
■Call/Text...
gesi, mtungi, mita na jiko la plate 2 kwa sh 30,000 tu
hii si ya kukosa, pata full set ya jiko la gesi kwa sh 30,000 ( elfu thelathini tu ) mpaka nyumbani
baada ya hapo utanunua gesi hadi kwa sh 1000 tu, kwa kutumia simu yako
mawasiliano
0762212623
Wa.Me/+255785670227
OKOA 50% YA GHARAMA ZA MALISHO KWA KUTUMIA HYDROPONIC FODDER
Imethibitika kwamba unaweza kupunguza gharama za malisho ya mifugo( kuku, sungura, ngombe, mbuzi, kondoo), kwa kutumia hii sayansi
Hydroponic Fodder ni mmea wenye wingi wa virutubisho unaozalishwa kwa siku 5-7, kwenye trey maalumu...
JE, BANDA LA UKUBWA GANI LINATOSHA KUKU WANGU?
Hili ni swali rahisi sana lakini cha kushangaza, limekuwa linasumbua sana wafugaji wengi. Watu wanajijengea mabanda kiholela na kuishia kuwa na magofu makubwa ya mabanda bila kuku.
Kujibu swali hili katika ufugaji wa kuku wa kienyeji ni muhimu...
KWANINI UTUMIE KIATAMISHI KWENYE UFUGAJI WENYE TIJA?
1. Humpunguzia kuku kazi ya kulalia mayai, na kumwongezea uwezo wa kutaga mayai mengi
2. Husaidia kuongeza idadi ya mayai yanayototolewa
3. Kupata uwiano sahihi wa umri wa kuku wako
4. Ongezeko la haraka la kuku
INCUBETOR ZIPO ZA SIZE...
KWA NINI UTUMIE HYDROPONIC FODDER KATIKA UFUGAJI WENYE TIJA
1. Ni rahisi kuotesha
2. Zinaota kwa muda mfupi
3. Zitakupunguzia gharama za chakula cha kuku
4. Zina wingi wa protein na vitamin, hivyo huongeza utagaji wa kuku na kinga za magonjwa
5. Zinapunguza uwezekano wa magonjwa yatokanayo na...
KWANINI UTUMIE CAGE KWENYE UFUGAJI WENYE TIJA?
1.Hupunguza uwezekano wa mayai kuvunjika
2. Hurahisisha ufungaji mzuri wa mifumo ya maji na chakula
3. Matumizi sahihi ya eneo- eneo dogo kwa kuku wengi
4. Hupunguza uwezekano wa maambukizo ya magonjwa kupitia kinyesi/ uchafu
UNAPOHITAJI CAGE KWA...
MABANDA YA KUKU YA KISASA
Kazi Ya Kutengenezea Mabanda Ya Kuku Inaendelea Hapa Ofisini Kwetu Mbezi Ya Kimara (Karibu na Stendi Ya Magufuli)
Bei za Mabanda; (Ufundi na Mateials) Wewe unakuja Kuchukua Banda likiwa Limekamilika.
Banda la Kuku 50 ni Tsh 200k
Banda ka Kuku 70 ni Tsh 250k
Banda la...
HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS
Na Comrade Ally Maftah
0762212623
TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500
UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE
Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani.
Chagua mbegu ambazo hazijaanza kuchipua, na...
Tunauza majogoo ya mbegu ya KROILER F1.
Sifa:
●Hufugika kienyeji.
●Hukua haraka.
●Hutoa nyama nyingi na laini.
●Huvumilia magonjwa.
Bei 30,000/=Tsh
MAWASILIANO:
0762212623
TUPO DAR ES SALAAM (UBUNGO-KIBO)
NB:BORESHA KUKU WAKO NA MBEGU BORA.
Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo cha chenga chenga (pellet mashine). mifugo kama (Kuku/samaki&sungura)
✓Inatuma umeme wa majumbani.
✓Inauwezo wa kuzalisha kilo 150 Kwa lisaa
✓Hp 200,400 size kyp
✓Unaweza kutumia Kwa matumizi yako binafsi na biashara
Faida za kumlisha kuku...
Week hii natoa ofa ya incubator ya mayai 56 kwa wafugaji 10 wadogo.kwa Bei ya 300,000/=Tsh.
✓Inatumia umeme/betri la gari na solar .
✓Inajiendesha yenyewe.
✓ Inauwezo wa kuangua zaidi ya 97%.
✓Inatunza joto masaa matano pindi umeme ukikatika.
✓Inaprogramu rahisi sana hivyo ni rahisi kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.