jamani latifga ni wasiku nyongi sanaaaa, amekuwa enrolled zaidi ya miaka kumi iliyopita na amekuwa akimiliki firm yake mwenyewe.
kama ni kuapinshwa kuwa jaji angeapishwa mapema sana ila yeye tuu alikuwa anakataa, na kwa tunavyomjua latifa wala hakupendelewa kabsa anadiserve ile nafasi.
na kwa...
hoja yako haina msingi, unazungumzia CHADEMA kwa muda wao, kwani hao CCM waliokaa muda wote huo tangu uhuru wameleta nini??
wape muda kama uliovyo wapa CCM alafu ndo uwalaumu.
pole sana ndugu,
1. kati ya hao waliopunguzwa na wewe umo?
2. kama umo, ni kwamba watatakiwa wakulipe kwa kuvunja mkataba na wala haina kukwepa kwa sababu ni matatizo yao wao na sio yako, na pia sheria inaruhusu kuvunja mkataba kama shughuli ulizao kuwa unafanya ziimeisha au zimesitishwa au...
Kuna jirani yetu hapa, wameletewa summons za mahakamani lakini jina la aliye shitakiwa kashafariki.
Je unaweza kuweka pingamizi la kisheria???? Kama ndiyo utatumia mamlaka gani ili kushinda pingamizi hilo.
Naombeni ushauri wenu jf
huyu mwanajamii ameshindwa kuelewa haya mambo ya mapenzi, sio wanaume tuu hata wanawake wanaumiza, kwan wapo wanawake walio waumiza wapenzi wao wa kiume, na pia wanaume waliowaumiza wasichana wao.
Alaf sio kwamba wote wanaumizwa, wengine wanaenjoy to the maxmum.
Acha bias pande zote...
wana JF hili ni wazo zuri sana, na litakomboa taifa hili na vizazi vyetu vijavyo.
mbowe hana umaskini huo, kwan hata sasa chama anakisaidia sana kifedha. tuacheni majungu tuangalie jinsi ya kuikomboa hii nchi ccm imeshashindwa kabsaaaaaa.
wazo zuri nalisuport 100%
mwanajamnvi, kama ni m2 binafsi mnatakiwa kuwa na makubaliano ya malipo, kama ni serikali pia unatakiwa ulipwe lakini sheria haijaweka kiwango maalum cha kumlipa mtu unayemwamisha lakini inataka mtu huyo alipwe kwa thamani ya wakati huo anapohamishwa. kwa hiyo kama ni sasa hivi unatakiwa kulipwa...
sheria ya mirathi ya ipo wazi kidgo, inampa marehem maamuzi ya nani ampe wosia, halazimishwi wala hachaguliwi m2 wa kumpa wosia, kama aliamua wosia wake uende kwa m2 mwingine ni sawa, lakini mali hiyo katika wosia isiwe mali ya wanandoa, bali iwe ya marehem.
kama ni mali ya wanandoa, mke...
jamani huu ni msalaba wa walala hoi, mzigo wote huo tutabebeshwa sie jaman.<br><br>viongozi wote wa serikali wana percent zao hapo kwenye hiyo amount, hawatasema ki2. <br><br>wadau kazi tunayo
jamani huu ni msalaba wa walala hoi, mzigo wote huo tutabebeshwa sie jaman.
viongozi wote wa serikali wana percent zao hapo kwenye hiyo amount, hawatasema ki2.
wadau kazi tunayo
jamani, inafikia sehem maisha yanakuwa ni magumu sana, sio tu ache wivu kama wadau walivyo sema, lakini ifikie kipindi asimame kama mwaume tena baba wa nyumba, ATOE MAAMUZI MAGUMU asiwe mdhaifu kiasi hicho. kama anuwakika kuwa anatembea nje ya ndoa amwache.
MALTIN LUTHER KING alisema :- "its...
@ topical: kwa nini unaonekana unapenda sana hoja za udini?, alafu lazima uelewe kuwa serikali zinaongonzwa kwa mifumo, unaweza ukawa mfumo wa dini fulan, mfano- Iraq, Iran, Misri ... zinaongozwa kwa mifumo ya dini, Rome, Poland ... pia zipo kwenye mfumo wa dini nyingine na nchi zote hizi sheria...
mpe pole sana, kimsingi mahari au posa ni sababu za msingi za kupewa msichana huyo na kummiliki kama mke, na unakuwa na uhuru nae bila hata kuingiliwa na wazazi wake.
kimsingi huyu alikuwa kama mke wake, na sheria inaruhusu kumuacha mkee kama amefanya mapenzi njee ya uhusiano, na hii sheria ipo...
madau, hii mada yako ipo hiv,
masters is above level, law school ni sawa na postgraduate in law practice, mpaka hapo tofauti umeshaiona. sasa basi kwa upande mwingine ni kwamba, law school is qualification, in the sence that even if u have masters degree, stiil ur not yet qualify to practice law...
mpe pole kwa matatizo, lakini alitakiwa kujua kwamba, siku hizi hakuna uaminifu, so mkataba ni muhim sana. mkataba sio lazima muandikishiane, hata kwa makubaliano ya maneno tuu, inaweza kutosha kufanya mkataba. mpaka kujenga hapo ina maana palikuwa na makubaliano fulani ndo maana hata mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.