Pole hakuna jaribu lisilokuwa na mango wa kitoka.Muombe Mungu sana kwa uaminifu.ACHANA NA HUYO SHEMEJI KABISA HANA NIA NZURI EMBU FUNGUKA .KAMA ANGEKUWA NA NIA NZURI ANGEMWELEKEZA RAFIKI YAKE AFANYE YALIYO MEMA.HALAFU AMEFIWA NA MUME SI NDIYO KWAHIYO..?embu Muombe make wako sana.Hata wewe una...
Sina hata wadogo wa kike.utasumbuka sana na kutapatapa MUME WA MTU SIO MCHEZO,MKEWE ANA MAMLAKA NA AKIKUSEMEA NENO MOJA TU LATOSHA.OHHH HAHAAAAA.WAACHE WALALE WENZIO KHAAAA.
Mimi wala sikurembi wala sikutetei unajua Kabisa unalofanya ni ushetani mkubwa ila unataka tukuone wewe in cake ,Kwangu mimi ni the Big No.hata Kama ungekuwa mdogo wangu.wewe ni mtu mzima na unajitambua unless otherwise,ACHANA NA MUME WA MTU.
ona sasa unavyotapatapa unakuja kuomba ushauri wa kijinga ,kama wewe mwanamke wa heshima ungekuwa umetulia kwenye nyumba yako .huna amani dhambi lazima ikutese mpaka umrudie mungu,unafikiri mungu anapenda uasherati na uzinzi unaofanya ,hapana hata unitukane mpaka mwisho wa dunia hutakaa upate...
wewewewew wala sio kupendwa huko,eti amekulaza kwenye kitanda ndio kupendwa the big no hakuna mapenzi hapo ni uzinzi na uchafu.kumbuka aziniye na mwanamke ni mpumbavu kabisa.so my dear wal usijisifu kwani ni aibu umedhalilishwaa.
halafu jiangalie kwanza na jichunguze uhusiano wako na mungu wako unayemwabudu,unazidi kuwa rafiki na dhambi .mrudie mungu ndiye pekee atakeyekutoa huko kwenye shimo.
Du ,je mme wako akifanyiwa hivyo utafurahi kweli wewe,kwanini huna mtu wako,acha kuharibu ndoa za watu,ndoa na iheshimiwe na watu wote.UNA MATATAZO WEWE KWAKWELI.
Kamwe usiige maisha ya mtu mwingine ,kuwa na familia ni muhimu,mbona baba bado yuko na mama,tena maneno yanaumba,badilisha msemo wako,mi nilifikiri uatafanya kwa kujifunza jinsi wazazi wanavoishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.