Habari JF,
Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM.
Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
kwani hujui mtu akilewa anakuwaje ? mwenyekiti wangu alikosea sana ,kwanza ruzuku tu ni pesa nyingi sana kuendesha chama na hatuoni uwezekezaji wa maana chamani au miundombinu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.