Search results

 1. MMASSY

  SoC 2022 Tanzania yenye sura mbili ndani ya sura moja

  Safi sana,hongera kwa insight nzuri
 2. MMASSY

  Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

  Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
 3. MMASSY

  Unamfundisha vipi mwanao kuwa muungwana?

  Na Jerome Mmassy,Arusha Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
 4. MMASSY

  Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

  Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
 5. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Lol,kumbe nabishana na mjinga???Sorry
 6. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Vyote nauza,na sijaja hapa kukushawishi wala sio kazi yangu
 7. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Ungekuww umeenda shule kidogo ya Philosophy ungeelewa The principle of non contradiction pengine ingekusaidia
 8. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Such kind of foolish criticism.Utakuew unafugiw kwenye keyboard bila shaka.Go on
 9. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Nimepitia sana ukosoaji wako sioni hoja ya msingi.Huwa nakubali sana objective criticism.....Sasa kuniambia umeshawahi kukutana na mkurugenzi wa sijui nini nayo sio hoja kwangu,unefuga sijui broiler,Sasso n.k nayo bado sio hoja........Ni kweli kwamba kitabu chetu kina sura nyingi na moja ya sura...
 10. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Hey,ufugaji kuku hauna uhusiano wowote na stori za vijiweni.Ni biashara serious kabisa tena yenye kuhitaji umakini wa kiwango cha lami.Huwa nipo busy sana kuwahudumia na kuwajali wateja ambao wako serious na wenye nia ya kuanzisha ufugaji.Nyie wa michongo hayo ndio majibu yanayowastahili.Hizo...
 11. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Endelea kusubiria wenzako watoboe mwamba wazame halafu wakishapata huo mwamba wa dhahabu waje wakushtue.Nadhani ndio maana ukachagua jina hilo pia.Ha haaaaa
 12. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Watu wengine tulizaluwa na chapa ya "Marufuku kukata tamaa" Tunachofanya ni kujaribu kuweka maarifa na elimu ama ujuzi tulioupata katika ufugaji ili angalau watoto na wajukuu wako waje wapitie na kupata uelewa sababu hiki kizazi cha nyoka hakiamini chochote. Nashukuru umenisaidia kuwa vijana ni...
 13. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Hadi jana jioni tumemaliza kuuza wa kwetu zaidi ya 1200 na bado mahitaji ni makubwa.Huyo jamaa yako unayemdalalia inawezekana wewe ndie ulimdalalia pia vifaranga ukapiga cha juu kwa kumdanganya soko liko nje nje sasa unataka upumulie kwangu That is never possible......Lakini fact ni...
 14. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Endelea kutufuatilia fb kwa jina la Africhick Poultry Project
 15. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Wenzako tulishaianza kitambo na sasa tunaburudika.......ndio maana tunawaletea wanaotaka kuingia kanuni/sheria za kuingia kwenye ngoma yenyewe kabla baunsa hajawatoa nje ya ukumbi kwa kipigo
 16. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Endelea kufuatilia Africhick Poultry Project kwa elimu zaidi ndugu
 17. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Aiseee.........Asiyejua maana...........Uzuri siku hizi ukiandika neno Hen kwenye keyboard anatokea kuku(mtetea).Hivyo mpo na wafugaji wa kwenye keyboards ambao mnajua kuliko wafugaji wa kule Chaugingi
 18. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Watu wa aina yako tunawaita vision destructors.......Anyway nikusaidie hivi tu,nilimaliza degree yangu ya kwanza miaka kumi na kitu iliyoisha na sikuwahi kupata ajira sahihi ya nilichosomea.Kiufupi elewa kuwa niliamua kujiwekeza katika ufugaji wa kuku tena nikapata hasara za kutosha hapo awali...
 19. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Wakati mwingine urudi kwa Mwalimu wako akufundishe tena.Kabla hujaanza kufundishwa kuandika A-Z Na kuhesabu 1 uliandikiwa mahali tena ukaimbiwa hii ndiyo Aaa aaah,inafanana na..........Aaaah......ndio ukaanza kushikwa kidole kuchora hiyo A kwenye vumbi kama nawe ni mkongwe kama mimi.Lakini kama...
 20. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Sio lazima ujazie comment uchwara mkuu.Wakati mwingine kama huna constructive comment unakausha usitie najisi
Top Bottom