Search results

 1. MMASSY

  Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

  Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
 2. MMASSY

  Unamfundisha vipi mwanao kuwa muungwana?

  Na Jerome Mmassy,Arusha Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
 3. MMASSY

  Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

  Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
 4. MMASSY

  Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

  Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
 5. MMASSY

  Vijana wa bodaboda tuache mchezo na usalama wa Rais

  Leo jioni nikitokea kazini kurejea nyumbani nimeona kituko cha bodaboda mmoja ambaye kimsingi sikuweza kushika kwa haraka plate number za pikipiki yake lakini ilikuwa inaishia na CEA.Wakati magari yote yamesimamishwa kupisha msafara wa Rais kutoka Gran Melia Hotel eneo la Philips,baadhi ya...
 6. MMASSY

  Fahamu kuhusu Mpambe (ADC) wa Rais

  Makala hii iliandikwa 2018 na Mwalimu Abas,nimeona mjadala mzito sana kwenye mitandao kuhusiana na mpambe wa Rais kuonekana amebeba begi kubwa sana wakati Rais Samia akirejea kutoka Scotland.........Twende kazi. ADC/MPAMBE WA RAIS NI NANI? Na Abbas Mwalimu (0719258484). Alhamisi tarehe 4...
 7. MMASSY

  Mh.Jumaa Aweso(MB), watendaji wako katika mamlaka ya maji jijini arusha (AUWSA) ni kero, tunashangaa kwanini hukuondoka nao ulipokuja Arusha october

  Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha.Pamoja na kuwa...
 8. MMASSY

  Katika hili naungana na Antony Mtaka

  Nimetazama clip inayozunguka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na umuhimu wa makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi kwa ajili ya kujiandaa na mithnani ya kitaifa. Wapo watu ambao wanananga kauli hii na kuona kuwa mkuu huyu wa mkoa amewananga wanasiasa wenzake,sisi tuliopata bahati ya kusoma...
 9. MMASSY

  Wananchi wa Hai tunamhitaji DC Kiongozi, sio Mtawala

  Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana. Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...
 10. MMASSY

  Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

  Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
 11. MMASSY

  Kwa wazazi na walezi wote wenye watoto wanaosoma

  Mpatie mwanao kitabu hiki chenye muongozo wa namna ya kuweza kufaulu mitihani yake. Ni kitabu kilichojaa mbinu za kusoma na kuelewa kile anachokisoma,mbinu za kukumbuka kile alichokisoma,mbinu za kuchagua marafiki bora shuleni na namna ya kujibu maswali tofauti tofauti.Ni kitabu kilichowasaidia...
 12. MMASSY

  WAZAZI WANAVYOWEZA KUCHANGIA KUFAILU AU KUFELI KWA WANAFUNZI

  Ushiriki wa wazazi katika mchakato wa ujifunzaji wa watoto ni suala lisilo na mjadala. Matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika hapa nchini yanasisitiza kuwa wazazi wanaposhirikiana na walimu inakuwa rahisi kwa mtoto kupata mafanikio yanayotarajiwa. Ushirikiano unategemea namna wazazi...
 13. MMASSY

  KWA WANAOTAKA KUFAULU MITIHANI YAO

  UNAKIKOSAJE KITABU KAMA HIKI KWA MFANO!! Kitabu hiki ni kizuri sana kwa wanafunzi wa ngazi zote. Lugha yake na mifano iliyotumika inamfanya mwanafunzi kuelewa kirahisi na maelekezo yaliyotumika yanamfanya msomaji wake aweze kuelewa kirahisi sana mbinu na mikakati ya kukabiliana na changamoto za...
 14. MMASSY

  MBINU ZA KUTUMIA UFAULU MITIHANI YAKO

  Tunapatikana Arusha,tupigie au tuandikie tutakufikia. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa wanafunzi wa ngazi zote. Lugha yake na mifano iliyotumika inamfanya mwanafunzi kuelewa kirahisi na maelekezo yaliyotumika yanamfanya msomaji wake aweze kuelewa kirahisi sana mbinu na mikakati ya kukabiliana na...
 15. MMASSY

  KITABU: NIFANYEJE ILI KUWEZA KUFAULU MITIHANI YANGU?

  Tumekamilisha!! Kile kitabu chenye kumsaidia mwanafunzi aelewe anachokisoma na afaulu katika mitihani yake kimekamilika.Kitaanza kuwa mitaani tarehe 19 Sept.Kama unataka mwanao afahamu mbinu za kumsaidia kusoma kwa bidii na kufaulu mitihani yake basi kitabu hiki ndio chenye mbinu hizo.Unahitaji...
 16. MMASSY

  Maisha in safari,Marufuku kukata tamaa,nafasi yako bado ipo

  Ogopa sana kushindana na mtu aliyepoteza mwelekeo wa maisha....mtu huyo ni hatari sana kwani hana cha kupoteza wala hana mpango wowote na maisha yake ya baadaye kutokana na kujikatia tamaa..... Mtu aliyepoteza mwelekeo wa maisha ni yule asiyeweza kusimamia mambo yake na kujali mambo yake na...
 17. MMASSY

  KABLA HUJACHAGUA KUJIUNGA NA CHUO CHOCHOTE TANZANIA PITIA HAPA

  Best Tanzanian Universities 2018 – Latest Rankings A list of best universities in the world for 2018 has just been released and the new ranking is something totally different from what we had before. Tanzanian Universities were not left out as some of them had noticeable changes in their world...
 18. MMASSY

  HOW TO GET HIGHER MARKS IN EXAMS

  Have you got an important test coming up that you really want to pass? Do you generally want to improve your grades? There are a number of tricks and practices which can significantly improve your chances of scoring high on a test. This chapter will help you in studying, analyzing and solving...
 19. MMASSY

  Njia rahisi za kusoma na kufaulu mitihani ya mwisho

  Yawezekana unasoma sana lakini matokeo yakitoka hutamani rafiki au hata wazazi wako wajue kile ulichopata au unafanya vizuri darasani na mitihani ya kawaida lakini inapofika muda wa kufanya mitihani ya mwisho kama vile ya wilaya,mkoa na taifa unafeli mpaka unahisi unafanyiwa hila au umelogwa...
 20. MMASSY

  MBINU ZA KUKUZA UDADISI KWA WANAFUNZI

  Mara nyingi tumesikia watu wakilaumu mtalaa wetu kwamba unafunga fahamu za wanafunzi wetu. Wenye madai haya wanafikiri bila mtalaa kufanyiwa marekebisho makubwa, haiwezekani elimu yetu ikamnufaisha mwanafunzi. Hata hivyo, tulisema wiki iliyopita, kazi ya mtalaa ni kutoa dira ya jumla ya aina ya...
Top Bottom