Search results

 1. Gody Mnazarayo

  Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

  Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi. Nimesoma andiko la mwanajf mmoja humu, amemshutumu sana Dkt Mwigulu Nchemba bila hoja za msingi, kama kawaida ya wabongo bongolala. Hivi unawezaje kutuhumu PhD ya Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kwasababu katoa speech ambayo haikipendezi chama...
 2. Gody Mnazarayo

  Profesa Muhongo ni muongo au magonjwa ya uzee yameanza kumnyemelea?

  Na Godfrey Mushi Wasalaam, Imekuwa siku mpya hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema Kwa fursa hii ya uhai na neema zake katika maisha yetu. Jana nimemsikiliza Mbunge wa Musoma Ndugu Profesa Muhongo akichangia hoja zake juu ya mpango wa bajeti uliowasilishwa bungeni na Waziri...
 3. Gody Mnazarayo

  Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

  Akiongea kwenye Hafla ya Kodi nchi Kenya Rais Wa Nchi hiyo Dkt William Samoei Ruto ameshangazwa na ukusanyaji wa Kodi unaoendeshwa na KRA mamlaka ya Mapato ya Nchi hiyo, Kwani ni watu Million 7 tu ndio wenye number za walipa Kodi ilhali Kuna zaidi ya Wateja Milioni 30 wanafanya miamala ya...
 4. Gody Mnazarayo

  World Bank yazitaka nchi mbalimbali Duniani ziige namna Tanzania inavyosimamia Uchumi wake na kudhibiti Mfumuko wa Bei

  Benki ya dunia yaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na nchi yetu ya Tanzania katika kusimamia uchumi. Makamu wa Rais wa benki hiyo Bi @VictoriaKwakwa amezitaka nchi nyingine duniani ziige mfano wa Tanzania katika usimamizi mzuri wa masuala ya uchumi.
 5. Gody Mnazarayo

  Tanzania attains high scores on 2022 IDA assessment

  The report shows Tanzania scored 3.5 in 2021, the same score 2020, which is above overall IDA average of 3.2 and Sub Saharan IDA average score of 3.1. However, the overall score is 0.3 lower that the score attained in 2013. It is also higher than West Africa average score of 3.2 and East and...
 6. Gody Mnazarayo

  Tuwape Heshima zao Madaktari wawili waliokabidhiwa Wizara ya Fedha Kipindi kigumu na wakaivusha Nchi salama

  Wasalaam wanajamvi, Kheri ya Siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Endelea kuishi Profesa wa Siasa, Hakika maisha Yako ni shule Kwa watu wengi hasa vijana wanaohitaji kufika mbali kisiasa, Wewe ni mlezi wa Watu wengi, baraka na fanaka ziendelee kukumwagikia. Leo nimefuatilia...
 7. Gody Mnazarayo

  Songa mbele Mwigulu, wanaokushambulia tunawajua, umeziba mirija yao ya upigaji, watanzania tunakuunga mkono

  Tozo haiendi kujenga nyumba ya Mwigulu, tusitafute wa kumtoa kafara! Anaandika Mnazarayo Mitandao ya kijamii mbalimbali hapa nchini imeibuka na kuanza kumshambulia binafsi Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba kwa kile wananchodai ni kuonesha kutokukubali tozo, jambo ambalo ni uongo na uzandiki...
 8. Gody Mnazarayo

  Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

  BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha. Mheshimiwa mimi ninayo machache ya kukwambia siku...
 9. Gody Mnazarayo

  Meya Raibu awakonga nyoyo wawekezaji, KCBL wamwaga Mikopo ya Bajaji na Pikipiki Moshi

  KCBL YASHUSHA NEEMA YA MIKOPO YA BODABODA NA BAJAJI MOSHI, MEYA RAIBU ATEMA CHECHE Na Mwandishi Wetu, Moshi Kilimanjaro Benki ya KCBL imetambulisha rasmi huduma yake kabambe ya kuwakopesha Wajasiriamali na Wananchi wa Manispaa ya moshi mikopo ya vyombo vya Moto vya pikipiki na bajaji...
 10. Gody Mnazarayo

  Mpango wa CHADEMA kuisusia Clouds Media waiva, Ni baada ya Interview ya Ole Sabaya

  CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA GHAFLA ZOOM MEETING KUSUSIA CLOUDS MEDIA Chadema wamefanya kikao kupitia Zoom Video Meeting lengo ni kuhamasisha wafuasi wao kususia clouds media kwa sababu wanazodai ni kulinda heshima ya Mwenyekiti wao Ndugu Mbowe Hii inachagizwa na Mahojiano ya leo asubuhi...
 11. Gody Mnazarayo

  Meya Raibu awarejesha darasani Waandishi wa Habari

  WAANDISHI KILIMANJARO WARUDISHWA DARASANI Ofisi ya Mstahiki Meya wa manispaa ya moshi Mhe Juma Raibu imeandaa semina ya kuwaongezea na kuwajengea uwezo waandishi wa habari wa mkoa wa Kilimanjaro ili wawe bora katika tasnia hiyo. Akiongea kwenye maadhimisho ya siku ya wanahabari yaliyofanyika...
 12. Gody Mnazarayo

  Chadema Inatia Aibu,Kumficha Diwani Mbakaji

  CHADEMA WAMFICHA DIWANI ALIYEBAKA Hai Kilimanjaro Katika Hali ya kuhuzunisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemficha Diwani mbakaji John Munisi Ambae anasakwa na vyombo vya Ulinzi na usalama kwa Kosa la Kumbaka Mwanafunzi Wa kidato Cha nne Katika shule ya Marire. Zipo taarifa...
 13. Gody Mnazarayo

  Mbowe Kawaage wapiga kura wako Muda sio rafiki

  Anaandika Mnazarayo Mushi GODFREY Amani ya Bwana iwe nanyi Baada ya mizunguko yangu ya Kila siku hapa nyumbani kibosho kirima-kitandu katika kupigania mkono uende kinywani,Nimepata bahati ya kuonana na mmoja wa (Watu waliojipa majina ambayo hawastaili) Kamanda mmoja wa Chama Cha chadema...
 14. Gody Mnazarayo

  Uwepo Lengai Ole Sabaya katika wilaya ya Hai ni tishio jipya kwa uhai wa CHADEMA

  Hodi Jamvini, Leo baada ya kupitia baadhi ya mitandao ya kijamii Nikiwa nafatilia Mambo ya duniani yanayojiri Kila siku nimebahatika kukutana na sehemu kadhaa Ambazo Kiufupi zimenipa Taswira mpya kichwani Kwanza Ni Juu ya hofu kubwa iliyotanda vichwani vya wanachadema wengi juu ya hatima ya...
Top Bottom