Search results

 1. M

  Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

  Financial markets watz hawawezi wavivu sana kwenye kutafuta knowledge
 2. M

  Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

  Mbona kama ulipoishia sio ulipoendeleza? Nadhani tuliishia mzee akiwa safarini. Na we ukiwa bado hujaacha kazi.
 3. M

  Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

  Daaah ndio imeisha kidizaini hiyo aseee asee
 4. M

  Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

  Hapo kwa Eric pamenichanganya..! Mbona kama Eric amechukua uhusika wa gabi
 5. M

  Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

  Hahahaha mtatiro hataki kuelewa kabisaa...! Yeye anataka pesa tu
 6. M

  Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

  Ni nadra sana kuwaona paka wakifanya mapenzi kama mbwa, hivyo watu wanasema siku ukifanikiwa kuwaona ni kama mkosi hii ina ukweli gani?
 7. M

  Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

  Mbona mkalimani alitafsiri sawa sawa tu...! Mlitaka atafsiri vipi?
 8. M

  Taswira za marehemu huacha kumbukumbu za kutisha

  Duuuh hao ndugu nao walichanganyikiwa? Inamaana kumbe mahusiano yao yalikua dhahiri kiasi hicho
 9. M

  Dark days 17/03/20...

  Hii ni movie ya kijasusi au ni kweli haya yanatokea hapa hapa Tanzania?
 10. M

  Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

  Mkuu kiukweli mimi nina moto sana na hii kitu..! Ila changamoto ni kwenye video editing...! Ww ulijifunzia wapi ku edit videos?
 11. M

  Waliokulia udogoni na Paul Pogba walazimisha awalipe fadhila

  Duuuh hao masela wanaijua euro mil 13 kweli
 12. M

  Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

  Daaaah mkuu mwaga stori mwaga stori jinsi maboya yanavyopigika
 13. M

  Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

  Mkuu mimi nataka niingie youtube ila changamoto kwenye video editing ni mweupe kabisa, content ninayo na sina shaka kabisa kuhusu hilo...! Msaada wako kwenye hili
 14. M

  Msaada: nahitaji kufungua youtube channel

  Mkuu inaonekana una uzoefu na haya masuala
 15. M

  Laana: Usije ingilia ugomvi wa wazazi hata siku moja

  Acha kudanganya watu mkuu hakuna binadamu wa kukukunjia na kuziba riziki zako, kama tu ukiwa mtu wa haki...! Ila kama ni mtu usiyetenda haki sio mzazi tu anayeweza kukuaribia ni mtu yeyote tu uliyemtenda vibaya, tenda haki uishi kwa amani na furaha
 16. M

  Laana: Usije ingilia ugomvi wa wazazi hata siku moja

  Inaonekana mtoa thread ni baba fulani hivi wa hovyo sana kwenye familia yake, hivyo anatafuta huruma ya kuhalalisha upuuzi wake humu....! Hata kama ni mzazi tenda haki kwa familia yako utalipwa haki, jidanganye kunyanyasa familia yako ukijipa moyo eti utawaapa laana wanao wakikukataa, utasubiri...
 17. M

  Msaada: nahitaji kufungua youtube channel

  Habari jf members, nina mpango wa kutaka kuingia kwenye hii sekta ya kusaka tonge mtandaoni, nikaona best kwangu ni youtube channel. Changamoto nayokutana nayo sijui chochote kabisa kuhusu ku edit video, na video editing ni pesa yenyewe kwenye YouTube channel ,maana content tayari ipo...
 18. M

  Nina view 300 tu na nina miezi miwili kwene blogging! NAKOSEA WAPI?

  Kama target yako ni watanzani pekee, inabidi contents zako ziwe za kijinga jinga kama umbea, comedy hapo utawakamata chap....! Ila kama ni content za madini target worldwide tumia lugha ya malaika hapo utakua fastaa.! La sivyo hiyo kazi itakushinda....! Ila mkuu hujasema content yako ni ipi...
Top Bottom