Search results

 1. madindigwa

  SEREKALI amkeni! Hospitali zinazotumia Bima zinawaibia

  Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia...
 2. madindigwa

  Nauza mitego ya mbuu

  Tunauza mitego ya mbu iko poa huna haja ya kuweka dawa Tena. Au kutumia net inafaa hata mahotelini sio kununua dawa kila siku bei ni 85000 karibun sana tupo Kariakor msimbaz piga simu 0785970087/0712525280
 3. madindigwa

  Kwa riport ya mto Mara tunaomba rais aunde tume ya wataalam kutoka nje

  Inashangaza wataalam wetu Tena wakiongozwa na professor maji ya mto Mara kuharibika sababu ni mavi ya ng'ombe Kweli wataalam wetu wameamua kutuuza hivi hivi kwa mabeberu hapana tuseme no nakuomba mama ili watu wa Mara wawe na aman na serekali yako nakuomba Kama mtanzania chunguza hili suala...
 4. madindigwa

  Tuseme ukweli, suala la machinga Amosi Makala limekushinda

  Hii ndio hali halisi ya mtaa wa Lindi Kariakoo. Hili suala linajirudia taratibu na imeshaanza kuwa kero tena
 5. madindigwa

  Mbona hatutangaziwi tena kuhusu pesa za tozo zetu za miamala?

  Wakuu nilikuwa nauliza tuu zile mbwembwe za waziri wetu za kutangaza pesa zetu za miamala zimeishia wapi? Tunataka kujua kwa Sasa tumechanga kiasi gani? Na matumizi yake yakoje?
 6. madindigwa

  Ushauri kwa Jiji kuhusu Wamachinga Kariakoo

  Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza...
 7. madindigwa

  Tunauza feni nzur za kuchage na umeme

  Tunauza feni za kuchage pia zinatumia umeme Zina redio USB bloototh ziko vr kwa matumizi ya yumbani na oficn zinakaa masaa6 bila kutumia umeme unaweza kuichage tupo kariakor mtaa wa msimbaz kwa mawasiliano piga no 071252520/0785970087 bei ni 75000/tuu
 8. madindigwa

  Uzi wa kuomba msamaha / kusameheana

  Wakuu habari zenu, binafsi mi mzima wa afya njema kabisa namshukuru Mungu, muumba wa mbingu na nchi. Imekua ni ngumu sana kwa sisi binaadam kuombana msamaha, au kusameheana,au kusamehe, pasipo kuomba msamaha. Msamaha unashinda sukari na maziwa kwa utamu. Wengine huthubutu hata kusema kuomba...
 9. madindigwa

  Azam TV acheni ubabaishaji

  Habari wanajamvi, hii inahusu TV yetu pendwa ya Azam Kuna tamthilia inayoendelea ya Victoria mmetuaminisha kwa matanzgazo mengi ni ya Kiswahili na sisi tukaamini hivyo. Tumelipia ili tusikie kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili hasa kwa sisi wengine wenye Kiingereza cha kuunga unga sasa imebaki...
 10. madindigwa

  Jamii forum AWARD

  Hebu tuchangie michango ya members wa humu jamvini mtaje member wako na sifa zake tuone nani mchindi (1) member maarufu kuliko wote (2)member mpenda sifa kuliko wote (3)member mchangiaji kuliko wote (4)member Mwenye hekima kuliko wote (5)member msumbufu kuliko wote (6)member Mwenye...
 11. madindigwa

  Uzi kwa wale tuliofilisika

  Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza tufarijiane tupeane moyo naanza na mimi mwenyewe binafc ni kujana wa makamo ambae cjafikisha umri wa miaka 40 Nilikua na ofic kariakor kodi ml 1 kwa mwezi nilweza kumudu kuilipa nilikua na viwanja kadhaa magar mawili ya kutembelea Nilimiliki nyumba moja na...
 12. madindigwa

  Kwako Dr Mshindo Msola

  Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani Baada ya miaka 7 kupita Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana...
 13. madindigwa

  Maskini simbaa

  Duh nawahurumia sana hawa jamaa cjui wataishije
 14. madindigwa

  Tetesi: ROSTAM AZIZI karibu Yanga afrika

  Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti, Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu Na wengineo pia wenye nia njema na...
 15. madindigwa

  Kama wewe ni Muhenga kama mimi tupia msemo wowote wa zamani hapa

  Mfano :mambo vp dole halina ukucha Makalio :wowowo Shilingi tano :dala Acha niwaachie na wahenga wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
 16. madindigwa

  Kaka Masdi uliishi maisha ya maswahaba katika karne hii ya 21

  Ilikua siku ya alhamis yapata majira ya saa 4 za usiku wakati nimejipumzisha nyumbani baada ya mizunguko mingi ya kutafuta riziki, ndipo nilipopokea simu kutoka kwa jamaa yangu na ndugu wa karibu Alkm vipi hali yako, una habari yotote? Nikamjibu hapana ndipo akaniambia ndugu yetu kipenzi kaka...
 17. madindigwa

  Watanzania tunapenda sana misifa

  Haya matangazo ya kujipa matumaini mi sifa yataisha lini kwa hizi Team zetu za taifa na vilabu vya simba na yanga Jana naangalia azam tv mpaka Al manusura nivunje tv kwa upumbavu niliokua nauona kuipamba team yetu ya taifa.kwa Kweli inauzi sana namuona msaga sumu anawapa ma ujiko na...
 18. madindigwa

  Tabia mbaya

  Kulala bila kuoga ni tabia mbaya Kulala bila kupiga mswaki tabia mbaya Kuamka bila kuoga tabia mbaya Kuamka bila kupiga mswaki tabia mbaya Kwenda choo bila maji na kutumia toilet paper na maji yapo tabia mbaya Kufuga mikucha kama jini tabia mbaya Kuwega ma wigi kuchwan tabia mbaya Kuvaaa tyt...
 19. madindigwa

  Ukija kugundua utafanyaje

  Anakua mkeo au mpenz wako unaona hii kitu utafanyaje Sent using Jamii Forums mobile app
 20. madindigwa

  Wanawake sugueni makalio yenu yanasugu

  Habari wakuu hamjambo najua kwa wanaume yashawatokeeni saana unakuta mwanamke anabonge la mzigo akipia watu macho kodoo. Binafc kuna manzi nilimfukuzia kama mvua mbili ananizungusha tuu. Siku moja kajaa anga zangu nikasema leo nafaidi balaa basi bwana huku na huku huku na huku kavua dah, hayo...
Top Bottom