Search results

 1. Kiranja Mkuu

  Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

  Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
 2. Kiranja Mkuu

  Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

  Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
 3. Kiranja Mkuu

  Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

  Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge. Basi nikaomba kuungwa, nikawa nashinda huko. Katika peruzi zangu nikakutana na uzi unafundisha namna ya kupiga puli kwa njia...
 4. Kiranja Mkuu

  BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

  Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
 5. Kiranja Mkuu

  Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

  Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
 6. Kiranja Mkuu

  Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

  Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu. Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana. Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na...
 7. Kiranja Mkuu

  Kauli thabiti ya kufungia mwaka

 8. Kiranja Mkuu

  Nabii wetu ni mlevi kupindukia

  Nabbing wetu akigonga vyombo na washikaji wake Amarula Most Jack Daniel
 9. Kiranja Mkuu

  Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

  TCRA naomba muone ===== UPDATES: ====== Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni. Zaidi, soma: Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye...
 10. Kiranja Mkuu

  Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

  Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
 11. Kiranja Mkuu

  Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

  Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
 12. Kiranja Mkuu

  Kitambulisho cha Faraja Nchimbi wa Ustawi wa Jamii kimeokotwa

  Kitambulisho kim eokotwa maeneo ya Kijitonyama. Kitambulisho bada ya kukiokota tumekikabidhi kwa Eliya, Fundi viatu yupo geti dogo
 13. Kiranja Mkuu

  Ana kwa ana Bujibuji na Mshana Jr

  Nadhani hujabahatika kukutana na magwiji Hawa wawili wakiwa nje ya jukwaa letu pendwa. Jumamosi iliyopita nilibahatika kuonana nao mitaa ya Kasumulo wakijiandaa kuvuka mpaka kwenda Lilongwe, hakika ilikuwa ni shangwe Sana.
 14. Kiranja Mkuu

  Askofu Gwajima, wananchi Kawe hatujakutuma kugombana na kutukanana na shemeji yako. Kero zetu ni tozo za miamala, kodi ya majengo

  Sisi wananchi wa Jimbo la Kawe hatujakutuma kugombana na kutukanana na shemeji yako. Mambo ya kusema kuwa ndoa mbili za shemeji yako zilivunjika sababu ya tabia zake, na tangu ameingia kwenye familia yenu amekuwa akileta migogoro kila siku. Hayo ni family matters, hayatuhusu wapiga kura...
 15. Kiranja Mkuu

  Tupia uzi wowote ambao unaamini tulidanganywa hapa Jamiiforums

  Kuna nyuzi nyingi sana za uwongo uwongo, lakini zina burudisha sana. Kuna tajiri Bill Lugano, huyu jamaa ni fix kichizi. Lakini kwenye uwongo wake utaburudika kichizi. Pia yupo Bujibuji, huyu mzee ana stori fulani hivi za kuchekesha sana, kuna uzi wake mmoja aliigonga BMW la mshuwa, akapelekwa...
 16. Kiranja Mkuu

  Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

  Mshana Jr tusaisidie majibu mujarabu
 17. Kiranja Mkuu

  Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

  Historia yangu kwa ufupi Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza. Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu. Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa. Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya...
 18. Kiranja Mkuu

  Karibuni Ikulu

 19. Kiranja Mkuu

  Wanawake wa Kiswahili walio olewa Ulaya

  Hivi hawa wanawake walioolewa huko majuu je huwa wanafanya shughuli gani za kuongeza kipato cha familia zao? Au wanabaki kuwa mabeki tatu wakisubiri waletewe kila kitu na waume zao?
 20. Kiranja Mkuu

  Bwana mwenza anang'ang'ania mwanangu

  Nilikuwa nikiishi na mwanamke kwa kipindi cha miaka miwili. Nilibahatika kupata naye mtoto. Tulikuwa hatujafunga ndoa. Mtoto alipofikisha miaka miwili nilipata skolaship ya kwenda kusoma ughaibuni. Masomo yalinigharimu muda wa miaka minne, niliporudi nyumbani nikakuta mwenzangu kisha...
Top Bottom