Search results

 1. Afrocentric view

  Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

  Tsup! Leo tuzamishe kidole gumba kwenye bahari -bahari ambayo ni hii mada ihusuyo chanzo halisi cha binadamu. Hii story (History😅) ni very complicated na ndefu ila nataka niandike kwa ufupi sana nisije nikajaza page 200, so without further'a do, let's dive into it. Creation theory Kabla ya...
 2. Afrocentric view

  Orodha yangu ya Marais bora kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho tokea tupate uhuru

  Jambo rafiki! Moja kwa moja kwenye mada. Hii ndiyo orodha yangu ya Maraisi bora kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho tangu tupate uhuru. NB: Mimi ni mtoto wa 90's, kwahiyo wengine nimefanya utafiti kwa mapokeo ya mdomo kupitia wazee wangu. 1. Ali Hassan Mwinyi Huyu kwangu ndiyo raisi bora tangu...
 3. Afrocentric view

  Mungu anaweza kutenda dhambi?

  Wakulungwa vipi? Kuna swali huwa linanitatisha. Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu. Na mungu ana free will. Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
 4. Afrocentric view

  Mungu anaweza kupumzika?

  Kupumzika simaanishi lazima iwe baada ya kuchoka, namaanisha ile kuacha kufanya kitu ambacho unafanya kila siku hata kama hakikuchoshi. Nlisahau salamu. Mambo vipi wakulungwa? Hili swali waga najiuliza sana. Kama Mungu ndio anacontrol kila kitu yani anagovern ulimwengu. Anajua saivi sehemu...
 5. Afrocentric view

  DJ Khaled ana uwezo wa kumiliki hii ndege?

  Angalieni hii video. Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki? Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake! Drake mwenyewe siamini kama lile dude ni lake, hawa wasanii wana smoking mirrors sana. Unakuta wanaingia mkataba na kampuni...
 6. Afrocentric view

  Mgote physics anakariri vitu, haelewi

  Nilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama Mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics. Mgote yeye amekariri tu na anaamini katika ule msuli tembo. Kinachombeba Mgote ni aina ya sylabus ya bongo inataka watu waliokariri...
 7. Afrocentric view

  Nani ana akili kuliko wote JF?

  Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
 8. Afrocentric view

  Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

  Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
 9. Afrocentric view

  Wakuu Hii Pc kwa hii bei ni sawa?

  Wakuu vipi, Nmeenda dukani kununua Pc used abroad. Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba. Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6 Kwa 550, 000/= Ni sawa au napigwa?
 10. Afrocentric view

  Simu gani nzuri kwa bajeti ya laki 2?

  Wakuu kwema, Natafuta simu Kwa bajeti hiyo, ikizidi sana 250. Simu Gani nzuri? Nilikuwa nawaza hapa kati ya Samsung A03 au Infinix 12i ipi nichukue? Mwl.RCT
 11. Afrocentric view

  Nikitaka kuapply UDOM diploma nafanyaje??

  Hello wakuu, Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina system ya kuapply diploma. Naombeni Msaada tafadhali.
 12. Afrocentric view

  Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

  Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari? Yani hakuna...
 13. Afrocentric view

  Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

  Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
 14. Afrocentric view

  Ulimwengu; Ni Kila kitu kilichopo, kilichowahi kuwepo, Na kitakachowahi kuwepo

  Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?" Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa Mbali, Kabila zote, Rangi zote, Wanyama wote, mimea yote, viumbe vyote, majengo yote,magari...
 15. Afrocentric view

  Does misery really need company?

  Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha. Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na watu karibu yako (Ndugu, jamaa, marafiki, mashabiki nk.) Sasa Huu msemo wa the miserable need company...
 16. Afrocentric view

  Nini maana ya neno hodi hodi?

  Kwa Kiingereza hodi unasemaje?? Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
Top Bottom