Search results

 1. Joao de Matos

  Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

  Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
 2. Joao de Matos

  Jamaa kutambulisha ma-Ex girlfriend wake wote ukumbini

  Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata. Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe. Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana, Kitu hiki...
 3. Joao de Matos

  Uchumba kwake ilikuwa ni shida, ndoa nayo ni shida

  Hi ishu ilimpata ndugu yangu mmoja upande wa mama. Ni iko hivi Ni kijana mmoja hivi alikuwa anamasters na Ni mwalimu wa chuo flani nyanga za juu kusini na alikuwa Ana mchumba wake wa kike ambaye alikuwa anatarajia kufunga nae ndoa, alimpendaa Sana walienda mpaka kununua shela la harusi yao...
 4. Joao de Matos

  Mabinti jamani chonde chonde, mjitunze jamani,😔😔.

  Mabinti Ni vizuri kujitunza kabla ya kuolewa hii italeta heshima kwa familia na mumeo ata kueshimu Sana, hata na jamii itakueshimu kwa sababu binti au mwanamke ni kama kioo kwa jamii, lakini hata mwanaume pia Ni vyema kujitunza. Vipo vitu vinaweza kukupunguzia heshima kabla ya ndoa hata baada...
 5. Joao de Matos

  Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

  Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
 6. Joao de Matos

  Baba mzazi hataki binti yake aolewe

  Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine. Hila huyo binti anamiaka 36 hivi Sasa. Na Ni mwalimu wa chekechekea. Shida Ni kwamba Baba mzazi hataki binti yake aolewe kabisa...
 7. Joao de Matos

  Kuzaa na mtu haikupi uhalali wa kuolewa naye

  Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu. Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe. Kuna kijana...
 8. Joao de Matos

  Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

  HABARI, Nahitaji kujua kama ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa? Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili. Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu...
 9. Joao de Matos

  Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

  Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto. Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake. Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
 10. Joao de Matos

  Naombeni movies za action

  Wadau naombeni movies za action hasa movies za kivita za kisasa na sio zile Karne ya 20 za kizamani nataka za kisasa. Naombeni msaada.
 11. Joao de Matos

  Nahitaji kuzifahamu hizi bunduki

  Hi inaitwa Tavor, Naomba kuifahamu zaidi kuwa ina inauwezo gani na Ni Aina gani. Ya pili Ni hi Inaitwa double barrel Gilboa snake rifle, Sijaelewa inakazi gani maana Naina in sehemu mbili za kutoa risasi Sasa sijajua inakazi gani. Na nimeona hata Jwtz wanaitumia Sasa sijajua inakazi gani...
Top Bottom