Search results

 1. dega

  Jakaya Kikwete kaenda kufanya nini uchaguzi Kenya?

  Jakaya huyu wa goli la mkono au mwengine?? Jakaya huyu wa tume wanaiyoiendesha kwa remote au mwengine? Jakaya huyu anaepeleke majeshi Zanzibar kuizuia democracy au yupo mwengine? Jakaya huyu aliyeua wazanzibari kisa kukataa dhulma, ni huyu au yupo mwengine? Jakaya huyu aliyebariki uhuni wa Jecha...
 2. dega

  Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

  Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika...
 3. dega

  Asante Dkt. Msonde umeiacha NECTA pahala salama

  Huyu mwamba ni Jemedari na Mzalendo namba moja anaumwa na maendeleo ya kielimu ya Nchi hii na anaechukia ubabaishaji na shortcuts. NECTA aliyoipokea Dr Msonde toka Kwa mtangulizi wake Pro Ndalichako sio hii ambayo ameiacha juzi baada kupata uteuzi mwengine. Ameiacha NECTA ikiwa NI miongoni mwa...
 4. dega

  Watanganyika mkitaka msitake MAMA MITANO TENA

  Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu # Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi # Mama kaondoa watekaji Kwa jina maarufu wasiojilikana #Mama kafungua ajira #Mama karejesha mzunguko...
 5. dega

  Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?

  Mbona mnatuchanyanya hivi mkisema Miaka 60 ya UHURU wa TANZANIA mnakusudia hii Tanzania iliyozaliwa 64 au kuna nyengine? Hivi waandishi wa habari na wanasiasa mnaosema UHURU WA TANZANIA hivi kweli hamjui historia yenu? Kwanini munainyanyapaa TANGANYIKA kiasi hiki? Historia itabakia ni historia...
 6. dega

  Ahsante Magufuli kwa Hili hatutokusahau Wazanzibar

  Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa kwamba Mwinyi analetwa kuja kuimaliza ZANZIBAR na kufufua ile sera ya mwalimu ya SERIKALI MBILI KWENDA...
 7. dega

  Swali fikirishi: Kwanini Watanganyika wanaumia sana Wazanzibar wanapoungana?

  Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana. Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali...
 8. dega

  Upinzani wa kweli upo Zanzibar tu, Tanganyika kuna wachumia tumbo

  Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini dakika moja mbele ni Watanganyika hawaminiki kwa kitu chochote ni walaghac mabazazi,waongo wenye tamaa zisiso koma Hawamiki katika kitu chochote ni wao wanaokwamisha harakat za Wazanzibar chukua mifano hii Mapalala Mrema Lowassa Sumaye Cheyo BAVICHA Lipumba
 9. dega

  Mbona CCM ktk Kampeni zao wameacha kuzungumzia Madege, Flyover na CIA?

  Vitu hivi Polepole na Makonda na viongoz wote wa Serikali walikua wanavipigia debe sana Sasa hivi mbona vimegeuka MWIBA MCHUNGU ktk kampeni zenu mbona hamvitaji tena??
 10. dega

  Uchaguzi 2020 Anayetaka kumpigia kura Dkt. Magufuli katika uchaguzi huu asifuatilie Kampeni za Tundu Lissu

  Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo, nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM basi waache mara moja kufatilia mikutano ya Tundu Lissu vinginevyo nawahakikishia watabadili maamuzi. Jamaa anatema nondo sijapata ona...
 11. dega

  Kwa hali ilipofika COVID -19 Turejee katika mafunzo ya Misemo yetu

  1. Asosikia la Mkuu huvunjika guu 2. Ujanja mwingi mbele kiza 3. Mkataa pema pabaya pana mwita 4. Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimengu 5. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi MSIBA 6. Mchuma janga hula na wakwao 7. Mpanda farasi wa wili huchanika msamba 8. Tamaa mbele mauti nyuma 9...
 12. dega

  Misikiti mingi Zanzibar imeshafungwa kukwepa maambukizi ya COVID -19

  Pamoja na mamlaka husika kutozuia mikusanyiko ya kiibada katika kipindi hiki cha hatari cha maambukizo ya ndani. Na pamoja na Ofisi ya Mufti mkuu kuelekeza ufanyaji wa Ibada na hasa upangaji wa mistar (safu) uwe si wakuganda kama sheria inavyotaka badala yake iwe mita moja baina ya mtu na mtu...
 13. dega

  SMZ zuieni Watanganyika kuingia Visiwani watatuletea majanga

  Nawaomba viongozi wangu wa Zanzibar wachukue hatua chungu ya kuwazuia Watanganyika kuingia visiwani. Tanganyika hawapo careful katika suala la afya ya jamii wapo wapo tu na drama zao za Makonda na Ummy tusiwaendekeze watatulea majanga Wagonjwa wawili waliongia Zanzibar kutoka Tanga inaonesha...
 14. dega

  Mafunzo ya Mtume Mohammed kuhusu COVID -19

  1- QUARANTINE Is Prophetic advice "Run away form the leper (the one with contagious ailment as you would run away from lion" (BUKHARY VOL 7, Book 71 Number 608) 2- SOCIAL DISTANCING It is Prophetic command " Those with contagious diseases should be kept away from those who are healthy BUKHARY...
 15. dega

  Janga la Corona: Zanzibar yakanusha kufunga mipaka yake

  Akitangaza kugundulika mgonjwa mpya wa corona raia wa Ujerumani na kuwepo mtu mwengine anaeshukiwa huko Pemba Wazir wa Afya wa ZANZIBAR ametangazae kufunga njia zote za kuingia na kutoka ZANZIBAR Hatua hiyo itaanza kutekeleza baada ya siku tatu #BAKI NYUMBANI #OSHA MIKONO #EPUKA MIKUSANYIKO...
 16. dega

  B.W.Mkapa kuhusu mauaji ya Wazanzibar, ulitakiwa uende ndani zaidi

  Nashkuru ktk hutuba yako ya juzi ulibainisha wazi kitu kikubwa kilichotia doa utawala wako ni umwagaji wa damu ya Wazanzibar wasio na hatia na walioandamana kwa njia ya amani kudai haki yao ya Kidemokrasia ambayo mlioipoka kwa nguvu. Lakini Mheshimiwa ilitakiwa uende mbele zaidi na kueleza vitu...
 17. dega

  Watanganyika vumilieni tu, haya mmeyapanda wenyewe

  Toka kuanza kwa uchaguzi wa vyama vingi, Wazanzibari hawajawahi onja ladha ya demokrasia, Watanganyika wakiongozwa na vyombo vyao vya dola wakivuruga chaguzi zetu zote na hatukuwahi kuona asasi za kiraia, vyama vya siasa, watetezi wa haki za kibinadamu, mapadri, mashehe na hata katika majukwaa...
 18. dega

  Kumbukuzi ya Mwalimu na ubaguzi wa Watanganyika kwa Zanzibar

  Jamhuri hii ni ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivyo ni ukweli ulio wazi kila nchi imepitia historia yake katika kudai Uhuru wanaçhofanya watanganyika kutaka kuuambia Dunia kwamba mkombozi wetu ni Nyerere tu ni kutaka kuiangamiza historia ya Zanzibar, kwa sababu hakuna jitihada za...
 19. dega

  Dr. Salim Ahmed Salim(SAS), Mzanzibar aliyeonja machungu ya kiubaguzi ya Watanganyika

  Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani...
 20. dega

  Wazanzibar tuwe na tahadhari kuhusu hofu ya Ebola, Tanganyika

  Pamoja na Serikali ya Tanganyika kuendelea kukana uwepo wa maradhi ya EBOLA bado Jumuia ya Kimataifa inaishindikiza Tanganyika kunyosha taarifa zake kuhusu ugonjwa huo. Ni hivi juzi tu Serikali ya Marekani imetoa tahadhari kwa RAIA wake wanaoingia Tanganyika KUWA makini kupelekea khofu hiyo...
Top Bottom