Search results

 1. Malingumu

  Car4Sale 2009 Subaru Impreza

  Agiza nasi: 2009 SUBARU IMPREZA GH2 PRICE: TZS 15,500,000. _______________________________ [emoji416] SPECIFICATIONS; Make: SUBARU Model: IMPREZA Reg Year: 2009 Transmission: AUTOMATIC Engine size: 1490cc Mileage: 84,000km [emoji416]FEATURES Power Steering, Power Window,Air Conditioner...
 2. Malingumu

  Car4Sale 2001 caterpillar motor grader

  Agiza nasi toka UK 2001 CATERPILLAR 160H VHP MOTOR GRADER. ●18.170 Hours, Centre moldboard, Rear ripper, Xlosed cab with working light. ■BEI MPAKA DAR PORT(Bila kodi):TZS 250,000,000/= Karibu sana BEST REMAIN MOTORS LTD. Agiza nasi sasa Gari ya aina yoyote(binafsi,abiria,kazi) pamoja na...
 3. Malingumu

  Car4Sale 2007 SCANIA R440

  Agiza nasi toka UK; 2007, SCANIA R440, ●4×2 TOPLINE TRACTOR , ●Retarder, Manual gearbox, Air suspension, Abs, Electric mirrors and window, Fog lights, Leaf spring suspension, Sleeper cab, Spoiler and visor, ■BEI MPAKA DAR PORT(Bila kodi):TZS 42,000,000/= ○USHURU:TZS 19,500,000/=* Karibu...
 4. Malingumu

  Car4Sale 2010 Subaru Impreza 1.5I L.

  Agiza Nasi sasa kutoka Japan [emoji416]SPECIFICATION. Make:SUBARU Model: IMPREZA Manufacture year: 2010 Engine size: 1490 cc Transmission: AUTOMATIC External color: BLACK Steering: RIGHT Seats:5 Doors: 5 [emoji417]STANDARD FEATURES. Power steering,Power window,Push start,Air...
 5. Malingumu

  Car4Sale Agiza nasi Tractor toka UK.

  Make:FIAT Model: 90-DT P4WD TRACTOR Manufact year: 1990 Horse power: 90 Manual gearbox. Gharama Mpaka Dar(Bila ushuru):TZS 42,000,000/= ____________________________________________________ Karibu sana BEST REMAIN MOTORS LTD. Agiza nasi sasa Gari ya aina yoyote toka nje ya nchi kwa gharama...
 6. Malingumu

  Car4Sale Mercedes Benz C180

  2004 MERCEDES BENZ C180 ___________________________________ [emoji416]SPECIFICATIONS: Make: MERCEDES BENZ Model: C180 Exterior Color: SILVER Year: 2004 Engine size: 1800CC Fuel: PETROL Transmission: AUTOMATIC Drive: 2WD Mileage: 123,200Km ___________________________________ [emoji417]FEATURES...
 7. Malingumu

  Car4Sale 2005 Toyota alphard AS From Japan

  SPECIFICATION: Engine Size: 2,360cc Mileage: 96,200KM Registration Year: 2005 Ext. Color: BLACK Wheel Drive: 2wheel drive Transmission: Automatic Fuel: Petrol Seats: 8 STANDARD FEATURES _____________________________ Power Steering,Power Mirrors,Air Cond (AUTO),Air Bag,Power...
 8. Malingumu

  Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

  Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi? Natanguliza shukrani.
 9. Malingumu

  Car4Sale Agiza nasi; 2009 NISSAN DUALIS 20S

  PRICE+ REG: 21,000,000 TZS. ___________________________________ [emoji416]SPECIFICATIONS: Make: NISSAN Model: DUALIS Exterior Color: ORANGE Year: 2009 Engine size: 1990CC Fuel: PETROL Transmission: AUTOMATIC Drive: 2WD Mileage: 94,618Km ___________________________________ [emoji417]FEATURES...
 10. Malingumu

  Car4Sale Karibu uagize nasi gari leo toka Japan, UK,Dubai,Singapore.

  Kwema mabosi? Nawakaribisha sana kwa uhitaji wa kuagiza gari toka nje ya nchi. Pia kama una gari na unahitaji kubadilisha tutakusaidia kuuza uliyo nayo ili ufanikiwe kuagiza uitakayo. Karibu sana. Nicheki kwa simu/WhatsApp: 0714772030. Kwetu ni salama na nafuu sana. Karibu sana. Karibuni Sana.
 11. Malingumu

  OnLine Tv

  Habarini! Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV? -Mahitaji ya vifaa -Mahitaji ya mamlaka serikalini Asante.
 12. Malingumu

  Tuombe adhabu ya Mungu kwa wezi wa kura 2020..

  Habarini wakuu... Kichwa cha habari chaeleza...kimekaa kama si cha maoni lakini ni cha kupokea maoni.. Ni hivi kumekuwa na malalamiko sana baada ya uchaguzi katika nchi yetu hasa kwa wanaoshindwa uchaguzi kusema wameibiwa... mara nyingi hii huishia tu hewani kwa watu kulalamika hatimaye...
 13. Malingumu

  Mil 3 Naweza pata gari nzuri kidogo?

  Wajameniii natafuta gari ya bajeti hiyo angalau nitumie miezi michache.... mwenye connection,plz help
 14. Malingumu

  Wapi kuna viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam

  Habarini... naomba kuuliza vilipo viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam. Nina uhitaji wa kufika huko na sipajui,,, msaada wa maelekezo ya uelekeo please!!!!! sijamalizia title maana nilipost kabla sijamaliza...na sikuona sehemu ya kuedit...
 15. Malingumu

  Ushauri wenu wa biashara ya asubuhi

  Habarini... Kuna rafiki yangu anafanya kazi ya ofisini ila muda wake wa kuingia ni saa nne asubuhi... nimemshauri kuwa kabla ya kuingia ofisini anaweza akafanya kitu cha kumuingizia hela... sasa ameniuliza ni kitu gani? Mimi nikawa na idea moja ya kutengeneza say vitafunwa na kuvisambaza sehemu...
 16. Malingumu

  App zinajifunga katika simu...[emoji24][emoji24]

  Habarini wataalamu... Natumia Samsung J1 Ace, shida ninayoiona sasa ni kuwa nikifungua app fulani katika simu say WhatsApp/JF/Facebook yani kabla sijamaliza ninachokifanya inajifunga, so nalazimika kuanza tena... Hapa penyewe natype haraka haraka ili isije ikajifunga... Natatuaje hili tatizo la...
 17. Malingumu

  Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

  Habarini wana wa nchi wenzangu, Naomba leo nishee jambo kidogo kuhusu hili jiji la Arusha. Ni takribani mwaka sasa nimekuwa katika jiji hili la Arusha kikazi, kabla ya hapo nilikuwa naishi Dar. Waswahili husema "mteja ni mfalme", hii kauli nahisi inatofautiana katika viwango vya kuthibitika...
 18. Malingumu

  Napata wapi SUZUKI CARRY ya mkopo......

  Wandugu habarini, ni hivi kuna biashara soon naianza na nina uhakika nayo kuwa itakiki, ni ya kusambaza bidhaa hapa jijini Arusha, sasa katika kusambaza inahitaji gari...nimepiga hesabu gari ya kukodi itanigharimu, nimewaza kama ningepata ya kukopa halafu nikawa nalipa taratibu taratibu ingekuwa...
 19. Malingumu

  Nawezaje ku-upgrade OS ya Samsung toka 2.2 ?

  Wandugu habarini... Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
 20. Malingumu

  Je,unapenda nini katika mavazi? Juu,kati au chini..

  Habarini wapenda mitupio.. Ni ukweli kuwa mavazi yapo ya aina na namna mbalimbali kulinganga na mahali panapositiriwa. 1.Kuna Juu zaidi (hapa ni kofia,mizula n.k) 2.Kuna katikati., (Hapa ndipo mahala pa T-shirts,mashati,vitop na viblauzi kwa wenzetu KE na aina nyinginezo) 3. Chini karibu na...
Top Bottom