Search results

 1. Joao de Matos

  Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

  Natumaini MUNGU kashatenda mkuu
 2. Joao de Matos

  Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

  Wenzio washafikilia hayo.
 3. Joao de Matos

  Ujenzi wa kiafrika

  Waafrica tunajenga eneo ya kujihifazi tuu, na ndo wengi wanafanaya hivyo.
 4. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Usikimbie njoo huku, Ninavyojua Serikali ya Bongo land hawajafanya juhudi zozote zile za kuzuia mimba mashuleni. Sasa Kama mnajua kuwa kwa mwaka zaidi ya mabinti 6500 wanapata ujauzito shuleni, je hao wanaume 6500 mnawafunga wote? Jibu na Hilo usikimbie. Kama kweli mnafuatilia.
 5. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Jibu swali mkuu.🤣🤣🤣🤣😂😂
 6. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Kama Kuna watu wanafanya hivyo kwa Nini yeye hazuiii.
 7. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Serikali wengewe hawafanyi jitihada zozote zile za kuzuia watoto kupata ujauzito.
 8. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Mkuu hi ya ubakaji , Kuna wengine wanakubaliana kabisa.
 9. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Mkuu hayo maneno yake , Mimi nimemwambia yeye atakuwa Ni mwakilishi wa Lucifer, kwa yeye anamahanisha kuwa watu wazaliane hovyo tuu bila kufuata taratibu.
 10. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Mkuu ngoja nikuulize swali hili. Kama binti akimpenda kijana yeye mwenyewe na kumtafuta yule kijana na kufanikiwa kuingia kwenye mahusiano, lakini binti alimdanganya kijana kuhusu umri na pia alimdanganya kuwa yeye SI mwanafunzi, lakini binti akapata ujauzito, Vipi kuhusu mahakamani uwamuzi wao...
 11. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Kuna maneo flani hivi mleta madam kayaandika , Anasema mimba sijui niukamilifu wa kizazi Cha mwanamke , sijui mimba Ni Kama Nini , sijui Ni Nini na Nini. Nimemuambia kea maneno yako hayo ukisema kwa wanafunzi wewe Ni MTUMISHI AU MWAKILISHI WA LUCIFER.
 12. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Ukishazaa umepoteza sifa za kuitwa binti Sasa mleta mda sijamuelewa. Japo naunga mkono kuhusu kurudi shuleni , Ila wanachoniuzi mimi wanadili na matokeo.
Top Bottom