Search results

 1. S

  Mnajua sababu ya Hayati Magufuli kumpiga chini Hamisi Kigwangalla kule Maliasili?

  Ndani ya CCM ni hakuna msafi ukiona watu wana bweka ni kwa sababu wanataka mfupa wenye mnofu warushiwe. Huyu Hamisi Kigwangala hana nukta ya usafi na shukrani zimwendee Mwenda zake kwa kumpiga chini. Niliwahi pewa story na jamaa yangu anayefanya kazi moja ya hifadhi kubwa nchi hii akaniambia...
 2. S

  Mitandao ya kijamii imekuwa mwiba kwa serikali kwa kujiteta kwa wananchi

  Ndio unavyo waza? Njia pekeee ni raia kuandamana kitu ambacho kwa Tanzania hakiwezi tokea make raia ni mazezeta, hii ya mitandao ya kijamii haiwatishi
 3. S

  Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

  Umeandika ujinga, ulitaka Chama.kikuu waandamane kwa.ajili yako na familia yako? Wakati mbowe Mashamba yake yana haribiwa kule wilayani Hai, uliongea chochote? Wacha kuwaza kwa kutumia utumbo mkubwa
 4. S

  Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

  Ni kosa kwa mujibu qa katiba ya nchi? Au ni kwa mujibu wa masabuli yako?
 5. S

  Ni kodi ya Watanzania itakomboa ndege iliyokamatwa, tuendelee kushangilia

  Bila shaka ni kodi zetu, na mbaya tunakenua meno tu, nchi ina raia wapumbavu sana hii
 6. S

  Onesmo Olengurumwa alia na Air Tanzania baada ya kutelekezwa kwenye uwanja wa ndege, Lusaka

  Air Tanzania , Mmebadilisha ndege ya Lusaka Dar es Salaam bila utaratibu , Watu zaidi ya 10 tumeambiwa ndege imejaa baada ya kuletwa ndege ndogo. Cha kushangaza zaidi hamna utaratibu wa kuhamishia abiria kwa ndege zingine hapa na zipo nyingi zinazofika Dar Leo usiku kama Ethiopia na Airlink...
 7. S

  Viwanda vya kutengeneza Jam ya mkate

  Jam ya kwenye mikati ni ipi?
 8. S

  Wanaume watanzania wamegeuka kuwa wahindi wa Facebook

  Cha ajabu huyu anaweza kuwa ni Mwanaume na hapo anajaribu kuweka ile mitego ya kina kirefu kama kule ziwa Tanganyika aone kama anaweza nasa samaki.
 9. S

  Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

  Niliwahi leta humu Syndicate ya rushwa ya Trafiki Barabarani, Wakina Mod wakafuta faster post yangu. Kwa kifupi Rushwa ya Trafiki ni Syndicate mkuu kuna watu wengi sana wako kwenye pyroo ya Trafiki. Ndani ya jeshi la Polici kuanzia IGP hakuna anaue weza kukemea hili make ni mnufaikaji mkubwa...
 10. S

  Project za Arusha Lutheran Church(KKT) zimejaa Ukabila

  Hizi Dini huwa nashindwa kuelewa Jumapili watu wanaenda kuomba nini hasa. Kuna hii KKT Arusha wana project si haba kama vile Mahospital hasa ile Seriani ya Mjini kati na nyingine Ngalamtoni na pia wana mashule ya kutosha na NGOs kibao. Tatizo kuu la hawa watu ni ukabila, yaani kama wewe sio...
 11. S

  UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

  Kwani kajiteua mkuu? Vipi alie mteua mbona hamumlalamikii?
 12. S

  Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

  Mfano Airtel kama una salio la kawaida haikubali Data lazima ujiunge bando, hapo unasemaje?
Top Bottom