Search results

  1. M

    Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

    Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio. Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa...
Top Bottom