Search results

  1. M

    Msaada: nahitaji kufungua youtube channel

    Habari jf members, nina mpango wa kutaka kuingia kwenye hii sekta ya kusaka tonge mtandaoni, nikaona best kwangu ni youtube channel. Changamoto nayokutana nayo sijui chochote kabisa kuhusu ku edit video, na video editing ni pesa yenyewe kwenye YouTube channel ,maana content tayari ipo...
  2. M

    Wanasheria msaada: Nimedhamiria kumshtaki na kumfunga mwanangu wa kumzaa

    Wakuu habari..... Nimekuwa ni msomaji tu wa JF kama guest. Lakini baada ya kunikuta nikaona nijiunge nipate msaada maana hapa hakuna kinachoshindikana, Iko hivi nina mwanangu wa kiume umri miaka 33..! Huyu kijana ndio nilikuwa nikimtegemea haswa aje kusimamia mali zangu siku nikiwa sipo, na...
Top Bottom