Search results

 1. ummu kulthum

  kwaito ni lazima kwenye sherehe zetu??

  wapedwa za jion hii,wadau nimekuwa nikitatizika ndani kwa ndani nimeona leo niilete hii kitu hapa.hakuna harusi wala kitchen party na send off zinazofanyika bila kuwekwa hii kwaito. hivi huko kwao wanapiga nyimbo zetu kwenye sherehe zao?kila kitu tunaiga hata...
 2. ummu kulthum

  mkono wangu jamani.............

  umevimba tenzi haliumi hata nikilibinya sana sihisi chochote nikiuinamisha mkono ndo linatokeza kama gololi mkono ukiwa kawaida linaonekana kwa mbali hospitali wamesema ni operashen ila niliache likuwe kidogo natafuta tiba mbadala kama linaweza kuisha bila ya oparesheni kwa yeyote anayejua tiba...
 3. ummu kulthum

  kweli mapenzi uchafu, na udhia............

  ni mwanamama ambaye ameolewa na kuachika mara moja na sasa yupo ndani ya ndoa kwa miaka miwili na ushee,kwa mumewe wa kwanza kulikuwa hakuna hayo matatizo sasa ndio anaona mapenzi ni udhia na uchafu.alipoolewa na mumewe wa pili hakukuwa na tatizo lolote mpaka walipofikisha mwaka mmoja na nusu...
 4. ummu kulthum

  hoja ya kutongozea kura

  kuwania nafasi ya mwenyekiti cc/anguko la mwenyekiti cc hoyeee!! salam ma bibi na mabwana, ama awali ya yote napenda sana kuishukuru familia yangu hasa mume wangu, ajuaye nitibu maradhi ya moyo wangu platozoom ambaye yuko safari mashariki ya mbali. kama ambavyo ilivyoada kwa kila kiongozi...
 5. ummu kulthum

  je inawezekana wadau?

  amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2009 na akarudia tena 2010 akapata vyeti viwili.swali je kuna uwezekano wa kufanya kiwe kimoja badala ya viwili vya sasa?
 6. ummu kulthum

  namshangaa erick52 siku hizi!!!

  ni wiki ya pili sasa nachunguza mwenendo wake umebadilika kabisa na nyinyi wanacc mtakubaliana na mimi,kwa hoja hii kwamba akija humu hakai wala hasalimii anakuja kutoa like haraka af anasepa, kwa yeyote na popote chuguzeni mtangundua tu! like anatoaje huyu mtanashati erick52 1. kwenye msiba...
 7. ummu kulthum

  huu ni ugojwa au kunamkono wa mtu?

  ndugu yangu anamatatizo ya kuanguka/kuzimia pale tu anapoona maiti na akilia kwa sauti ghafla anajikuta analegea na kuanguka, kwa madai yake anasema wakati anaanguka huwa anajijua lakin anashidwa kujizuia na wanaompa huduma ya kwanza huwa anawasikia kwa mbali sana lakin kujibu anashidwa na nguvu...
 8. ummu kulthum

  love triangle asprin umekwishaaa.....?

  @aspirin ni babu kijana na mpenda totoz, hivi katika hali ya sasa ilivyongumu kimapenzi,kisiasa ,kiuchumi anawezaje kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na totoz kibao anazifukuzia humu kila kukisha na @cacio na BADILI TABIA hawaoni kwamba ni tatizo na huwa wanampa sapot katika kila kitu je hawaoneani...
 9. ummu kulthum

  shombeshombe,chotara nini tofauti?

  jamani wapedwa kuna utata umejitokeza chit-chat kuhusu utofauti wa hayo maneno hapo juu.naomba ufanunuzi please!
 10. ummu kulthum

  je we ni chotara...?

  mi ni chotara nimezaliwa na mama mndengereko na baba mnyakyusa nimetokea chotara.nitajazaa na platozoom mtoto atakayezaliwa atakuwa ni chotara.hiki kizazi tulichonacho ni cha machotara au vip?if yes like it,if no comment 9ce 9t 2 all.
 11. ummu kulthum

  How do I look...???

  HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY? Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu...
 12. ummu kulthum

  Tangazo,tanganzo,tangazoooo!!!

  kwanza kabisa niwashukuru wale wooote waliopendekeza nibadilishe MY AVATAR cacico, charminglady, FirstLady1 na wengineo waliochangia kwa maandishi Bishanga, Judgement, Erickb52, platozoom, Pombekali, Kaizer ummu kulthumu na jopo lake wameamua kutafuta mtu au watu watakaofanikisha kupata Avatar...
 13. ummu kulthum

  Wanaume jf wamepewa libwata............

  Sio wote na wanajijua, yaan bila kuwataja hawa warembo wawili sekunde, saa, dakika, siku haziendi kabisa herufi za mwanzoni za wanyage hao ni F na C na za mwisho herufi zao zinafanana sana ni Y,kuna mmoja wao nilishamuomba maunjanja hayo anipe nami niwe natumia ili nitajwe nitwaje lakini...
 14. ummu kulthum

  anaota ndevu jamani ka dume!!

  ni mdogo angu umri 24 msichana, anaota ndevu na anazinyoa ka mwanamume kidevuni na anamustachi ki aina hii nini?hajawahi kutumia mkorogo toka azaliwe.
 15. ummu kulthum

  Unaipenda,unaitaka,unaiangalia !!!

  sio makosa yako ni mavituz yaliyomo
 16. ummu kulthum

  Dactari bigwa wa jf naye abariki mgomo!!!!!!!!!!!

  MziziMkavu aka mziziology ameamua kubariki mgomo jf doctorz kwa members wake kutorudisha fadhila.amejikita sana kwenye magojwa malovee aka mahaba ni mtaalamu sana magojwa hayo ni ukimwi,kisonono,nguvu za kiume lakini nguvu za kike maunjanja yalimuishia mengine utamalizia...
 17. ummu kulthum

  Mume vs mke

  kuna ndoa moja inapenda sana tena saaaaaaan mazadi kila kukisha siku moja ikwa hivi na ndoa ikaingia ndoa mke:kaenda dukani kumnunulia mumewe nguo za ndani zinazofanana mume:asante mke wangu kwa zawadi kaanza kuzingua zote zinafafana,mkewangu mbona hizi zinafafa sana si watajua kuwa...
 18. ummu kulthum

  Mc na sifa kwa bi harusi

  MC,..............karibuni mabibi na mabwana wageni,........Asanteeeeeeeeee MC,..............bi harusi wa leo huwa havai kabisa nguo za ndani wageni,........mshangoa aaaaaaaaaaaaaaah MC,.............,Ni kweli siwatanii ndugu waalikwa huwa havai kabisa nguo za ndani ya nchi ...........,malizia...
 19. ummu kulthum

  natamaniii,tamani,tamani,taman iiii!!!

  natamani yaani natamani sanaaaa yaani natamani kuwa.........yaani masela natamani eti mademu je mpo?mi natamani je wewe hapo ulipo unatamani nini?
 20. ummu kulthum

  kiuno kuuma kinasabishwa na nini?

  ana miaka 25 sio mm ummu, lakini analia na kiuno hasa akifanya kazi za kuinama kama kufua au kupiga deki amepima U.T.I hakuna kitu kwa madai yake anasema amelogwa cause alitembea na bwana wa rafiki yake.ki taaalam hii iko vip jf members?
Top Bottom