Search results

 1. FirstLady1

  Hivi hizi ni 'stress' gani?

  Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha; 1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo, 2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa...
 2. FirstLady1

  Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako katika mahusiano au ndoa kwamba umeathirika?

  Kwa mfano, wale walioko kwenye ndoa labda baba na mama wote wanapenda michepuko au mmoja wao ni bingwa wa michepuko mbaya zaidi wanafika mbali hata kinga kwao inakuwa habari gani hawawezi kula pipi na maganda. Pia uhusiano wenu ni long distance labda mnaonana kwa mwezi au miezi kadhaa. Je...
 3. FirstLady1

  Hii sasa Sifa na leo tena Nyama?

  Jamani nimechoka kuumizwa pua na majirani zangu na huuu ukata Kila siku vitunguu swaumu kunukia ,pilau ,Biliani sijui Nyama tu Napitisha mchango wa bajeti ya nyama chonde chonde mchango angalau December yote nipate meat and Fish Nitawakumbuka katika ufalme wangu marafiki Mpesa,Tigo Pesa...
 4. FirstLady1

  Kwa wale wanaofanya Diet kujeni huku tuongee

  Habarini za kazi ,business na wale walioko shule Leo napenda kuangalia hili swala zima la kina dada wanaofanya Diet ili angalau kuufanya mwili uwe mzuri na kuepusha magonjwa kama BP Nk Nk pia kwenda na fashion za urembo Ni aina gani hasa yaa vyakula na matunda ,pia diet ipi itumike angalau...
 5. FirstLady1

  Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

  Poleni na majukumu ya kila leo mashostito pale tunapokuwa na jambo lazima kushare pamoja Leo nina jambo kidogo la kushare kwa sisi ambao tunashikilia Gurudumu la ndoa mambo machache ya kukumbushana na kuelekezana, Kumekuwa na kasumba ya kina mama wakiwa saloon au popote kwenye mikusanyiko ya...
 6. FirstLady1

  Mapishi ya Keki - muongozo

  Wapenzi mie upishi zamani nilikuwa sipendi kabisa ha ha ila sasa ndio nimeanza kuwa na Interest za kupika pika vyakula mbalimbali Ila kuna vitu napenda sana kujua,hasa hapa nilipo tukiagiza Keki tunaletewa ugali si ugali ,keki si keki,nimewahi kupika keki ndogo tu ya kawaida kwa family kwa...
 7. FirstLady1

  Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

  Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana , Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression nimeshajifanyia utafiti ,fatigue sioni chochote Lakini ninaumwa mwili wote ,Ninasikia...
 8. FirstLady1

  Msaada Tafadhari - Sony Xperia Z1

  Kama mnavyojua akina dada na mambo ya Selfie simu inaniangusha tangu nimenunua nashindwa kujipiga Picha- Front Camera nikiset inakuwa Black tu wala haionyeshi chochote wataalam nisaidieni please Ijumaa Njema
 9. FirstLady1

  Broccoli Salad With Avocado

  Description The contrasting textures of crunchy broccoli and creamy, soft avocado make this quick salad interesting and delicious. It is rich in monounsaturated fat and full of protective phytochemicals and fiber. Don't forget to use the broccoli stems, which, if properly trimmed, are as...
 10. FirstLady1

  Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

  Habari zenu wadau ni masiku mengi sijatia mguu ndani hapa ila leo naomba msaada. Ni mchanganyiko upi wa vyakula unaomfaa mtoto wa kuanzia miezi mitano... Maana wengine wanasema Dagaa, mahindi, maharage, karanga nk ni mahindi, soya, karanga, ulezi, mtama n.k. Mahindi ya bisi, uwele, ngano...
 11. FirstLady1

  Weekend njema ndo inaishia hivo

 12. FirstLady1

  Ladies:- Je unaweza kuolewa na mwanaume aliye na watoto wanne kwa wanawake watatu tofauti tofauti?

  Would any of you ladies marry a man who has four kids by three different women but has never been married? Why and why not?
 13. FirstLady1

  Heartbreaking! Read Bollywood actress Jiah Khan's suicide letter ..

  Bollywood actress, Jiah Khan, 25, committed suicide by hanging herself from a ceiling fan in her bedroom at her residence in Mumbai on Sunday June 2nd when her mother and sister were not home. A six-page suicide letter was found by Jiah's mother at their home a few days after the suicide...
 14. FirstLady1

  Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

  Where do you prefer your man to be perfect; in bed or his bank account?! Remember, you can only pick one! xoxo
 15. FirstLady1

  Hivi kwani Duka lote bei gani...?

  Nataka yale mashati ya gucci sijui ni chui chui kama ya rweyemamu, na ile mikanda ya chumma chumma......kama ya hahaha jamani mwenzenu tangazo hili la voda huwa naburudika sana Copy Bishanga Bashaija ..JF KOKUTONA Katerelo MUZEe ya kukagua babu Asprin...
 16. FirstLady1

  Happy Women's day!

  Wishing you a day filled with goodness and warmth, Wishing you happiness… today and forever, Happy Women’s Day!
 17. FirstLady1

  Menu yangu ya leo. Karibuni

  Wote mnakaribishwa !
 18. FirstLady1

  Fao la kujitoa: Nimeamini kweli Zitto Kabwe anauma na kupuliza !

  Haya kile kilio chetu wafanyakazi kumbe yupo yule anayezidi kukipigilia misumali Sina mengi nyie wenyewe mtaamua kama huyu kijana ni mtu mzuri mmeshindwa kurudisha pesa zilizo kwenye mabenki ya nje bado mnataka hela zetu ========================================== Mjadala wa Zitto Kabwe...
 19. FirstLady1

  WHAT TYPE OF FRUIT ARE YOU?..wewe ni aina ya tunda ?

  1. MANGO - Happily married 2. ORANGE - Single and searching 3. LEMON - Having a sex partner no strings attached 4. STRAWBERRY - In a relationship but in love with someone else 5. PEAR - Still in love with your ex 6. CHERRY - In a relationship for wrong reason you just don't know why you still...
 20. FirstLady1

  HIV postive and negative @ the same time?

  Wapendwa hebu nisaidieni juu ya hili... Binti yangu wa kazi mwenyeji wa Sehemu za Ngara kila nikienda likizo na yeye nampa likizo... jmos karudi toka kwao akiwa mnyonge na amepungua sana ,nikaomba kujua linalomsibu, Bila shida akanambia dada nina tatizo tarehe 4-1-2013 nilipima huko kwetu...
Top Bottom