Search results

 1. Mbelwa Germano

  Tafakari yangu ya pasaka

  Heri ya Pasaka WanaJF, Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili bila kuchangia jambo lolote.Pamoja na ukweli huu leo imenibidi niandike mistari michache juu ya tafakari yangu wakati nikisherekea sikukuu ya pasaka. Ndugu zangu, nchi yetu kwa sasa ina shida moja kubwa sana,USHABIKI WA...
 2. Mbelwa Germano

  CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

  OLESAIDIMU unahitaji darasa kidogo kuelimishwa na kutambua jukumu la vyama vya upinzani na chama ambacho kina mamlaka ya kuongoza nchi,unahitaji kutambua na kujengwa uwezo kwa kutambua na kutofautisha wajibu wa bunge na serikali.Ukielewa haya utakuwa na uwezo wa kujenga hoja zunzosimama...
 3. Mbelwa Germano

  CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

  Unamua katika misingi gani?Kwa kuviweka CDM na CCM pembeni na kuweka ukombozi wa mikononi mwa wananchi ambao baadhi wanaunda vyama hivyo maana yake unataka kuhalalisha mfumo mwingine nje ya vyama vya siasa.Sasa kwa kutusaidia unadhani ni mfumo upi ambao utatoa mamlaka ya moja kwa moja kwa...
 4. Mbelwa Germano

  Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

  Tuko umeuliza maswali ya msingi sana na kuonyesha kiwango kikubwa cha kifikra katika kuchambua bandiko hili,kama mtoa mada ataweza kujibu maswali haya kwa ufasaha itakuwa ni kipimo kizuri cha kutambua uhalali wa hoja zake.Kushindwa kujibu maswali haya atadhihirisha kwa kiwango kikubwa kwamba...
 5. Mbelwa Germano

  Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

  HOJA YA MSINGI,unapaswa kuelewa SAID MOHAMED alizungumzia dini katika mazingira gani ili kuhalalisha mantiki ya hoja yako. Lakini vilevile ungeenda mbele zaidi ya kujua tafsiri pana ya siasa?Nini ambacho watu wenye nia mbaya wamejaribu kuhubiri kwa siku nyingi dhidi ya vyama vya upinzani...
 6. Mbelwa Germano

  Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

  Moja,propapanda ya Udini au dhana nzima ya udini muasisi wake ni CCM na wamefanya hivyo kwa malengo mafupi ya kisiasa "Kushinda Uchaguzi" kwa kuwagawa wakristo na waislamu. Kumbuka walisema/wanasema CUF ni waislamu,CHADEMA Wakristo hivyo kuhatarisha umoja wa kitaifa. Mbili,umeonyesha chuki za...
 7. Mbelwa Germano

  2015 onwards Nchi itaendeshwaje Bila mikopo? Embu CCM jibuni hili

  Today's politics are for economic growth an technological advances.And in order to advance technologically you require a supporting economy. Binafsi ningefurahi kuona mwaka 2015 na kuendelea economic issues take centre stage in our political rallies baada ya hili suala la katiba mpya...
 8. Mbelwa Germano

  2015 onwards Nchi itaendeshwaje Bila mikopo? Embu CCM jibuni hili

  Dependence syndrome on foreign aid and and investment as opposed to local investement ni mambo makuu yanayorudisha nyuma jitihada zetu za kujikomboa kiuchumi.Tumekuwa vilevile wategemezi wa kifikra katika kupanga mipango yetu ya ndani thus we are poor and sorry. Kama tunashindwa kuemphasis...
 9. Mbelwa Germano

  2015:the economic issues must take centre stage in our politics

  Malengo ya kisiasa ya mataifa ya kisasa yamebadilika.Siasa za sasa ni kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia.Ili kupiga hatua kiteknolojia lazima kuwepo na supporting economy.Uchumi uliolala kama huu wa nchi yetu hautoi fursa ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umaskini na maradhi...
 10. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Maandalizi?Mbunge ndio huyo aliyevaa dark blue(upande wa kulia) unataka kusema na yeye alikuwa anapanga viti? Hapo ndio alikuwa amefika kwa ajili ya mkutano na kupokelewa na hao watu unaowaona mmoja ni mtumishi wa serikali.
 11. Mbelwa Germano

  Sikurudisha fomu kwa kuwa CHADEMA imepoteza mwelekeo

  You don't believe the existance of devil and still worship the same unknown devil?Huyu ndio mtengeneza wasomi kwenye taifa hili
 12. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Hiyo ilikuwa saa 11 jioni,tatizo laana za fitna na majungu kwenye mchakato wa kura za maoni 2010 zinawatafuna na zitaendelea kuwatafuna,mtifuano wa Balozi Mshangama na Shekifu kufanyiana fitina haya ndio matokeo yake,CCM imefanya wananchi wa Tanga misukule yake,2015 mtaduaa
 13. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Wewe mbona unaficha sura yako na unatumia majina ya bandia weka jina lako,tangia nimejiunga JF umechangia nini la maana hapa halafu unajifanya unatengeneza wasomi,wasomi gani?Unatengeneza wasomi au Division 5.Nimeshasema sibishani na wewe nikaonekana nina upeo mdogo kama wa kwako na hii ni jibu...
 14. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Hahahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza,nashindwa nikuweke kundi gani?Akili zako za kike ndio zinakufanya kila mtu umwone wa kike?,anyway kulingana na upeo wako tusibishashe....najua ni hasira tuu za.....,pole sana.
 15. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Uzee wako nadhani unakusumbua angalia usije ukapata stroke,hujaona hiyo picha au umefumbwa macho,nani anafuata mkumbo wewe huwezi kukimbia kivuli chako,hebu tazama tena hiyo picha
 16. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Unataka nikukopeshe?Nani kakuambia nasoma SEKOMU?Wewe unanijua au unahisi unaota,unajua kazi ninayofanya,utanijua 2015 wewe kijakazi wa Lumumba
 17. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Bandika wewe malipo yaongezeke,hiyo si ndio kazi yako inayokuingizia kipato,fanya haraka
 18. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Laana ya kubaguana,fitna na majungu kwenye kura za maoni 2010 ndio inawamaliza.
 19. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Wanajipa moyo wa kuhonga na kuiba kura 2015,Mungu niweke hai niione 2015,nakwambia Jimbo la Lushoto hawataiba kura
 20. Mbelwa Germano

  Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

  Hiyo ndio hali halisi,wewe unasemaje?
Top Bottom