Search results

 1. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Igweeeeeeeee!!! RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! ) Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So...
 2. lara 1

  uso kwa uso na Boss de La Boss la JF. Mapenzi ni pesa

  Igweeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Nimewamisi sanaaa watu wangu wa nguvuuuu! Sikupanga kurejeaaaa ila imenibidiiii! Sio kwa ubuyuuuu huuuu! Humu ndani kuna BOSS DE LA BOSS (NAOMBA NISEME HADHARANIIII SIO MONKEY) kuna shoga angu aliniambiaaaa nae wa humu humu kwamba ana rohoooo moja safiiii! Mzunguuu...
 3. lara 1

  Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

  Igwee Kabla ya yote niwape pole na Corona! Mimi ni mzima nimeji quarantine! Nawaombea uzima na familia zenu! Well Msione kimyaaa! Kama wengi mlivonishauri I am officially in movie businesss! Kuna series na produce, kali kulikooo! Sasa sikujipanga pesa imenikatikia katikati! Nawasiwasi wana...
 4. lara 1

  Katiba ya wahenga ya Codes za Dating ime-expire!

  Igweeeeeeeeeeeeeeee! Kabla ya wote nyie Marioo wa humu MNIKOMEEEE! Sina uhaba wa mabwana! Kuwaambia nimenpenda Ben 10 basi ndo kujazana inbox yangu! MI SIFUGI MABWANA! Mnitueee kabisaaa! Ben 10 nimempendaaa mwenyewe! Mtoto mtamuuu mpaka kanirudisha humu! BACK TO TOPIC! Nianze kwa kusema...
 5. lara 1

  Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kitambo sijaingia humu kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo kukosa simu ya smart amini mmsiamini! (Either way life facks us all sometimes) At my prime nimekula sana pesa za watu humuuu! Sanaaa! Nishakaa mwaka bila kazi nakula tu pesa za watu humu! (I was young and...
 6. lara 1

  Weekend story! BEN 10

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story. Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire. Kilichonirudisha kuandika...
 7. lara 1

  Weekend Story! All is Fair in Love and War!

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu! Sababu tarehe 26 sio mbali wala nini, haina ubaya nikiandika one more story maana ndio ya sio inaweza kuwa...
 8. lara 1

  Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Msione niko kimya mambo ni fire! Yaani niko busy hatari hatariiii. Still i managed to make time kuwapeni story. Vile nimekaa kimya mmenifariji sanaa kunicheki inbobo, Lara story lini, story lini. Mnanijulia hali na nini...
 9. lara 1

  Weekend Story! Glory Be To God!

  Bwanaaaa Apewe Sifaaaaa! Kwanza kabisaaa katika jitihada zangu zoote za kuokokaaaa sijawahi kumuandika Mungu story ya kumtukuzaaaa. Imeniumaaaa sanaaaa hii issue. Kwanza naomba mdisregard thread zangu zooote za nyumaaa! That is not the way to go in life. Whatever i preached that was not me...
 10. lara 1

  Bwana Nikimtaka Mimi Tu Kosaa La Jinai! Kuporana Mabwana Kunashusha Dau La Kuchuna

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mi siwachi mwenzenu mie mchagaaa! Mambo ya kukaa na bwana, kukukaza akukaze shida mpelekee mzazi wako siweziiii. Nishazoea kuhudumiwa na mabwanaa tangu na tangu. Free P nawaachiaga wenzangu. Kiroho safi. Mi bwana hanipi maneno matupu hata siku mojaaaa...
 11. lara 1

  Kijana wa kipemba ananimaliza na wateja wangu!

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Natumaini ni wazimaaaa, weekend story ninayooo, sema utu uzima dawa, mdaaa ndo sinaaa sinaaaa. Border to border! Bumper to bumper si mnajua sisi working class, ukilala na kazi nayo inalalaaaa ziiiiiii! Isitoshe mimi namtafuta bwanaaa, kama kawaida yangu...
 12. lara 1

  Weekend Story! The Man of the People love triangle!

  Igweeeeeeeeeeeeeee!!!! Bado sijarudiii kiandika like kurudi. I am retired as promised except this story if a story of my friend! For now best friends huko mbele Nina mpango wa kuwa ndugu yake kabisaa! Ooooh! I just had to pen it down! Story ni tamuuu I am addicted to it, ningewabania utamuuu...
 13. lara 1

  Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

  Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Sio kwamba nimerudi rasmi kwenye hii fani, hapana, i am gone for good. Hii ilikuwaga reserve, katika pita pita zangu katika story zangu nikaikuta hii imebakia, sikuitoaga kabisaa, nikasema no sweat ngoja niitoe. Sababu sina mzigo wa kuuza, so sina hela kwenye...
 14. lara 1

  Mapenzi Ya Kiutu Uzima Magumu Sana Rules of the Game are complately different

  Amani ya bwana iwe nanyi! In this life you can just be one thing, YOU. I keep learning that everyday. Mimi sio fan wa watu wazimaaa. Never had been, never will be. For me watu wazima are too smart for me, too matured, too calm, and have given up on life a longtime ago. Ukitoka na mtu mzima...
 15. lara 1

  Bad boys watamu sana. Usithubutu kiwaonja ni highly addictive.

  Mbarikiwe Sanaaaaaa! In 2012 one of my class mate married an armed robber. Jambazi jambazi kabisaa. The guy started small time kwenye white collar crimes, wizi huu wa makampuni kufoji, kuiba, ila sasa lazima uwe na kitengo ndo uibe hela nyingi of which katika maisha ikitokea ni once or twice in...
 16. lara 1

  Low Key Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Hela kama tu wanawake tunaopenda mabuzi.

  Bwana apewe sifa. Kwanza kabisaa nitoe shukrani za dhatiii kabisaa from bottom of my heart kwa WANAUME. Sio siri bila nyinyi sisi sio kitu kabisaa. Ukiona mwanamke ana jeuri ujue kaitoa kwa mwanaume. Mimi binafsi msione nakunyaaa humu na kujipaka daily kuhusu wanaume kuwakashifu na kuwabezaaa...
 17. lara 1

  Women day message. Ride Or Die Men Are extinct. Kutafuta pesa ni rahisi kuliko kutafuta wanaume

  Praise The Lord! It is tradition kila mwaka siku ya mwanamke duniani lazima nitoe my 2 cents humu Jf, and this year hatutovunja that tradition. Kwanza natoa shout out kwa CRDB bank siku yaleo tarehe 7, wamemuenzi mwanamke kwa wanawake wote hatujakaaa foleni. Kwenu wanaume kitakuwa kitu kidogo...
 18. lara 1

  Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

  Bwana apewe sifa. Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma...
 19. lara 1

  Stress za Ndoa ndo zimeniokoa (Najibu shutuma)

  Bwana apewe sifa. Ni mwezi wa 3 sasa tangu niokoke kwa hiari yangu mwenyewee bila kushurutishwa na mtu yeyote wala kulazimishwa, wala kuombwa. Tangu nimeanza kuhubiri humu people have been taking shots at me directly au pm kwamba nina stress za ndoa ndo zimeniokoa, hahahaaaaa. Mara ujanja wote...
 20. lara 1

  Demu Wa Mjeda Uso Kwa Na Freemason Mapesa, Apewa Kichapo yamkuta mazito amkumbuka mjeda.

  Bwana Apewe Sifa! I am trying so hard to change but the hood is bringing me down. Kweli ukihustle sanaaa unaathirika ki saikolojia, yaaani baaaaas, hata ujitahidi vipi athari ndo zishakupata. Kama mimi nishaathirika na kitaa. Kila nikijitahidi kuachana na kitaa nashindwa, nimeenda shule...
Top Bottom