Search results

 1. ubongokid

  Uzandiki wa Mbowe na Mustakabali wa CHADEMA

  Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA. Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi hizo?Kama jibu ni Ndio basi Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Chadema hakina hadhi ya kuwa...
 2. ubongokid

  Muungano wetu katika JICHO la CIA 1968

  Hii ni nyaraka ambayo imekuwa declassified kuhusu Jamhuri ya Muungano na Uhusiano na hali ya kisiasa huko Zanziba.IKO kwa Kiingereza
 3. ubongokid

  Kama Kiongozi hajiheshimu anastahili kuheshimiwa?

  Rais Samia, Ukweli ni kwamba kama kiongozi hajiheshimu hastahili kuheshimiwa hata kama kiongozi huyo ni wewe. Kila kiongozi kwa nafasi yake ni Taasisi. Kama anadharaulika basi hata taasisi anayoongoza itadharaulika. Hakuna namna nyingine yoyote. Mh. Samia, wewe ni Rais wa nchi haijalishi...
 4. ubongokid

  Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

  Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
 5. ubongokid

  Job Ndugai ni Shujaa wa Historia-Anatuonesha Matobo na Udhaifu wa Samia Suluhu

  Ndugu zangu; Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho. IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata...
 6. ubongokid

  Humphrey Polepole na Kipara Kipya

  Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa sana serikali ya kipindi hicho. Humphrey nimefahamu kabla ya kuwa mwenezi na baada ya kuwa...
 7. ubongokid

  Kesi ya kina Mbowe kweli ni ya ugaidi ukweli?

  Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu. Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM" Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au...
 8. ubongokid

  Vyuo vyetu vinazalisha wataalamu ambao hawatahitajika

  Habari, Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu. Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini...
 9. ubongokid

  Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

  Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa...
 10. ubongokid

  Je, wamachinga ni watu wavivu wasiopenda kazi?

  Sijui kama ni tafsiri sahihi ili kuna wanaosema wamachinga maana yake ni wazururaji,watembea hovyo. Je, kuna ukweli kwenye hili? Binafsi nafikiri kuna ukweli kwamba Wamchinga ni watu wavivu, ambao wanajificha mjini kufanya kazi ambazo hazina tija.Wamchinga wa zamani walikuwa wanabeba maduka yao...
 11. ubongokid

  Je, Bashiru ni Bepari au Ni Mjamaa Uchwara?

  Aliyekuwa katibu mkuu kiongozi,katibu mkuu wa CCM na balozi asiyekuwa na Portfolia Mh Mbunge kwa sasa Dr.Bashiru Ali na ambaye alikuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Dar es salaama kabla ya kutwaliwa na mwendazake pamoja na wengine waliotwaliwa kutoka Jalalani na kupewa nafasi ya kuwa watumishi...
 12. ubongokid

  Wale wazee wa Conspiracy Theory Mkuje tujadili hii ya Hayati JPM

  Kwanza kabisa nitoe angalizo kwamba yote ninayoandika hapa sio facts ambazo unaweza kuziverify so tusome kama sehemu ya kupanua uelewa na sio kama taarifa RASMI.Conspiracy theorists ni watu ambao wanaangalia mtiririko wa matukio na kuyaunganisha kisha kutoa maelezo kwa kutumia ushahidi ambao una...
 13. ubongokid

  Madam President, usituchukulie poa. Kuwa makini na watu wanaokuzunguka

  Habari za wakati huu; Madam President,Hongera na Pole kwa Kazi. Najua unajua kwamba wapo watu ambao kazi yao ni kuhakikisha kwamba unafeli.Pia wako watu ambao wanataka nchi yetu ifaulu hata kama wewe utafeli ila hakuna watu wanaotaka wewe ufaulu so Usijisahau katika.hakuna anayetaka ufaulu...
 14. ubongokid

  Mama Samia, Let not Tanzania Become a Gheto Republic or Laissez faire

  Madam President; I know you are in mourning and from my experience we are most vulnerable emotionally and intellectually when we are ins sorrow. However be warned that as a president of our beloved republic it is not enough for you to just say that "YOU ARE THE PRESIDENT" and expect the trouble...
 15. ubongokid

  Tanzanians reactions are just a facade - its Business as Usual

  I have learnt to always not trust politicians.I have also learn that most Tanzanians are Politicians in their own capacity and hence I can conclude that I have learnt not to trust Tanzanians. We are mourning the passing of JPM with alot of rhetorics,headline and Camera friendly swags which is...
 16. ubongokid

  Uchaguzi 2020 Taarifa kwa Umma kuhusu shambulio kwa Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi, Jimbo la Kigamboni

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SHAMBULIO KWA MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA TUNGI JIMBO LA KIGAMBONI Ndugu Wananchi; Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Tanzania (Tanzania Labour Party-TLP) Wilaya ya Kigamboni unalaani vikali shambulio lililofanywa dhidi ya Mgombea wa nafasi ya udiwani katika KATA ya TUNGI...
 17. ubongokid

  Ijue Molotov Cocktail- Silaha maarufu ya nguvu ya umma

  Katika historia ya dunia huwa daima kunakuwa migungano kati ya watawala na watawaliwa.Kwa kawaida watawala huwa wanakuwa tayari na JESHI lenye zana kali ila watawaliwa wengi huwa hawana uwezo wa kuwa na silaha wala kuzitumia.Inapofikia hatua kwamba watawaliwa wanataka kuchukua hatua dhidi ya...
 18. ubongokid

  Uchaguzi 2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

  Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani. Nirudi kwenye mada kwa...
 19. ubongokid

  Jinsi ya Kwenda jana na Kesho-Moving accross time boundaries

  Leo nataka kuleta mjadala mdogo; Huu ni mjadala unahusiana na uwezo wa mwanadamu kuvuka time borders.Tunajua kwamba in reality sote tumeungwa katika wakati uliopo. We have no control of the past or the future except through imagination.Katika kufikiria kwa kina unaweza ukaona kwamba pamoja na...
 20. ubongokid

  Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

  Nianze kwa kusema kwamba andiko hili halilengi kuunga au kupinga uwepo wa mbuga ila linataka kuibua mjadala wa kimkakati kuhusu ulazima au umuhimu wa kuwepo kwa mbuga hii. Binafsi nafikiri serikali ingepaswa kuwekeza rasilimali muda na rasilimali pesa katika kuboresha mbuga zilizopo,kuzitangaza...
Top Bottom