Search results

 1. Bila bila

  One of predicted match verified twabakiza Morocco kumtoa Argentina

  Kuhusu Ureno uko sahihi. Tofauti yake na Japan ni ndogo sana.
 2. Bila bila

  Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

  Hii kesi Zitto aliifungua January 2020. Sasa unaposema angekuwepo Magufuli wasingehoji unamaanisha nini?
 3. Bila bila

  Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

  Kwa hiyo kesi zote zinaamuliwa Kwa ushahidi wa video siku hizi?
 4. Bila bila

  Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

  Hapa huwezi kumuona Shaka wala Mashaka, hata Huyo Dorothy atapiga kama hakuna kilichotokea. Akisema chochote NIITE nimekaa pale.
 5. Bila bila

  Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

  Huioni faida Kwa sababu sheria zinakupita kushoto. Hii ni moja Kati ya hukumu zenye faida Sana nchini.
 6. Bila bila

  Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

  Yanga mmefanikiwa pakubwa kuwachezesha Mazuzu Ngoma mnayoitaka.
 7. Bila bila

  Simba tunahitaji wachezaji watatu tu Januari, 'no panic buy'

  Mapendekezo yako ni mazuri Sana lakini umeacha Wachezaji wengi mno. Unapendekeza kusajili Wachezaji 6 na kuacha 11 huku timu ikikabiliwa na mashindano Makubwa matatu ndani ya miezi 6 ijayo, siyo Sawa.
 8. Bila bila

  Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

  Scars siyo mbumbumbu wa soka ila huwa kuna kipindi anajizima data. Ni miongoni mwa mashabiki wanaojua nini wanakifanya. Tofauti yake na Genta ni namna ya uwasilishaji, otherwise yuko vizuri.
 9. Bila bila

  TBC FIFA World Cup imewashinda?

  Picha ya Leo kama ina degedege hivi.
 10. Bila bila

  Adhabu kwa coastal union

  Mbona adhabu tayari ilishatangazwa?
 11. Bila bila

  Adhabu kwa coastal union

  Ukisikia maajabu ya dunia mojawapo ni hili la TFF na Coast Union. Fujo zote zile uwanjani pamoja na Mabadi kumrushia Kiatu usoni mwamuzi. Timu nzima ameadhibiwa Mabadi tu, tena Mechi 3 Sawa na Chama aliyeshindwa kushikana mikono.
 12. Bila bila

  TBC FIFA World Cup imewashinda?

  Mna kazi kweli kweli mnaohangaika na TV ya Kisiasa kwenye matukio ya michezo.
 13. Bila bila

  Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

  Kuna Mtu aliandika "inawezekana Tanzania ni channel ya vichekesho mbinguni".
 14. Bila bila

  Askofu Malasusa: Polisi na TRA wanaokoka wengi siku hizi na hii ni habari njema kwa Amani na Uchumi wa taifa

  Wewe endelea kukariri huu upuuzi wako kwamba kila anayekosoa watawala ni msaliti wa nchi. Leo CCM hao hao wakisimama majukwaani wanasema nchi ilifikishwa pabaya na Magufuli wakati walikaa kimya akiwa hai. Basi na kina Nape wanaompinga Magufuli hadharani Leo wapigeni risasi maana wanamsaliti...
 15. Bila bila

  Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

  Kuna siku Nilikuwa napembua mashabiki nikakuorodhesha lakini Mtu mmoja akanambia Huyo ni Mshangiliaji siyo shabiki. Leo nimeamini, yaani hata kinachoongelewa hujui Ila umelipuka tu.
Top Bottom