Search results

 1. O

  Huyu mwanaume simwelewi kabisa

  Ana kupima tu kama una roho ya utoaji. Na wewe mpime kwa vigezo vyako kama anakupenda kweli. Kama asipomeet vigezo achana nae. Bora mwanaume ampende mwanamke Zaidi kuliko mwanamke kupenda mwanaume Zaidi. utateseka sana.
 2. O

  Nahitaji ushauri, mke wangu hana uzazi

  Kuishi bila mtoto ni stress mkuu. Hata kama sasa hivi unaona sio ishu itafika wakati utaona ni ishu sana, na ndoa itakuwa haina Amani. Kwa sababu mijitu hainaga simile aisee, kila unapoenda mtakuwa mnaulizwa mna watoto wangapi sasa hivi? Mnangoja nini? Kwanini msiongeze? Na maswali mengine ya...
 3. O

  Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

  Huyo sasa ni Rais wa TLS na mwanasheria wa chama kikubwa cha upinzani. Wanasiasa wadogo wadogo je? Si wataacha siasa wote? Hali inatisha aisee!
 4. O

  Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

  Nawashukuru sana makamanda. Nilikuwa hata sijui cha kumshauri.
 5. O

  Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

  Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swali langu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
 6. O

  Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

  Duh, hii dunia ina mitihani yake. Pole sana dada angu. Mi mwanaume lakini najua shida unayokutana nayo. Ukikomaa kumwambia mumeo asiwasaidie ataona wewe ni problem. Tatizo mumeo anafikiri ipo siku atamaliza shida za ndugu zake, wote which is impossible. Halafu shida kubwa ni kwamba kwa mtindo...
 7. O

  I am looking for a single parent to marry me

  Are you beautiful? How beautiful???
 8. O

  MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

  Aisee pole sana bana. Mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pole pia kwa wanafamilia wako.
 9. O

  Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

  Nenda Kitutu Lodge iko mitaa ya majengo. Sio mbali na stendi. Pametulia sana na sh. 25,000. Mimi hufikia hapo miaka yote. Kuna vyumba viwili vya 20,000 ila vidogo. Uwahi kufanya booking, panajaa mapema.
 10. O

  Nisadieni ndoa yangu inavunjika

  Ila sasa mi nina problem kama yako ila sasa mimi sijaoa huyo mdogo. Dini hairuhusu. Mi nawapenda wote kwa namna tofauti, kila mmoja anasifa yake ambayo mwenzie hana! Ila sasa siwezi kumwambia mkubwa kwa sababu ataondoka aniache na ataumia sana. Bora niendelee kujifichaficha tu. Manake sasa!!
 11. O

  Nisadieni ndoa yangu inavunjika

  Muache tu huyo mdogo baki na mkubwa, unadhani atakosa mwanaume? Tupo kibao. Mi siaminigi kwenye kuacha mke wa kwanza. Ukimuacha kazi yako itakuwa kuoa na kuacha. Labda akuache yeye. Pima maisha mliyoishi huko nyuma, kama mliishi vizuri tu na bado anakupenda basi acha huyo mdogo, ataolewa tu...
 12. O

  Rais Magufuli lengo lake ni jema kuhusu Sukari, lakini akatumia approach isiyo sahihi

  Mi nimekuelewa sana, lakini pia sidhani kama serikali inatakiwa kupigia magoti matycoon. Halafu kitu kingine umesahau mguu, Magufuli hasikilizagi ushauri. Ye akiamua kitu haulizi mtu. Hiyo ndio problem. Kabla sijasoma post yako hata mimi nilikuwa nashangilia kila kitu anachofanya. Sasa hivi...
 13. O

  Wakina mama: Chungeni sana kauli zenu

  Unatukataza kwenda bar tena? Utaenda wapi sasa mahali ambapo ni kwa watu wote? Kwanza bar hata ukikaa tu bila kuagiza kitu hawakufukuzi.
 14. O

  Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

  ESPIRIT, We mzima tu, usiogope. Kama vipi rudiana tu demu wako. Yuko wapi kwani?
 15. O

  Rooting Tecno C8

  Wakuu kwema? Nilikuwa nahangaika kuroot simu yangu C8, nimepata maelezo kutoka link flani. Unaweza kuroot bila kutumia PC na ni very simple. Fuata tu maelekezo kwenye hii link/Web address. Tecno Camon C8: Tutorial for Rooting and Changing IMEI - ArykTECH
 16. O

  Mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha mradi wa kufyatua Matofali?

  Tutafakari pamoja mchanganuo huu, nimejaribu ku-brainstorm na washikaji. Hizo fixed costs zitarudi polepole kutoka kwenye hiyo net profit kwa kuhifadhi bank sehemu ya hiyo faida, say laki tano kila mwezi. Cha muhimu ukumbuke biashara hiyo ni very localized, kwa sababu watu huwa hawanunui...
 17. O

  Hivi maralia inauaje?

  Wakuu swali langu ni hili "Mtu anapoumwa maralia, nini kinashindwa kufanya kazi mpaka anakufa?"
Top Bottom