Search results

 1. ubongokid

  Amebadilika siku chache kabla ya mahari

  Mkuu kwani alikuja kwenu bila wewe kumpa hints za taratibu za kuoa huko kwenu?Kwa kawaida lazima kwanza uongee na mama yako akupe hints za uoaji huko kwenu ili mkuwe na rough idea ya nini kinatakiwa na kama kuna uwezo wa kutoa.Kama hakuna mnajichanga wewe na yeye.Ama la mnafanya kimya kimya...
 2. ubongokid

  Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

  Kwa watu wa Arusha hawaendi picnic kulewa wanaenda kukojoa
 3. ubongokid

  Uzandiki wa Mbowe na Mustakabali wa CHADEMA

  Mkuu,kwani unafikri tunatafuta msaada?Mbowe tulishamwambia
 4. ubongokid

  Uzandiki wa Mbowe na Mustakabali wa CHADEMA

  Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA. Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi hizo?Kama jibu ni Ndio basi Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Chadema hakina hadhi ya kuwa...
 5. ubongokid

  Muungano wetu katika JICHO la CIA 1968

  Hii ni nyaraka ambayo imekuwa declassified kuhusu Jamhuri ya Muungano na Uhusiano na hali ya kisiasa huko Zanziba.IKO kwa Kiingereza
 6. ubongokid

  Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

  Wakati Makonda akijiita Rais wa Dar es Salaam na Mkuu wa wakuu wa mikoa yote ya Tanzania alijionesha kama Sehemu ya Matajiri wa Bongo waliozaliwa na kukulia katika jiji la wenyewe jiji la Dar es salaam.Hata Juzi wakati Gharib alipofiwa na baba yake,Makonda alionekana hadharani wakati wa maziko...
 7. ubongokid

  Kwanini uogope Kuulizwa Dini, Kabila na Jinsia yako, Je wewe sio Raia wa Tanzania?

  Mkuu mimi baba yangu muislamu, mama mkristu, babu mzaa baba mkristu mama muislamu. Mimi mwenyewe mpagani, Kwenye kabila nako hivo hivo. Katika hali kama hiyo ukiniuliza Kabila nitakwambia mimi msukuma, ila ukweli ni kwamba baba yangu sio msukuma wala mama yangu sio msukuma ila baba yangu wa...
 8. ubongokid

  Kama Kiongozi hajiheshimu anastahili kuheshimiwa?

  Rais Samia, Ukweli ni kwamba kama kiongozi hajiheshimu hastahili kuheshimiwa hata kama kiongozi huyo ni wewe. Kila kiongozi kwa nafasi yake ni Taasisi. Kama anadharaulika basi hata taasisi anayoongoza itadharaulika. Hakuna namna nyingine yoyote. Mh. Samia, wewe ni Rais wa nchi haijalishi...
 9. ubongokid

  Maya Angelou: Mfahamu mwanamke wa kwanza mweusi kuonekana kwenye sarafu ya Marekani

  IF YOU DON'T LIKE SOME THING,CHANGE IT,IF U CAN'T CHANGE IT THEN CHANGE YOUR ATTITUDE
 10. ubongokid

  Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

  Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
 11. ubongokid

  Huyu anafaa kuwa Mke au atabadilika?

  Demu naye anampima jamaa kama anafaa kuwa mume au Danga.
 12. ubongokid

  Job Ndugai ni Shujaa wa Historia-Anatuonesha Matobo na Udhaifu wa Samia Suluhu

  Ndugu zangu; Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho. IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata...
 13. ubongokid

  Nahitaji mtu mzima nitulie nae

  Musukuma wapo huko?
 14. ubongokid

  Nahitaji mtu mzima nitulie nae

  Sasa shida ni nini?Uko mkoa gn?
 15. ubongokid

  Nahitaji mtu mzima nitulie nae

  You are too much. 25yrs unataka kuolewa na 60yrs.Yaani ahanagaike kukusanya pension halafu wewe uje ule tu.Piga kazi mrembo
 16. ubongokid

  Humphrey Polepole na Kipara Kipya

  Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa sana serikali ya kipindi hicho. Humphrey nimefahamu kabla ya kuwa mwenezi na baada ya kuwa...
 17. ubongokid

  TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

  Mkuu kwanza kwa maelezo yako inaonekana wewe ni mzoefu wa biashara,Kuhusu TRA KUZUIA AKAUNTI zako kwa sababu ya madeni hujaweka wazi ni madeni gani kwa sababu TRA lazima wakupe maelezo ya kina juu ya aina ya madeni ambayo wanakudai.Hata hivyo usikate tamaa,Nafikiri wewe kwenye eneo la usimamizi...
 18. ubongokid

  Nimemaliza kidato cha nne natafuta kazi yoyote, nipo Mbagala

  UKIFIKA POLISI UWE KAMA GOODLUCK MINJA AKE BADASS
Top Bottom