Search results

 1. mwanatanu

  Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

  Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6. Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI...
 2. mwanatanu

  Hatimaye nimemuelewa Rais Magufuli

  Wanajamvi, baada ya kufikiria na kuchambua sana sasa nakiri kuwa nimemuelewa Mhe Magufuli. Kwanza nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kutokana na hotuba zake ambazo amekuwa akilalamika kila mara kuhusu hali mbaya ya uchumi na utendaji kazi nchini alipoikuta baada ya kuchaguliwa kuwa Rais...
 3. mwanatanu

  Waziri Muhongo kwenda USA kwenye mkutano wa Powering Afrika

  Katika mkutano wa Powering Africa utakaofanyika 28/01/2015 huko Washington waziri dilali Muhongo ni mmojawapo wa speaker.....nadhani Mkulu naye anaenda
 4. mwanatanu

  Witchcraft murder: Couple jailed for Kristy Bamu killing

  Jamani Miafrica kwa kuamini uchawi loooooooo Witchcraft murder: Couple jailed for Kristy Bamu killing Eric Bikubi and Magalie Bamu were convicted of murdering Bamu's 15-year-old brother Kristy Continue reading the main story A couple who tortured and murdered a 15-year-old boy they accused...
 5. mwanatanu

  How to Turn The Curse of Gas Into a Blessing

  Ndugu zangu wa JF na wa TZ kwa ujumla, tumeliwa kwenye viwanda vyetu alivyotujengea baba wa taifa JKN. Tumeibiwa katika rasilimali yetu ya dhahabu tunaendelea kuibiwa na rasilimali yetu ya bandari. Sasa Mwenyezi Mungu katuletea natural gas ambayo wana wa vyuoni na akina IMF wanadai huwenda...
 6. mwanatanu

  WABUNGE Vs WASANII

  Leo hebu tujikumbushe, kwa wale ambao mlikuwepo enzi hizo za wabunge wakiitwa ndugu. Hawa wabunge walikuwa wakivaa zile shati za Chuo en Lai ama Kaunda suit. Wabunge hawa muda mwingi walikuwa majimboni, mara tunakutana nao kwenye vilabu vya kunywa ulazi na mara tunakutana nao bar wakiteremsha...
 7. mwanatanu

  "Every man shall eat by the sweat of his brow"

  No magic solution to crisis - Mkulo By The guardian reporter 19th March 2011 Says current hardships externally induced There are no plans to reduce taxes on oil to...
 8. mwanatanu

  Land Developer

  JAmani wana JF nahitaji msaada toka kwenu kuhusu, Je kama nataka kujenga nyumba kadhaa na kuuza natakiwa kuwa mmiliki wa ardhi hiyo? Je wizara ya ardhi au manispaa zimetenga sehemu yaani maeneo kwa ajili wa ujenzi wa nyumba nyingi?
 9. mwanatanu

  Changamoto kwa jf; nia ipo,uwezo upo

  Wana JF najua humu ndani kuna mchanganyiko wa kila mbongo wenye sifa tofauti. Nimekaa kwa muda mrefu na imenikera sana suala la umeme. Sasa nimefikiria kwa vile serikali inaonekana haiko tayari kabisa kuanzisha mradi wa stiegler's ambao unaweza ukatosheleza umeme tanzania nzima....nimekuja na...
 10. mwanatanu

  Elections 2010 New kigoda/epa?

  hii article hapa chini ni kutoka gazeti la mwanahalisi........kama ni kweli basi twazidi twafwa
 11. mwanatanu

  Waafrica watimuliwa France

  YouTube - French police accused over migrant eviction Inasikitisha sana jinsi police walivyo handle hii issue....je ingekuwa hawo watu ni wazungu wangefanyiwa hivi?...angalia watoto wanvyoburuzwa.....hawa wazungu kwetu tunawapa heshima sana......
 12. mwanatanu

  Madini Yazidi Kukamuliwa!!!!!!

  Hii kampuni sijawahi kuisikia...je ndio hizo kampuni zinazoingia mkataba usiku?.
 13. mwanatanu

  Nec Resolution Dodoma...

  Wananchi wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu nini kitaamuliwa huko kwenye kikao cha NEC.......Sasa nawaleteeni kwa mtizamo wangu nini haswa kilipangwa huko..... (a)Mkapa asafishwe (b)Msafisheni Lowassa na Karamagi (c)Zimisha EPA na RICMONDULI na kwa kiburi Bado tumangojea...
 14. mwanatanu

  Tujisaidie Tusingoje Wazungu

  Tatizo la MALARIA ni sugu sana kwetu lakini cha ajabu ni huy kijana ndio ameleta mwamko katika ulimwengu na sisi bado tunapiga gumzo vijiweni wasomi wetu mko wapi http://malariaengage.zazengo.com/
 15. mwanatanu

  Karamagi Apatwa Na Kigumizi

  Karamagi hana ujanja! 2008-04-25 19:03:10 Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baada ya kuhusishwa katika mazali kadhaa ya mikataba tata likiwemo lile la kusaini mkataba baina ya Serikali na mwekezaji wa mgodi wa Buzwagi, na lile la Richmond, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Bwana Mustafa...
 16. mwanatanu

  Norway Yasikitika Na Ufisadi Tz

  Stoltenberg confronts problems in Africa Prime Minister Jens Stoltenberg was greeted by a cannon salute and waving Norwegian flags when he arrived in Tanzania on Monday, but plenty of problems lay lurking below the festive surface. Tanzania is one of the lands that have receive most aid...
 17. mwanatanu

  Pinda & Shein becoming CCM Spinning Machine?

  Baada ya kusoma hili gazeti nina wasiwasi ya kuwa Mzee Pinda na Mkulu Shein (the only clean people in Chama Cha Makulaji)wanatumiwa ku spin ile scandal ya chenge wanatuletea EPA....ama kweli wajinga waliwao
 18. mwanatanu

  Bandari yetu ya Dar es salaam ni kichefuchefu

  JJamani kweli port yetu ni uwozo naomba wabongo pale U.K mkiweza mwulizeni huyo Mhe ana mpango gani kuhusu port yetu ya Dar.(nasikia mnakutana naye 18th aprill) Nilipeleka mzigo ili kuanzisha mradi nyumbani na hapa napoishi wakazi wengi ni wa Zaire na Wa Rwanda na walinishauri nisitumie...
 19. mwanatanu

  Let Us Bring Balali Home

  Ndugu zangu wana JF nawaombeni tusingojee serikali yetu imrudishe BALALI.Na inawezekana wasifanye hivyo. Naomba tuamzishe campaign ya kumrudisha huyu MFISADI bongo ili aweze kutoa nyeti zote alizonazo. Campaign Suggestions: Kama mjuavyo waandishi wetu wa magazeti bongo ni wachanga,hivyo...
 20. mwanatanu

  Marry brown to open in Tanzania

  I am not against maendeleo yetu wabongo or globalization...nategemaea Marrybrown itatuletea ajira akina sisi walala hoi. Swali langu kwa watu wa jikoni ni je ni kweli kuna ka 10% hapa kwa ndugu yaetu fisadi Mramba&Co au ni just rumours za wapika majungu?
Top Bottom