Search results

 1. andrewk

  Tufute jina kambi ya upinzani, tutumie kambi ya wachache

  Ni kwa muda mrefu nimemekuwa nafikiria jina mbadala la kambi ya upinzani....hili neno sio zuri sana, sasa kwenye mchakato wa bunge la katiba wanatumia MAONI YA WACHACHE... NADHANI NI JINA MUAFAKA KWA KAMBI YA UPINZANI KUWA KAMBI YA WACHACHE
 2. andrewk

  TCRA wasaidieni watoto wetu

  Naomba wadau tujadiliane katika hii. Nadhani kunatakuwa jitihada za makusudi kwa TCRA kuweza kutusaidia katika vita hii tuliyonayo ya matumizi ya simu kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Hatuwezi tena kuwakataza kuzitumia, ila kwa maendeleo ya technologia, tunaweza kuwadhibiti japo kwa masaa...
 3. andrewk

  Bajeti ya Tanzania na Rwanda=Trillion 15!

  Inasemekana budjet ya rwanda ni Tshs trillion 15, wakati idadi ya wananchi ni million 6 tu, Tanzania nao eti ni Tshs 15 trillion
 4. andrewk

  Kupiga honi mahakamani na hospitali ni kosa?

  Najarijubu kujiuliza sehemu nyingi za mahakana au hospitali mi marufuku kupiga honi ya gari, na ukukaidi amri hii unaweza kushitakiwa na kuhukuniwa kufungwa au kulipa faini........ sasa kwa uelewa wangu kidogo, kwa hospitali ni kuepusha usumbufu kwa wagonjwa. Mahakamani je? hivi watu wenye...
 5. andrewk

  ADC yapata usajili wa muda.

  Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni
 6. andrewk

  Haya mafuu dar hayaponi, nadhani moshi wa majenereta!

  Nadhani watu wengi huko dar lazima mtakuwa na mafua yasiyopona, maana nilipita huko nuna majenge niliyaona zamani yakuwa meupe, kwa sasa yamekuwa meuusi ti, nikambiwa jenereta hizo, sada binadamu nakuwaje?
 7. andrewk

  Elections 2010 Ccm na meya wa arusha vs comoro na ivory coast

  Dhuruma ya CCM waliyoifanya Arusha, wanatofaiti gani yale ya Comoro and Ivory Coast? CDM wataomba majeshi wapi kumg`oa dmeya huyu?
 8. andrewk

  The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

  Kuna habari mawakili wa Serikari na Tanesco walilipwa kabla ya kwenda kwenye kesi si chini ya Milion 800. Pia kuna makubaliano yaliwekwa kabla ya kesi kuanza kusikilizwa na walikubaliana hakuna kukata rufaaa baada ya hukumu. Sasa kama haya yanafanyika ni kwamba JK hajuiiiiiii? au kauli ya...
 9. andrewk

  Baada ya Wikileaks-Mabalozi wetu wanafanya ujasusi gani?

  Baada ya kujua wenzetu wamarekani wanafanya nini katika balozi zao, nianza kijiuliza sana na kungudua kuwa moja ya malengo yao ni kutawala dunia, nivyo inawalazimu washington kujua kila kinachotokea Tanzania, kenya UK,China ...n.k Wakati wa Nyerere sera ya nje ilikuwa kuifanya Afrika iwe...
 10. andrewk

  Elections 2010 Mbowe vs zitto

  wasalaaam wadau, Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili kununusu kukua kwa chama na yatokanayo kwa mvutani huuuuuo 1. Naoma mbowe na zitto wajue kwamba kwamba...
Top Bottom