Search results

 1. King'asti

  Ndege ndogo ya Kilimoanga yauzwa kwa tshs 500,000/-

  Ndege ndogo ya kutumika kunyunyizia pesticides kwenye taasisi ya serikali ya kilimo anga imeuzwa kwa tshs laki tano kwa madai kuwa hakukuwa na vipuri. Wafanyakazi wasio na mkataba wa kudumu nao hawajalipwa mishahara kwa miezi 17. Hayo yameelezwa kwa waziri wa kilimo leo hii, alipowatembelea...
 2. King'asti

  Ibada ya Mazishi ya Whitney Houston

  Ibada inaoneshwa CCN live, right now Rev T D Jakes anaongea. Inaumiza na kusikitisha sana, she was too young, shared by the world! Its harder for her daughter too I can't imagine!. She was an inspiration to many! Love is stronger than death.
 3. King'asti

  Samaki wa Foil

  afrodenzi,asante.nimependa hiyo ya kutoa pilipili mbegu manae wengine hupaliwa. nice one. natamani kupata ujuzi wa grilling zaidi. kwenye oven ya jiko la gas niliweka samaki wa foil ikawaka moto,na majiko ya siku hizi hayana sehemu maalum ya grill,nifanzeje?
 4. King'asti

  Invictus.... A special Dedication to Companero na woote wanaojisikia wanyonge

  Last week Companero alilalama kujisikia mnyonge katika kila nyanja. Naomba kui-dedicate poem hii ya Invictus kwake, na kwa yeyote yule anayejisikia mnyonge(pamoja nami) weekend hii . Background: This poem was originally written by Henley, a victim to Tuberculosis of the bones at age 12. Despite...
Top Bottom