Search results

 1. zubedayo_mchuzi

  ONYO: Ubungo Darajani kuna wezi balaa

  Habari za siku Mingi ? Leo nilikua pale ubungo darajani stand,maeneo haya ni maeneo yangu ya kujidai kabisa toka 2006 napajua ubungo vizuri na washenzi wote wa pale tena enzi za Hamidu mzawa. Leo naomba nikujulishe wewe mtanzania unaetumia kituo kile ni kwamba kimejaa wasafiri wengi feki,kuna...
 2. zubedayo_mchuzi

  Aachiwa baada ya kutishia kuua - Keko

  Mmiliki wa bar kubwa maarufu mitaa ya keko Roberti Mushi, usiku wa Jumapili mida ya saa sita alimjeruji dereva kijana aitwae Ngotikwe Ramadhani kwa kumpiga na mdomo wa bastola baada ya kuzipiga tatu hewani. Roberti mushi ni mpangaji wa fremu zinazomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi akieleza kwa...
 3. zubedayo_mchuzi

  Rais mdogo duniani - North Korea

  Je unajua rais mdogo duniani ni rais wa North Korea inakadiliwa kuwa alizaliwa kati ya mwaka 1983-1984. Baba yake alimuandaa kuwa mrithi wake kwa sababu anafanana na muhasisi wa Taifa hilo. Mama yake na rais wa North Korea Kim jong-un yeye alimuita "morning star king". Inasasikika ndie rais...
 4. zubedayo_mchuzi

  Wadada mnaotongozwa gizani amkeni

  Aisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu. Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama baada ya matatizo au shida ni wazi kabisa kutongoza au kutongozwa gizani ni laana na mtaishia...
 5. zubedayo_mchuzi

  waziri wa usafirishaji;uhakiki wa vibali vya kuondolea mizigo bandarini,mipakani, viwanja vya ndege.

  Waziri wa usafirishaji nae ana kazi ya kufanya,hasa bandarini,viwanja vya ndege na mipaka yote pamoja na entry point ndogo ndogo kote kufanyike uhakiki wa vibali vinavyotoa mizigo sehemu hizo,kikubwa ni kudhibiti wizi wa makato ya serikali. kwa mfano; kama mzigo unazihusu taasisi NNE ZA...
 6. zubedayo_mchuzi

  Waziri wa mambo ya ndani: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa unahitajika, vibali vya kufanyia kazi

  Tukiwa bado tuna homa ya uhakiki wa vyeti vya elimu ni wazi sasa kuna haja ya ukaguzi wa vyeti vya kuzaliwa tena. Vibali vya kufanyia kazi nchini kwa wasio raia kuna haja ya kukagua pia, maana inawezekana vimejaa vingi vya Kariakoo na Manzese. Ukaguzi huu utapunguza kasi ya wahamiaji wasio na...
 7. zubedayo_mchuzi

  Uhakiki wa vyeti; Uanze na wabunge wote,Taasisi za ulinzi zote ndipo watumishi wa umma wote.

  Habari wadau ?? Nimeona matamko kadha wa kadha kuhusu uhakiki wa vyeti,ushauri wangu kwa WAZIRI NDALICHAKO,uhakiki huo kabla hawajaanza kwa wanyonge,waanze na magrupu yafuatayo. Grupu la kwanza- Wabunge wote wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Grupu la pili-Vyombo vya ulinzi na...
 8. zubedayo_mchuzi

  Police Post Keko Magurumbasi, faini za pikipiki mnazokamata zinaingia serikalini?

  Habarini zenu wadau kwa ujumla. Leo nimekuja na hili moja tu,ambalo najua huenda kuna sehemu nyengine linafanyika. Kituo cha polisi keko magurumbazi ambacho kwa muda sasa kimekua kikifungwa na siku zingine kufunguliwa sasa hivi kimegeuka kijiwa cha sungu sungu wasioeleweka wakishirikiana na...
 9. zubedayo_mchuzi

  Watabe wa Tax: TRA Vs BOT

  Embu wajuaji wa mambo haya waanze kudadavua wakitokea hapa kwenye income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013. Imeibuka mijadala juu ya makato ya 18% ambayo ni vAt,kimsing hii ni kodi alipayo mlaji. TRa wamesema yao na BOT Wamesema yao sasa nani mkweli hapa...
 10. zubedayo_mchuzi

  Juma Nature: Rudia nyimbo zako za zamani...

  Huu ni ushauri kwa Msanii mkongwe wa miondoko ya kuchana chana kama wanavyoda watoto wa mjini. Umekaa kimya muda mrefu sana nakupa wazo rudi tena studio na uzirudishe nyimbo zako za zamani ambazo wakati unaziimba zilikua kama utabiri sasa mambo mengi yametimia. Na uanze na song lako la...
 11. zubedayo_mchuzi

  TBS,TFDA,WMA NA FAIR COMPETITION

  Embu tujadili haya mashirka yalio pewa majukumu ya kusimamia afya za watanzania,isipokuwa Wakala wa vipimo wao kazi yao kubwa ni kuhakikisha mlaji hapunjwi na wafanyabiashara. Wma ni wadhibiti wa vipimo vyote Tanzania. Embu funguka zaidi....
 12. zubedayo_mchuzi

  Tahadhari: Uporaji mkubwa kesho uwanja wa taifa

  Habari wana jamvi? leo nimekuja kuwakumbusha tena kesho ni siku nzuri kwa wapenzi wa club ya yanga na kwa taifa kwa ujumla,kesho ni mpambano kati wababe wa kongo na Tanzania yaani Tp mazembe vs Young African. Naomba niwakumbushe wadau wote watakao hudhuria mchezo huo kesho,kesho tuna tumaini...
 13. zubedayo_mchuzi

  Hii ndio yenyewe; Urafi,uchumba,ndoa,talaka za mwendo kasi

  Hii imekaa njema sana.... Urafiki wa mwendo kasi Uchumba wa mwendo kasi Ndoa ya mwendo kasi Talaka ya mwendo kasi ................ Mtaaani kimwendo kasi na vibegi vya mwendo kasi. Ongeza yako hapaa.... Elimu ya mwendo kasi Cheti cha mwendo kasi Ajira za mwendo kasi Mshahara wa mwendo kasi...
 14. zubedayo_mchuzi

  TBS, halina kiwango cha simu za viganjani

  ikiwa leo ni siku ya mwisho ya utumiaji wa simu feki au zisizo na viwango.kwa kudodosa kwangu kote shirika ambalo ni shirika pekee kwa uundaji wa viwango nchini ,ni kwamba mpaka sasa hakuna uwepo wa kiwango hicho,ambacho ndio msingi mkuu wa utambuzi wa simu feki hapa nchini. TCRA wao ni taasisi...
 15. zubedayo_mchuzi

  Tanzania yashika nafasi ya 5 DUNIANI.

  Ugonjwa wa seli mundu wa siko seli,umekua ukiongezeka kwa gafla hapa nchini kwetu,hata hivyo watafiti wa magonjwa ya damu unaonyesha kuwa asilimia 12 hadi 15 ya watanzania wana vina saba vya ugonjwa wa seli mundu(sickle cell ) akizungumza na waandishi wa habari DSM jana ,mratibu wa idara ya...
 16. zubedayo_mchuzi

  KARL LANDSTEINER: mgunduzi wa magrupu ya Damu alizaliwa tarehe ya leo

  Tarehe kama ya leo inakumbukwa kama ni tarehe iliyo mleta dunia mwanafizikia na biologia KARL LANDSTEINER. KWA ufupi karl landsteiner ndie mgunduzi wa magrupu ya damu miaka 1900 iliyopita. pia akiwa na wenzake Constantin Levaditi and Erwin Popper walikuwa kirusi kinacho sababisha ugonjwa wa...
 17. zubedayo_mchuzi

  Self defence basics Part ii: Kujihami na kabali, roba zote

  Leo naomba nije na kujihami kwa kabali au roba,kama tunavyo ziita kimtaa zaidi Hizi kabali tunaweza kuweka kwenye magrupu manne 1.Kabali ya mbele 2.Kabali ya nyuma 3.Kabali ya kushoto kabali ya kulia Achilia mbali kabali za chini, ambazo anaeweza piga kabali hiyo ni lazima atakua na elimu...
 18. zubedayo_mchuzi

  Self defence basics: Part 1

  HABARI ZENU WAKUU??? Leo nakuja tofauti kidogo,kwani baada ya kuona wanajamii wengi wamekua wakivamiwa na vibaka wadogo wadogo,kwa wakati mwingine huwa kuna mazingira ya kuwataiti lakini mtu anakosa maarifa. Nianze na mtu mwenye mazoezi ya pumzi,namanisha kwa yule anaekimbia,na kufanya mazoezi...
 19. zubedayo_mchuzi

  Taarifa: Kundi la wakabaji waenda Vikindu kumzika mwenzao

  Jamani naomba niwape taarifa hii,itawasaidia na polisi kwenye kazi zao za kila.katika kupambana na uhalifu hili litamsadia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Ni kwamba kijana ajulikanae kwa jina la Shabani Tampa alimaarufu boxer yaani boxer pikipiki kwa umahiri wake wa kukimbia, jana ameuawa maeneo...
 20. zubedayo_mchuzi

  Mvua hii inyeshe sana kwenye madanguro yote nchini,

  Jiji la Dar es salaam kwa sasa lipo kwenye kipindi cha mvua,kuanzia majuzi jana mpk leo mvua inanyesha tu. Nimuombe Mungu apeleke gharika kwenye madanguro yote yaliyo chukizo mbele ya binadamu na kwake pia. Kwani biashara hyo sasa imeota mizizi ya kujiuza binadamu.
Top Bottom