Search results

 1. Optimists

  Ushuhuda: Kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri

  Ndugu yenu wa damu naomba kupingwa na kuelekezwa kwa upole na kwa fact. After graduation mdogo wenu hapa nikapata sehemu ya kujishikiza Mimi ni mwalimu Physics na chemistry nikawa nalipwa 250k -300k huku nikipewa nyumba ya shule na huduma kama chakula cha mchana na asubuhi. Maisha Yale...
 2. Optimists

  Nimeamua kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa Miaka 7

  Wakuu nitakua nakosea? Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa miaka mingi sana, katika mihangaiko yote ya maisha ya shule, chuo na kitaa Niko nae mpaka Leo. Kwanini...
 3. Optimists

  Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

  Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
 4. Optimists

  Wapi nitapata mkopo wa 100,000 kwa siku ya kesho narudisha jumamosi.

  Wakuu, Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani). Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza. Naishi Dar...
 5. Optimists

  Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

  Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
 6. Optimists

  Ushauri unahitajika nifanye kipi kati ya haya?

  Wakuu habari! Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Humu kuna watu wana experience walishafanya au bado wanafanya itasaidia kwa namna moja au nyingine. Niko na idea mbili tatu sijajua nifanye hipi naomba mnipe msaada wa mawazo kutokana na experience yenu. Niko na mtaji kidogo wazo langu la...
 7. Optimists

  Wafanyabiashara na wajasiriamali woote pitieni hapa.

  Wakuu habari. Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli. Simnajua ndugu yenu napambana nione kama nitatoboa au vipi? Sasa wateja wangui wakubwa ni nyie mnayo nafasi ya...
 8. Optimists

  Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

  Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
 9. Optimists

  Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

  Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
Top Bottom