Search results

 1. TUNTEMEKE

  Uchaguzi 2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

  Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura. Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano. HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda...
 2. TUNTEMEKE

  USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

  WanaJf, Kwa haya yanayoendelea nchini (uchapaji kazi wa Rais magufuli) na hasa kukubalika sana kwa wanachi wa kawaida na hata wa kipato cha kati na juu (Machinga, wakulima, Mamantilie, Wafanyabishara n.k) ambao asilimia 90 ndio wapiga kura katika nchi yetu, JE SI UUNGWANA NA MATUMIZI BORA ya...
 3. TUNTEMEKE

  Mauaji Kinondoni: Waziri Nchemba amtaka IGP na timu yake kufanya uchunguzi wa kina

  Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuunda timu ya kuchunguza vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa wanasiasa ikiwemo mauaji yaliyotokea Kinondoni Jijini Dar es salaam. Waziri Nchemba ametoa maagizo hayo akiwa...
 4. TUNTEMEKE

  Dr. Slaa apewe fursa ya kutufanyia tohara ya kisiasa

  Nilipomuona jana Dr.Slaa nikakumbuka nyakati na majira yale nilipokuwa karibu naye katika kazi za kisiasa. Amerejea nchini akiwa na afya njema,amerejea nchini akiwa na msimamo wake uleule kwamba KINACHOMPETA PAMOJA kati yake na JPM ni mapambano chanya dhidi ya Ufisadi, Majizi na kila aina ya...
 5. TUNTEMEKE

  Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

  Zika na NIMR Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake. Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
 6. TUNTEMEKE

  Mbio za Urais,Mwigulu anaendelea Kung'ara, Vijana wameyasema haya hapa

  Nyota ya Mwigula yazidi kung'ara urais *Vijana wataka chama chake kimpe nafasi Claudia Kayombo WAKATI vyama vya siasa havijatangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, vijana mbalimbali wameanza kutoa maoni ya nani anafaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete...
 7. TUNTEMEKE

  CCM ina bahati sana Kumpata Kinana, Mwigulu

  CCM ina bahati kuwapata Kinana,Mwigulu Na Angela Kiwia KATIKA kipindi cha mwaka mmoja sasa tumeweza kuona ni kwa jinsi gani viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walivyoweza kusimama kidete katika kumtetea Mtanzania kupatiwa haki yake ya msingi kuanzia ngazi za vijijini. Tumeweza kumshuhudia...
 8. TUNTEMEKE

  Nisadieni,Picha hizi zinazosema aina ya Kiongozi anayehitajika Nchii hii kwa sasa

  Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba. Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba. Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu...
 9. TUNTEMEKE

  Kesi ya msingi ya Zitto Kabwe kuanza kusikilizwa tarehe 21/02/2014...

  YALIYOJIRI MAHAKAMANI HII LEO WAKATI ZITTO KABWE ANAWASILISHA PINGAMIZI LA KUTOJADILIWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA HAPO KESHO, Na, Hans Kasapa. Leo Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio kwa Kamati Kuu ya Chadema kujadili na kuamua suala lolote linalomhusu Zitto Kabwe...
 10. TUNTEMEKE

  Slaa na Lema wametofautiana kauli, wawachanganya wanachama wa CHADEMA

  - Ni kuhusu wanachama wa chama hicho kuhudhuria mkutano wa amani. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wametofautiana kauli kuhusu wanachama na wafuasi wao kuhudhuria mkutano wa amani kwenye Uwanja wa Sheikh...
 11. TUNTEMEKE

  Kutoka Kakonko - Kigoma: Yanayojiri katika ziara ya Dr. Slaa

  TUNTEMEKE NIPO LIVE HAPA KONKONO, Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo. Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa...
 12. TUNTEMEKE

  Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

  Taarifa kutoka chanzo cha uhakika pale kahama ni kwamba,Mkutano wa Dr.slaa umekwama kufanyika,Licha ya maombi ya jitihada za maofisa wa chadema kuwabembeleza wananchadema na wananchi kuhudhuria mkutano huo. Hadi nakuja hapa ni saa 11 na dakika 50 hali ni tete hapa Viwanja vya Kahama ,Wananchi...
 13. TUNTEMEKE

  PICHA,Kinana afunika Rujewa,CCM yazidi kuimarika kuelekea uchaguzi mkuu

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua, katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Des 2, 2013...
 14. TUNTEMEKE

  BBC: Zitto Kabwe amevuliwa vyeo vyote CHADEMA kwasababu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho

  BBC kituo kikubwa cha habari Duniani, Jana jioni na Leo asubuhi wameendelea kusisitiza kuwa Mh. Zitto Kabwe amevuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chama hicho kwa sababu ya Kutangaza kugombea Uenyekiti. BBC wanasema, Zitto, Mwigamba na Kitila wamevuliwa nyadhifa zao na huku wakipewa siku...
 15. TUNTEMEKE

  Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

  TAMKO KUHUSU SHUTUMA JUU YANGU KITILA MKUMBO(MJUMBE KAMATI KUU YA CHADEMA) TAR.10/11/2013 (https://www.facebook.com/kitila.mkumbo.3/posts/10152401804973289) Kufuatia taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuhongwa kwa Zitto naye kuhonga watu wengine, nikiwemo mimi, ili...
 16. TUNTEMEKE

  Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

  Kamanda Suleiman Kova akiongea na wanahabari kuhusu wahalifu mbalimbali waliotiwa nguvuni na Jeshi la Polisi. Baadhi ya vitu IKIWAMO KOFIA YA CHADEMA walivyokutwa navyo wahalifu katika matukio mbalimbali jijini Dar es Salaam. WATU 6 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio la...
 17. TUNTEMEKE

  Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

  TAARIFA KWA UMMA WA WANA MWANZA,WATANZANIA NA VYOMBO VYA USIMAMIZI WA SHERIA JUU YA UFISADI WA KUTISHA NA UBADHILIFU WA FEDHA ZA UMMA KATIKA MIRADI YA UJENZI WA JENGO LA KLINIKI YA MAMA NA MTOTO UTEMINI NA UJENZI WA OFISI NA STOO ZA MADAWA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA...
 18. TUNTEMEKE

  Alichokisema mheshimiwa Waziri Mkuu jana bungeni

  I. UTANGULIZI: a) Maswali Mheshimiwa Spika, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kutekeleza na kukamilisha majukumu yetu katika muda uliopangwa. Katika Mkutano huu Maswali 120...
Top Bottom