Search results

 1. Wa kusoma

  Tunaosubiri namba E tukutane hapa

  Naona mwezi wa 7 au 8 E tayari
 2. Wa kusoma

  Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

  Gari ni ya 2009 grade 4.2, Km 58,000. Na zaidi ya hapo Gari zimepanda bei sana. Niliilinganisha bei kutoka kampuni mbali mbali kwangu nikaona hiyo ndio ilikuwa bora. Yaani hiyo 22M ni gari kunifikia mkononi ikiwa imekamilika kila kitu ikiwemo service ya Oil na Filter, Leather seats, android...
 3. Wa kusoma

  Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

  Wadau gharama za gari zimepanda sana kuanzia, kodi, Shipping na CIF yenyewe. Lkn pia zilikuwepo mpaka za 17.8M nyingine hadi 35M ni uamuzi tu wa kile unachokihitaji wewe
 4. Wa kusoma

  Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

  Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote...
 5. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Wadau mwisho wa siku niliamua kuchukua Nissan Duals ambayo imenigharimu karibia 22Mil mpaka kuifikisha mkononi
 6. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Ndiyo mkuu kulingana na priorities zangu naona kama PREMIO ina take over
 7. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbani
 8. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Kuna jamaa kanitumia hii gari inbox kesem naweza kuifikisha Dar mpaka registration kwa mil 14-15. Make: SUBARU Model: FORESTER - SG5 Body Type: SUV Year of Manufacture: 2005
 9. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Nipo Dar safari route nyingi itakuwa hapa hapa mjini japokuwa kama nilivyosema naweza kuhitaji kwenda mikoani
 10. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Kulingana na bajeti yangu magari nikiyokuwa nafikiria ni Nissan Xtrail, Nissan Tiida, Toyota Volts, Premio, Subaru Forester na brand nyinginezo mtakazonishauri
 11. Wa kusoma

  Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

  Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk. Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
 12. Wa kusoma

  MSAADA UKOKOTOAJI WA MALIPO YA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

  Wataalamu naombeni msaada. Kuna vifaa fulani vya michezo ya watoto nataka kuviagiza nje ya nchi. Kampuni iko South Africa wameniambia mzigo utatokea USA na utashushwa Bandari ya Dsm. Bei waliyonipatia wamesema VAT ni excluded na pia masuala ya clearing bandarini ni juu yangu. Hivyo nimeona...
Top Bottom