Search results

 1. TAMKO

  Kwanini viongozi wa CHADEMA wanakiua chama?

  Nduguzangu wanachadema, Mkumbuke kila mtu amewekeza Nguvu ya namna yoyote kuunda CDM. Na wengine mmeenda mbali na Kuuimarisha Upinzani, Lazima Tuongelee Chama. Viongozi Wetu Wamekuwa na Maamuzi ya kiuwendawazimu yanayo Dhoofisha Chama, Mawazo yasiyo na Mbadala, Mawazo ya Kukurupuka yasiyo na...
 2. TAMKO

  Kimara: Dada wa kazi adaiwa kumnyonga mtoto wa miaka 8

  Hongereni Kinamama wa Nyumbani
 3. TAMKO

  Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

  Nilisoma Katiba sehemu inasema... Makamu wa Rais ataapishwa kumalizia muhula ulio Baki sidhani kama walisema kuanza Awamu Nyingine
 4. TAMKO

  Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

  Kushughulika na Katiba ni Jambo la Lazima kwa Sasa!
 5. TAMKO

  Uchaguzi 2020 Kwani CCM mlitakaje!? Lissu ana kosa gani?

  Ajabu Sana, CCM na Serikali mlitakaje kwani! Kwamba Lissu asimame Kwenye Majukwaa kama Paroko anaye ongoza Misa au Kama msanii! Mlitakaje ndugu zangu! Lissu Yuko kwenye Battle Field , Anatafuta anacho Kitafuta, anapigana Vita, Kwenye Vita hatuchaguliani Siraha, Chochote Cha Kuua na Kupiga Huwa...
 6. TAMKO

  Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

  Hapana bint listen.. Hapa Tunaongelea Mstakabali Mpana wa SIASA Za Upinzani! Thread Yangu Ililenga Kumweka Mgombea wetu kwenye Nafasi Nzuri Leo Hata Baada ya Uchaguzi! Lakini kama Unaona tunamporomoshea Mawe potezea Muda Utaongea wakati wake!
 7. TAMKO

  Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

  Nadhani Watu wengi wanavua Akili zao na Kuzikalia wakati Wanajibu Hoja ya post Hii..! Wacha labda TUACHE MUDA UONGEE!
 8. TAMKO

  Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

  Watu wenye Akili Za Uji wakisoma kichwa cha Habari Akili zao zinawaza ni MATAGA Huyu. Angalia Rekodi zangu kwanza. Lissu anapaka Kivyesi Siasa Za Upinzani Nchini lazima TUSEMA ili UPINZANI nchini Uendelee Kuwepo Kwa Heshima Yake. Suala hili la USHOGA Nduguzangu sio tu Litadidimiza CHADEMA...
 9. TAMKO

  Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

  Waambie wazikatae sasa .. unabwatukia mitandaoni so what? Akili Za kitoto hizi..! Wewe Una Jicho la Kujua Dini Kuliko viongozi wako? Kama Ndivyo Hivyo basi uwe Imam au Sheick mkuu wewe! Acha Kupalilia Mbegu ya Udini wewe!
 10. TAMKO

  Lakini Mbowe unatukosea

  Kumhukumu MTU pasipo Kumpa Nafasi ya KIJITETEA? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. TAMKO

  Lakini Mbowe unatukosea

  Mzee Unatukosea, Unatunyima Raha ya Siasa Ndani ya Nchi hii. HASIRA, VISASI NA CHUKI Havijengi chair wetu. Kuna MATUKIO najaribu Kuunganisha Dots kupata Sentensi Kamili. Na Picha Inaanza Kuja, I am sorry Dears MBOWE ANATUMIKA KUUA CHAMA. Why 1: Chama Ni Cha Kidemokrasia Lakini hakiendeshwi...
 12. TAMKO

  Freeman Mbowe unatukosea..!

  Mzee Unatukosea, Unatunyima Raha ya Siasa Ndani ya Nchi hii. HASIRA, VISASI NA CHUKI Havijengi chair wetu. Kuna MATUKIO najaribu Kuunganisha Dots kupata Sentensi Kamili. Na Picha Inaanza Kuja, I am sorry Dears MBOWE ANATUMIKA KUUA CHAMA. Why 1: Chama Ni Cha Kidemokrasia Lakini hakiendeshwi...
 13. TAMKO

  Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

  Hii Sasa iwe kwenye Matendo Sent using Jamii Forums mobile app
 14. TAMKO

  Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

  AKILI..! Unapokuwa Kiongozi lazima Uwaza both Ndani na Nje ya Box. Ukiwaza tu Ndani ya Box na Kuzipa Kipaumbele Njia zilezile kwenye Vita Ileile Kwa Jamii ile ile lazima Ufeli. Ona Jamaa Hawa waliwahi kuwaza Jambo Kwa mapana Yake..! Mark2: 3 Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza...
 15. TAMKO

  Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

  Idea like this’s what kill CDM.. period
 16. TAMKO

  Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

  Salaam Mwenyekiti wangu.. Leo Tarehe 5April Najaribu Kuvaa kiatu chako Kwa mtazamo wa Kila kitu Najua Uko kwenye wakati Mgumu Unajipa Mtima wa kusonga Mbele Labda maisha Yatapata Direction. Nimepitia mitandaoni, majukwaa mengi ya Kijamii NIMESOMA Comments kwenye posts mbalimbali hasa zinazo...
 17. TAMKO

  Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

  Mzungu... aisee kwenye Inshu za kumwendekeza MZUNGU Mie sijawahi kuwa muumini wa Hilo! Siasa ni Akili safi ya kuinasa mioyo ya watu wako Sio kulalamika Kwa Watu ambao Hao Ndio wameunda siraha dhaifu za Uoga hizi ambazo waafrika tunauana kama Kuku..!
Top Bottom